rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tegemea huu mwaka kuvunja rekodi ya vifo vya wabunge na mawaziri wa CCM wanaweza fika mpaka 30

    Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
  2. kimsboy

    Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
  3. NostradamusEstrademe

    Uchaguzi tata ambao ulivunja rekodi ya dunia ya GUINESS ambayo haijawahi vunjwa hadi sasa

    Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927.Katika matokeo mshindi alikuwa bwana Charles D.B King wa chama cha True Whig, alichaguliwa kwa kipindi cha tatu baada ya kumshinda mpinzani wake bwana Thomas J.R.Faulkner wa chama cha watu yaani People's Party.Kabla ya hapo Faulkener alikuwa ni...
  4. McLaren

    Simon Msuva aifikia rekodi ya Mrisho Ngassa, afikisha Magoli 25 Taifa Stars

    Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania “Taifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi ya timu ya Taifa. Msuba amefikia rekodi hiyo kwa kufunga kwa njia ya penati katika mchezo...
  5. M

    Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  6. R

    Ona unyama uliopitiliza wa rekodi ya dunia. Unatokwa na machozi

    Unyama , ukatili wa serikali, polisi na jeshi kwa wananchi wao. Soma, unatokwa na machozi.
  7. The Palm Beach

    Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  8. Ileje

    PostGE2025 Serikali ya Samia yavunja rekodi ya kuua raia wake tangu Idd Amin kuwaua!

    https://twitter.com/RahmaMwita/status/1990298542972559465?t=7qbHSYfr_DjgtMvB3nvTCA&s=19
  9. Brayan_Jk

    Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  10. ESCORT 1

    Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

    Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu. Sitta 2005 - 2010 Makinda 2010-2015 Ndugai 2015-2021 Tulia 2021 - ?? Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi...
  11. Waufukweni

    Liverpool yamsajili Alexander Isak na kuweka rekodi Ligi Kuu England

    Liverpool wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United, wakiweka rekodi mpya ya usajili England kwa mara ya pili msimu huu wa joto. Alexander Isak ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Liverpool kwa usajili wa rekodi wa £125m kutoka Newcastle kwa Mkataba hadi...
  12. kadiri kasimba

    Wajue wanawake na wanaume waliovunja rekodi ya kufanya mapenzi na idadi kubwa ya watu duniani!

    Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang bang” Annabel Chong (1995, Los Angeles, Marekani) Alidai kufanya ngono na wanaume 251 mfululizo ndani...
  13. M

    Hizi ndizo rekodi zinazoshikiliwa na majiji nje ya Dar-Es-Salaam

    Muonekano mzuri city center - Mwanza Barabara - Dodoma Maji - Mbeya Huduma za Serikali - Dodoma Utalii - Arusha Vyuo - Mbeya Malls na supermarket - Mwanza Usalama - Dodoma Huduma za Afya - Mbeya Hali ya Hewa - Arusha Mzunguko wa pesa - Mwanza Unafuu wa maisha - Mbeya Ukarimu wa watu - Tanga...
  14. Daraja2

    REKODI ZA MAMA KATIKA MICHEZO

    Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee........... Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania. HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana ! Kupitia "goli la mama" tumeona Simba na Yanga zikifika fainali za kombe la shirikisho barani...
  15. Mshana Jr

    Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

    Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili 1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili 2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
  16. Mshana Jr

    Rekodi mpya Tanganyika baada ya miaka 62

    Kuna hesabu za kiroho hapa Mwaka 1962 Aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Uingereza alijiuzulu nafasi hiyo muhimu kimataifa baada ya kutofautiana na boss wake Hayati Mwalimu J.K. Nyerere Mchonga meno! Miaka 62 baadae (2025 haijakamilika hivyo sip 63) Aliyekuwa Balozi nchini Cuba na...
  17. X

    Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt 8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt 9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt 10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt 🌎 Rest of the World – 293Mt (in...
  18. I

    Rekodi mauzo kidigitali

    Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥 Habari mfanyabiashara! Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua? Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote. 📱 Bizi...
  19. Madwari Madwari

    BADILI PASSORD ZAKO SASA HIVI: Password bilioni 16 zimedukuuliwa katika uvujaji wa data uliovunja rekodi, Facebook, Google, Apple,

    Data kadhaa za ID vya kuingia hufichua mojawapo ya ukiukaji mkubwa zaidi wa data katika historia, ukiwa na jumla ya ID cha kuingia cha bilioni 16 kilichofichuliwa. Data ina uwezekano mkubwa zaidi kutoka kwa watoa taarifa mbalimbali. HaBARI hii, kulingana na matokeo ya kipekee ya Cybernews na...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
Back
Top Bottom