Kuzama chumvini kuna madhara kiafya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtu, Jan 25, 2008.

 1. M

  Mtu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2008
  Joined: Feb 10, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika vitu ambavyo huwa navipa kipaumbele basi ni kuzamia chumvini wanawane. Ila umkute demu anajua kupakwosha kule. ...unaweza kuzama ukaibuka na magugumaji.

  Sasa napenda kujua madhara yake.

   
 2. Mchumia juani

  Mchumia juani Member

  #2
  Feb 12, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hhuko unakoita Chumvini ni sehemu yenye wadudu wengi sana kuanzia fungus, Herpes, bacteria n.k hivyo iwapo una hali mbaya mdomoni unaweza kuwa umepata fungus au vimelea wengine kutoka huko na kwa njia ya fecal oral route namaanisha baada ya kuingia chumvini ukashindwa kujisafisha vizuri mikono na mwili wako unaweza kupeleka maambukizi katika kinywa,hata hivyo nahitaji maelezo zaidi kama kuna vidonda kinywani au utando wowote kwa sas unaweza kuwa unatumia Mouth wash Solution ili kuondoa haufu mbaya kama kuna utando mweupe unaweza kutumia Nystatin cream 1mls mara nne kwa siku( in case ni fungus) otherwise nipe maelezo zaidi.

  Pili tatizo la kutotumia Kondomu baada ya goli la pili is more psychological than physical hivyo, Jifunze kulinganisha thamani ya maisha yako na raha ya muda mfupi unayoipata huku ukiwa na uwezekanifu wa kupata maambukizi.

  Nakushauri pia uwe na mpenzi mmoja mwaminifu na mpime virusi ili hata kama usipotumia kondomu uwe salama.

  Mwisho Chumvini si mahali pa salama kabisana hapakuumbwa kwa kazi hiyo.

  Jitahidi kutumia viunga vya mwili kadri Mungu anavyotaka vitumie
  Shukrani
   
 3. M

  MAFISH Member

  #3
  Feb 13, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante Sana Kwa Ushauri Wako Mzuri Mkuu,,,nashukuru Sanasana...ni Kwamba Kuna Vidonda Kidogo Na Ukungu Flani Seems Kama Fungus.....imebidi Niache Kabisa Chmvinina Kwa Wale Mnaosoma Chumvini Si Mahali Patak/7777
  Ahsanten
   
 4. Mchumia juani

  Mchumia juani Member

  #4
  Feb 18, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sHUKRANI kAKA Mafish,Jambo la msingi jitahidi kutafuta Mouth wash dukani na utafute na hiyo Nystatin oral suspension utumie kwa Muda.Wakati mwingine ni jambo la kisaikolojia kwani uchafu ulioko Chumvini una feel ama uko kinywani kwa hiyo tuliza akili,uone kama ajali tu na usione kinyaa,nakutakia siku njema
   
 5. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kaka to tell you the truth hili suala la chumvini kuacha sio rahisi.
  Mimi naomba tu unipe njia za kuweza kulifanya hili jambo bila kupata madhara (Playing safe)!
   
 6. Mchumia juani

  Mchumia juani Member

  #6
  Mar 5, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Knowledge yangu kuhusu jinsi gani ya kuingia chumvini ni ndogo sana ila madhara yake ndo nayajua
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Mar 9, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Unajuwa siri yao hao watu wanaopenda mambo ya kwenda chumvini? Yaani wakizeeka wanataka kuwahadithia wajukuu zao kama wamekula chumvi nyingi, tena za kila aina, kuanzia za uvinza, mpaka za bonde la ufa...!

  Tena usishangae wake zao wasiweze pata ujauzito a.k.a mimba, unajuwa kwa nini, kwani unategemea nini unapokwenda uko chumvini si utakuwa unawala watoto wako mwenyewe kabla...!

