Kwa kauli hii Rais Museveni amewajbu wale mnaopenda kukurupuka na kuchukia Marais bila sababu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,418
108,517
He said:

I have never stolen and I am rich - Ugandan President Yoweri Museveni

Yaani akimaanisha ya kwamba:

Hajawahi kuiba tokea awe madarakani, wala kuwaibia chochote kile Waganda lakini yeye ni bonge la tajiri.

Je, Waswahili (ukimuondoa GENTAMYCINE tu) mnaomsakama Museveni 24 / 7 mnakubaliana naye au mnamkatalia?

Chanzo Habari: The Citizen
 
Kuna siku binadamu mmoja asiye na aibu atadiriki kutamka hadharani kuwa hajawahi kumhonga hawala yake nyumba ya serikali.
 
He said:

I have never stolen and I am rich - Ugandan President Yoweri Museveni

Yaani akimaanisha ya kwamba:

Hajawahi kuiba tokea awe madarakani, wala kuwaibia chochote kile Waganda lakini yeye ni bonge la tajiri.

Je, Waswahili (ukimuondoa GENTAMYCINE tu) mnaomsakama Museveni 24 / 7 mnakubaliana naye au mnamkatalia?

Chanzo Habari: The Citizen
yeye anaona kama kachukua tu sio kaiba, ila sisi tujuavyo kaiba acha ajidanganye mwenyewe tu na wewe ungana nae katika hilo
 
Back
Top Bottom