Msaada: Napata changamoto hii RITA

ngotho

Senior Member
Jun 18, 2021
142
110
Wakuu neema ya bwana iwe juu yenu naombeni msaada juu la hili.

Nilikuwa nahakiki cheti cha kifo lakini katika harakati za kufungua account na kureigister waliniambia eti wananitumia TOKEN kwenye namba yangu lakini kwanzia saa nane mpaka sasa sijaona hiyo TOKEN tatizo linaweza likawa nini wakuu?

Pili, ninapohakiki cheti cha kifo cha mzazi kwenye kuweka email, naweza kutumia ile ile email niliyotumia kuhakiki cheti changu cha kuzaliwa?

Naombeni msaada wakuu.
Natanguliza shukrani.

Karibuni
 
Back
Top Bottom