  Tena watu wa namna hiyo usishangae wakaota au kuwa na ndevu za kwenye meno, kwani unategemea nini kama shamba halija vunwa, nyasi na magugu hadi mlangoni, na wewe kwa kutaka kwako kwingi unapalilia na kulima kwa kutumia meno...! Ndo maana utakuta meno ya watu wengine yana rangi za ugoro, ulochanganyika na umanjano, kijani na weusi...!

  Halafu wewe uogopi ukinuka mdomo je...! We zoea tu mambo hayo ya kuzamia, siku mkeo mjamzito na wewe umekazana tu kuramba ramba kama mbwa anakunywa maji, kama ukupigwa teke na jamaa aliye kuwa ndani ya tumbo, sijui utasemaje...! Au ukimnyofoa mguu kwa utamu wa chumvi...! Sijui utasema mtoto kapata polio au...?
  Shauri yenu.
   
 8. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2008
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kama kwenda chumvini ni huku nakoelewa mimi,yaani oral sex, basi naomba nitofautiane na wenzagu hapo juu.

  Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).

  Ni vema tufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi na vimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili.Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.

  sasa baadha ya vitendo huweza kuondoa normal flora na kukaribisha magonjwa,mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu,limao,Shabu etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na kusababusha magonjwa ya ngozi.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini).

  Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kinywani kama vile Gonnorhea, Syphilis, candidiasis (fungus), HIV n.k ipo pale pale kama ambavyo mtu anaweza kuambukizwa kwa njia ya kawaida ya kujamiiana.

  Mwisho, kama wewe ni mgonjwa wa kwenda chumvini, hakikisha unafanya mchezo huo nampenzi/mke aliye salama
   
 9. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kizimkazimkuu

  Mkuu nafurahi kupata ufafanuzi huu kutoka kwako.... Now at least i know how i can play safe na hii kitu (CHUMVI)!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. r

  rutashobya Member

  #10
  May 8, 2008
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF nisaidieni, katika masuala mazima ya sex, huwa na enjoy sana kama mpenzi wangu akinyonya cone mpaka nimwage mdomoni mwake. Halafu baada ya hapo navaa condomu kwa ajili ya sex. Je hii inaathari zozote aidha kwangu au kwake?

  Naomba msaada.
   
 11. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Though am not a medical doctor lakini kwa ufahamu wangu mdogo madhara yapo na hasa huyo demu wako kama atakuwa na michubuko mdomoni kitu ambacho ni rahisi sana kutokea na wewe pia ukawa na vimichubuko katika hiyo cone yako ambavyo yawezekana huwezi kuviona kwa macho.

  Kinachotokea ustadi wa kulamba cone hutofautiana sana kati ya demu na demu kuna ambao hujikuta wakati mwingine hata meno yaweza kukukwaruza kwa hiyo cone si kosa lake aidha kweli hajui how to smoothen it au kwa haraka ya kutaka kukufikisha mwisho wa safari yako.

  So kama unapendelea cone it's better ukaendelea tu kula sterio kwani sioni mantiki tena ya kupiga mono (kuvaa condom) sioni kama unakuwa umejilinda sana... au ndio njia ya kuchukua speed mzee. self starter zero???
   
 12. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #12
  May 9, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  rutashobya,

  Hio ishu haina madhara yoyote ila tu uzoefu ukizidi, utakua unataka mtu yoyote akusalimishie koni yako ndugu.Je ushajiuliza
  huyo mwanamama naye anasemaje?...anapenda ama kachoka?..unajua tena michezo kama hio hutaka misuli ya mashavu eti!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. H

  Haika JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Soma takwimu za wamarekani za magonjwa za zinaa mashuleni, waanfunzi kibao wanakutwa na herpes na fungus zisizotibika kwa ajili ya oral sex, bacteria navimelea vingine vya mdomoni na genitals wametengeneza kizazi kipya ambacho hakikuwapo, wanasema ugonjwa huo bora ukimwi!! Hautubiki herpes si herpes, fungus si fungus, ili mradi tu wanafunzi kibao USA wanao.

