rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais hakuna asiyependa kuishi na wewe umetudhihirishia

    Mimi naomba kupata majibu kutoka taasisi nyeti kabisa ya taifa hili Ikulu. Mh Rais anasema watu wachape kazi anasisitiza nakusisitiza nakubeza kila juhudi inayofanyika hata kama sio kwakusema moja kwa moja ila fumbo mfumbie mjinga. Uliposema watu wazushiwa hofu na una data watu wamepona Ummi...
  2. JamiiForums Tanzania Muda mwingine Rais Magufuli anapenda kufurahisha Jukwaa

    Hao anaowaita mabeberu na kuwashutumu yeye mwenyewe kila kitu chake anachokitumia anakito kwa mabeberu. Ukianzia mifumo ya ulinzi anaotumia ni ya mabeberu, vifaa vya ulinzi kama Rada, frequency vyote ni mali zao Mavazi hizo suti kutoka Italy anazovaa, Simu, Mikanda, Viatu, Miwani, Saa vyote...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa wataalamu wa maabara Yahya Mnung'a yupo mubashara Clouds 360 anazungumzia utafiti wa Rais Magufuli

    Anaitwa Yahya Mnung'a yuko clauds tv kwa sasa. Kaulizwa papai linaweza kuwa na corona Majibu: papai haliwezi kuwa na corona ila linaweza kuwa aliyelipeleka alilitoa wapi na limepitia katika mikono ya watu gani. Swali: je maabara yetu inaweza kuwa na hujuma na wataalamu hewa? Majibu: maabara...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

    Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya. Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    ‪Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo‬ ‪Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa‬ UPDATE: 04-05-2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Laurean Rugambwa akimkabidhi ofisi Mkurugenzi Mkuu Mpya Brig. Jen Dkt...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Rais, nimepima mkojo wa binadamu kwa kutumia Kipimo cha Malaria, na Kipimo kimesoma "Negative"

    Baada ya kupima mkojo wa binadamu kwa kutumia MRDT ambacho Ni kipimo kinachotumika kupima Malaria, nilitegemea majibu yangekuwa Invalid au undetermined lakini Cha kushangaza kipimo kimeonyesha negative kwa sababu kipimo hiki hutumika kupima damu. Je kwa majibu haya Kuna uwezekano hata vipimo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Mama Samia amedhihirisha anaweza kuaminika kubeba majukumu makubwa zaidi

    Huyu Mama yuko strong kwa uhalisia; TAZAMA: - Aliongoza vizuri sana Bunge la katiba. - Amekuwa anawakilisha vizuri taifa kwenye forums za kimataifa za wakuu wa nchi. - Anamwakilisha vizuri raisi kwenye mbalimbali yanayomshinda kwa sababu mbalimbali. - Kipindi hiki janga la korona hajaonekana...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kama Rais wetu yupo 'vitani all the time' according to mind reading!

    Uzi tayari!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Neno la Rais lina nguvu; mbuzi wachanganyikiwa mitaani

    kihehere chao kunywa maji yenye corona sasa wamestuka wanajipiga nyungu kwa kwenda mbele
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, samahani mimi sijakuelewa kuhusu COVID-19 tests...

    Mh Rais sisi Watanzania pamoja na unyonge wetu nakuku amini kama Rais wetu kiukweli hatukuelewi na mimi sitaki kuwa mnafiki napenda niweke kumbukumbu sio kubishana na mwalim hapana ila kumwambia mwalim sijakuelewa. Leo umesema mlipeleka sample za mbuz?, oil,mafenesi na mapapai na vilileta...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mbunge wa Vunjo mh Mbatia ndio mpinzani mwenye uzalendo

    Rais Magufuli amempongeza mbunge wa Vunjo mh Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kwa namna anavyofuatilia suala la Corona na kuishauri serikali. Rais Magufuli amesema mara kadhaa mh Mbatia amekuwa akimpigia simu na kumtumia Meseji za kumtia moyo katika haya mapambano. Chanzo: Channel ten!
  13. JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais, naombeni mshaurini Rais anyamaze mpaka janga la COVID19 lipite

    Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Mwigulu hawakujuana jana

  15. JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza asikitishwa na mwenendo wa Rais Magufuli, anena haya...

    "Aliyeteuwa hakuomboleza. Aliyeteuliwa hataomboleza. Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku" Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Serikali inaangalia tija, wachukue watu kama Maxence Melo waingize Serikalini tulijenge Taifa

    Mh Rais siku zote serikali inaangalia tija kwamba an individual anaifanyia Nini nchi kwa manufaa ya taifa. Cha muhimu kwenye serikali ni deliverence na uadilifu. Naishauri serikali Iwachukue vijana wenye mafanikio Katika sekta binafsi iwaingize Serikalini ili watumie vipaji vyao na uwezo wao...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Maguful na Spika Ndugai kama hamtaki kuahirishwa Bunge tumieni Video Conference!

    Leo Tena Bunge limepata msiba wa 3 ndani ya wiki mbili tu. Hii si hali ya kawaida tangu Tanzania ipate Uhuru kwa Bunge kupoteza Wabunge 3 kwa vifo vya kutatanisha. Wabunge wa Upinzani CHADEMA na ACT-Wazalendo pamoja na Watanzania wenye busara walishauri Bunge lisifanyike kwasababu ya kuwepo kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

    Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19 ........ Sent using Jamii Forums mobile app
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

    Na Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano @MSalimu Mheshimiwa Rais, kwanza nianze kwa kusema, hakuna mtu yoyote mwenye akili zake timamu atakayeulaumu uongozi wako kwa kuleta ugonjwa wa korona. Sio kosa lako! Ugonjwa huu hauna mjanja, umetoka ulikotoka, na umeenea kila mahala. Naamini tusingeweza kuuzuia...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video cha wenyeviti wa kanda za Afrika

    Akiwa kama mwenyekiti wa SADC, Rais Magufuli amekosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video ambacho kimeongozwa na Mwenyekiti wa AU ambaye ni Rais wa Afrika Kusini mh. Cyril Ramaphosa. Rais Magufuli ndiye kiongozi pekee wa kikanda aliyekosekana kwenye kikao hicho. Kwa maana hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…