rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. Lugha ya ishara kuwa lugha rasmi DRC

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imepanga kuiweka lugha ya ishara kuwa lugha ya tano rasmi nchini humo ukiongeza kwenye Kiswahili, kilingala, Kituba na Tshiluba. Lugha hiyo ya ishara itakuwa inafundishwa shuleni ili kuwasaidia watu ambao wanategemea lugha ya ishara kupata huduma za...
  2. M

    Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

    Asikudanganye Mtu popote pale ulipo kuwa kauli za Watu waliokufa namaanisha Marehemu wakizisema huwa hazitimii. Ni kwamba huwa hawatanii kabisa na wayasemayo hutokea na hutimia. Mwaka jana nilihudhuria Msiba Mmoja ambapo kumbe Marehemu wakati anakata Roho alisema akifa azikwe Dar es Salaam na...
  3. Ninaomba tafsiri rasmi ya Communication skills

    Wanajopo habari ya Jumapili, Wale mnaokumbuka kozi/somo tajwa hapo juu, yani, COMMUNICATION SKILLS, ninawaomba Kiswahili chake rasmi. Shukrani
  4. Rasmi Yanga kuchuana na Rivers ya Nigeria

    Ratiba ya hatua ya awali Car champions League ni Kama ifuatavyo. Kama Yanga atafanikiwa kusonga mbele basi atakutana na mshindi Kati ya Fasil Kenema ya Ethiopia na Al Hilal ya Sudan katka round ya pili ya mtoano .
  5. C

    Je, Yanick Bangala Sasa ni Rasmi Yanga?

    Wakati Yanga wakielekea kumtambulisha Djuma Shabani pamoja na Jesus Moloko, wakala Mwenye orodha ndefu ya Wachezaji wa DRC, keshatuwekea picha hapo ili simulizi tuandike wenyewe!! Kama inavyoonekana hapa chini, Faustin Mukandila anatujuza time is loading kabla Yanick Bangala Litombo...
  6. Q

    Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

    UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021 WAKA Wananchi&Katiba Dar es salaam., Tanzania 9 JUL 2021 — Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2...
  7. Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

    Miaka nenda rudi Njia ya Dar es Salaam - Mbeya ndio imekuwa njia ambayo ni gumzo kwa mabasi yake kwenda mbio. Umbali wa safari ni zaidi ya kilometre 800, na njia imekuwa ikipita kwenye Milima mikali, kona kali, mbuga ya wanyama, hali ngumu ya hewa Ikiwa ni Pamela na uwepo wa ukungu mzito na...
  8. Agosti 1, 1838 biashara ya utumwa ilihitimishwa rasmi katika nchi za Jumuiya ya Madola

    It’s nearing midnight, and in a few moments it will finally be August 1, 1838. By law, this will mark the end of slavery in the British Empire. In Jamaica - a British sugar growing colony - a Baptist congregation has been waiting expectantly all night. The clock ticks down to midnight, and in...
  9. Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
  10. Mbowe inabidi aache siasa rasmi sababu hapati faida yoyote

    Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye. Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao? Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa...
  11. D

    TANZIA Mbezi Msakuzi: Mwanaume afariki dunia kwa kujinyonga

    Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi. Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha. Taarifa za awali inasadikika kuwa...
  12. Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

    Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
  13. CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

    CHADEMA YAANZA RASMI KUIVURUGA TANZANIA, TUWE MACHO. Baada ya kugonga mwamba kwa mpango chama cha CHADEMA wa kuanzisha vurugu kupitia kongamano la Katiba Mpya lililopangwa kufanyika Jijini Mwanza Julai 21, 2021, chama hicho cha upinzani kimemwaga mpango wake mzima wa kuanzisha vurugu...
  14. Wananchi tuanze rasmi kususia bidhaa na huduma za wasiolipa Kodi.

    Ndugu zangu wananchi wabunge hawalipi Kodi kwenye mishahara yao na ni mikubwa kwelikweli Sasa swali linakuja kwanini upande Basi lake? Kwanini ulale kwenye hoteli yake? Kwanini ununue chochote kwenye duka lake au hardware yake? Tena Bora lingekuwa lile bunge lililochaguliwa na wananchi la kina...
  15. G

    Liberata Mulamula sasa unachafuka kimataifa

    Ulipokuwa ukihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 ulionesha jinsi ilivyokuwa ngumu kueleweka kimataifa kwenye suala la diplomasia wakati wa awamu ya tano. Na ukasema diplomasia inaanzia ndani ya nchi, namna tunavyoendesha siasa zetu. Siasa zikiwa za hovyo hata diplomasia inakuwa ya hovyo...
  16. Fainali ya ASFC Kigoma mgeni rasmi angekuwa Rais wa nchi

    Najaribu kuamini kuwa Rais SSH ni mpenda soka ila upande wa Simba au Yanga ni siri yake. Ile mechi ya ligi ya tarehe 3/07 hakupaswa kwenda uwanjani na kuwa mgeni rasmi kwani ilikuwa mechi tu ya kawaida ya ligi. Mechi aliyopaswa kuwa mgeni rasmi ni hii ya kesho tarehe 25/07 kwani ina umuhimu wake.
  17. Je, serikali imebadili rasmi tarehe ya malipo ya mishahara na je pensheni inalipwa kama walivyoahidi?

    Kati ya tarehe ambazo watumishi walikuwa nazo uhakika za malipo ya mishahara ni tarehe 23 ya kila mwezi na ikiangukia wkend basi walikuwa wanalipa kabla ya tar hiyo, je kuna kitu gani ambacho hakiko sawa maana hata serikali haija tangaza rasmi tarehe mpya ya malipo ya mishahara kuwa imebadilika...
  18. M

    Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

    Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu. Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi. Eti Mbowe gaidi, ugaidi mmeujua tu kwa kuwa kaanza kudai katiba mpya na haki ya vyama vya siasa...
  19. Wamachinga ni kundi la sekta isiyo rasmi katika uzalishaji, hili ni kundi muhimu sana

    Nchi zote duniani sekta hii inahesimika katika mchango wao katika jamii. Hii picha ni mpangilio wa wamachinga wanavyopewa frame za biashara na Halmashauri za miji. Hapa mmachinga anafanya biashara kwa heshima, bila adha ya jua au mvua. Hawezi kukwepa kukipia kodi, liseni ya biashara na pango...
  20. Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

    Wajumbe. Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani. JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…