  Anyway bado ni new study, kwa hiyo bado wanashangaa, hawajaweza hata kuwaalert watoto wao, inasikitisha sana ila mimi nimeshawaonya wote walio wangu, TAFADHALI ACHA KWANZA mpaka ugundulike huu ugonjwa mpya na dawa yake.
   
 14. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Heee!!!!!!!! Makubwa madogo yana nafuu. Kumbe chumvini hapafai make madeni wengi wasipopelekwa chumvini wanadai hawaenjoy. Lakini hata mimi nilishaanza kuacha baada ya kukutana na tatizo lifuatalo:

  Kwamba karibu mademu wote ambao huwa nadhani wanafaa kwenda chumvini huwa nakuta hawana chumvi na wengine nakutana na kauchungu kidogo. Je hivyo ndivyo walivyo mademu wote au ni mademu wa siku hizi tu au kuna kitu wanafanya hadi wanakuwa na hali hiyo. Wana JF naombeni msaada make nimikuwa nikipata shida hadi niliwahi kudhani kuwa labda nimewekewa kalimbwata ndo maana nikakutana na hiyo taste.
   
 15. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli jambo ina mambo.!!! yaani unafunga zizi wakati ng'ombe washatoka..unasakiwa bila ndomu..halafu una pizi na baadae una dinya na ndomu...hehehe
   
 16. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  herpes inambukizwa kwa majimai ya mwili kama ukimwi kwahiyo inakaa kokote ukiwa na wife nenda chumvini bwana usimnyime raha
   
 17. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Jamani hii sio sector ya utaalamu wangu, lakini labda niulize jee ni kweli majority yetu tunajua jinsi ya kwenda chumvini? Maana nasikia sijui kuna hili na lile, jee unaingiaje chumvini hilo ndio swali.

  Kama una shaka au unadhani uko sawa naomba unitumie private massage siwezi elezea kwa urefu kwenye public forum.
   
 18. r

  rushaka Member

  #18
  May 16, 2008
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utaalamu wa kwenda chumvini hutofautiana kati ya mtumiaji na mtumiaji kama ilivyo kitendo chenyewe cha sex. Some do it right and some do it wrong. Response ya partner wako ndo itaonyesha kiasi gani umemkuna, lakini concentration kwenye critoris ni critical katika zoezi zima la chumvini kwa sababu hii ndo most sensitive part katika mwili wa mwanamke.

  Kama mtu anataka kupractice chumvini kwa mke wake wakati maiaka yao yote ya ndoa hajawahi kujaribu inabidi awe mwangalifu kwa sababu baadhi ya wake zetu watataka uwaeleze vizuri umejifunzia wapi staili hiyo!! Ndo maana baadhi ya wanaume wanansikia kuhusu mambo fulani au wanaona kwenye muvi za blue lakini hawako radhi kupractise na wake zao. Kwa kuwa wanavutiwa wanaishia kutafuta mtu wa pembeni wa kujaribia vimbwanga hivyo!!
   
 19. r

  rushaka Member

  #19
  May 16, 2008
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia mwanamke akizoea sana kulamba koni mashavu yake yananywea kwa ndani.
   
 20. p

  p53 JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kizimkazimkuu

  sawa mkuu,but what do u mean exactly?yes vagina got a normal flora.mouth cavity too has one.

  But the 2 floras are different. The vagina is acidic in nature and the flora found there should have a property to resist the low pH of the vagina. Likewise the flora of the mouth should also have the mechanism of suiting itself to the mouth's alkaline environment.

  That is to say the 2 floras can not mix up and the fact is the flora which is harmless and protective in a particular area can be harmful (cause disease) when transferred to a new environment.

  Kwahiyo uwezekano wa kupata magonjwa kwa kwenda chumvini upo hata kama mwezi hana STIs.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...