Wamachinga ni kundi la sekta isiyo rasmi katika uzalishaji, hili ni kundi muhimu sana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1626835219398.jpeg

Nchi zote duniani sekta hii inahesimika katika mchango wao katika jamii. Hii picha ni mpangilio wa wamachinga wanavyopewa frame za biashara na Halmashauri za miji.

Hapa mmachinga anafanya biashara kwa heshima, bila adha ya jua au mvua. Hawezi kukwepa kukipia kodi, liseni ya biashara na pango la duka.

Kwa wenye mitaji midogo wanaungana wawili au watatu wanachukua frame moja na ndani wanaigawa wenyewe kwa maelewano yao.
 
Bongo nyoso, bongo bahati mbaya, bongo bado sana mama.

Yaani mbezi luisi fremu ya machinga milioni moja wakati ilitengwa kwa ajili ya machinga 😅
 
Back
Top Bottom