rais

  1. Mgomo mkubwa kuhusu pensheni waathiri usafiri Ufaransa

    Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa onyo kwa wageni kutozuru eneo hilo; kufuatia maandamano na mgomo dhidi ya mpango wa serikali kuufanyia...
  2. Wataalam wa sheria wasema matendo ya Rais Trump yanatosha kumfungulia kesi ya kutimuliwa

    Wataalamu watatu wa sheria nchini Marekani, wameiambia kamati ya masuala ya sheria ya Baraza la Wawakilishi mjini Washington kuwa wanaamini kwa ukamilifu kuwa Rais Donald Trump alifanya matendo yanayokidhi vigezo vya kufunguliwa kesi ya kutimuliwa madarakani. Maprofesa hao watatu walialikwa na...
  3. Kwa kauli hii Rais Museveni amewajbu wale mnaopenda kukurupuka na kuchukia Marais bila sababu

    He said: I have never stolen and I am rich - Ugandan President Yoweri Museveni Yaani akimaanisha ya kwamba: Hajawahi kuiba tokea awe madarakani, wala kuwaibia chochote kile Waganda lakini yeye ni bonge la tajiri. Je, Waswahili (ukimuondoa GENTAMYCINE tu) mnaomsakama Museveni 24 / 7...
  4. J

    Kasi ya Rais Magufuli yawavuruga Chadema waona ni heri muasisi mtendaji pekee mzee Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti

    Kasi ya Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo imewavuruga kabisa wafuasi wa Chadema kiasi cha kushindwa kumuona mbadala wa Mbowe katika nafasi ya Mwenyekiti. Kwa sasa kila anayetamani kuchukua fomu anaonekana ana mahaba na CCM isipokuwa Freeman pekee ambaye yuko Chadema tokea mwaka...
  5. Aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe aacha $10million, lakini hajaacha wosia wowote

    Kiongozi wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe ameacha $ 10m na mali kadhaa lakini hakuna atakayetaja walengwa/warithi wake. Gazeti linalomilikiwa na serikali la Herald lilisema binti yake, Bona Chikore, alifichua mali hiyo katika mahakama Kuu baada ya familia hiyo kukosa kupata wosia wake. Pesa...
  6. Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na...
  7. Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

    Rais John Magufuli. MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kutamka maneno ya kwamba atamuua Rais John Magufuli. Mshtakiwa anadaiwa kuropoka maneno hayo Novemba 26...
  8. F

    Marehemu Rais Mugabe aacha US dola Milioni 10 taslimu ktk Benki bila wosia wowote.

    Habari kutoka Zimbabwe ni kuwa Rais wa zamani marehemu Robert Mugabe, ameacha fedha benki kiasi cha dollar za Marekani milioni 10 bila wosia. Pia ameacha mashamba mbalimbali likiwemo lile la miti, matunda na mengine ya mazao mbalimbali aliyoyapora kwa wazungu mwaka 2000, huku idadi haikutajwa...
  9. F

    Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

    Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015. Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais...
  10. M

    Forgery za mfanyakazi wa nje za Vodacom Plc zaanikwa kwa Waziri na Rais Magufuli

    To: Minister of Labor, The United Republic of Tanzania, Prime Minister's office, Labor, Youth, Employment and Persons with disabilities, P. O Box 2890, Dodoma. 28th November 2019 Dear Sirs, RE: ESCALTION ON GOING FORGED WORK PERMIT BY Mr. LUIS EDUARDO FEDRIANI – VODACOM Plc EMPLOYEE Refer to...
  11. J

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20. Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
  12. Rais alipomwita Mtu MPUMBAVU na wananchi kushangilia: Inaonyesha tuna taifa la wajinga, wenye chuki na maskini wa akili

    Yaani Rais anamtukana Mhandisi kwa kile ambacho alipaswa ajadiliane na Mhandisi waafikiane au waeleweshane. Maana kina mantiki kubwa. Kama Mkandarasi hakuwa sahihi basi ingetumika lugha ya busara na ya kisomi kumuelimisha. Rais anamwita Mtumishi huyu Mpumbavu sana, na wananchi wanashangilia...
  13. Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

    Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani. Wewe una dhamana juu ya usalama wa raia na mali zao. Hakuna raia anayependa kutetea watu wanaojihusisha na uhalifu. Ila nchi yetu inatawaliwa na kuongoza kwa misingi ya sheria na haki. Tarehe 26/10/2019 watuhumiwa wapatao watano walikamatwa na Migambo...
  14. Rais wa Ufaransa agoma kuomba msamaha baada ya kuitusi NATO

    PARIS, UFARANSA RAIS Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa kauli yake kwamba Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepatwa na kifo cha ubongo ilipiga kengele ya hatari kwa nchi wanachama na kwamba hataomba radhi kwa kutoa matamshi hayo. Matamshi hayo makali ya Rais Ufaransa...
  15. K

    Kila Mara Rais Magufuli anawataka Watanzania wafanye kazi kweli kweli. Ni kazi zipi hizo?

    Mara kwa mara rais Magufuli amekuwa akisisitiza watu wafanye kazi kweli kweli, je ni kazi zipi hizo anazosema? Maana juzi alipoulizwa swali na mwananchi wa wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora kuhusu kuongeza mzunguko wa fedha, yeye alimwambia afanye kazi hakuna pesa za bure vinginevyo akaolewe...
  16. J

    Wazazi CCM: Rais Magufuli ametufanya tukipita tumevaa sare za chama mitaani tunashangiliwa kabla yake tulikuwa tunazomewa na kupigwa mawe

    Jumuiya ya wazazi wa CCM imetoa shukrani maalumu kwa Rais Magufuli kwa namna alivyoibadilisha CCM na kuifanya iheshimike mbele ya jamii. Kabla ya mwaka 2016 ilikuwa haiwezekani kuvaa sare za chama ( CCM) mtaani kwani tulizomewa na kupigwa mawe lakini sasa hata tukipita mtaa wa Ufipa na sare...
  17. Kauli unazozitoa Rais Magufuli kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa maendeleo hayana chama, mbona inatofautiana sana na matendo ya Serikali yako?

    Nimekuwa msikilizaji mzuri sana wa hotuba zako za mara kwa mara kwenye majukwaa ya kisiasa na ambazo umekuwa ukisisitiza kuwa maendeleo hayana chama na katika nchi hii unasisitiza sana umoja wa kitaifa na hivyo unasihi kuwa nchi hii ni yetu sote na hivyo usingependa ubaguzi wa kivyama wa CCM au...
  18. Igunga: Mwananchi amuomba Rais Magufuli ‘kuachia pesa’ mtaani, Rais ajibu hakuna vya bure zaidi ya kuchapa kazi

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani kumekuwa na malalamiko ya chinichini miongoni mwa Watanzania kuhusu hali ya kiuchumi kuwa ngumu. Ugumu huo ulizaa msemo ‘’vyuma vimekaza’’, jambo lililokemewa vikali na Mheshimiwa wa ngazi za juu. Sasa basi, kufuatia hali ya kiuchumi kuendelea kuwa ngumu...
  19. J

    Dr. Bashiru: Wale wote waliomtukana Rais Magufuli bado wana mashtaka ya kujibu mbele ya CCM, msamaha waliopata ni wa Dr Magufuli siyo CCM

    Katibu mkuu wa CCM, Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama. Dr. Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr. Magufuli aliwasamehe kama mzazi...
  20. J

    Rais Magufuli, nakuomba umteue Pascal Mayalla kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali

    Siyo kwamba huyu aliyepo Dr Abbas hafanyi vizuri la hasha, ni kwa sababu mambo mengi mazuri unayoyafanya yanahitaji mkongwe wa habari aliyetumikia awamu zote kuweza kuyaelezea kwa ufanisi na ulinganifu. Nikisema zaidi utaona kama nampamba huyu Mayalla, basi nikuombe tu mh Rais ipitie CV ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…