rais

  1. Hivi Rais Magufuli anayafahamu haya?

    Rais Magufuli ni Rais asiyependa kuona watu wanafanyiwa dhuluma na kunyanyaswa. Mfano mzuri ni alipokuwa kahama alimuonea huruma toka moyoni kabisa mama ambae mume wake aligongwa gari na polisi traffic. Ila kiuhalisia huku ngazi za chini wananchi bado wanadhulumiwa na kunyanyaswa sana. Hasa...
  2. Waziri Mkuchika: Ukihisi umeonewa kwa kuwekwa ndani bila makosa fungua mashtaka

    Mzee George Huruma , Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais inayoshughulikia Uawala Bora kwa kweli umetufungua macho. Nimeona hii clip mahali. Kuna figisu figisu nyingi za kuchomeana na kubambikiwa kesi zinazoendelea nchini. Kuna maRC, maDC wanaona raha kumweka mtu ndani ili tu kujimwambafy. Kumbe...
  3. Raia wa Uganda auawa na kundi la watu wa Kongo

    Inaelezwa kuwa Mganda mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na raia wa Kongo kwa watu wa Uganda. Shambulio hilo lilitokea katika Soko la Nziapande, ambalo lipo takribani kilomita tano kutoka mpaka wa Uganda-DR Kongo ya Busunga wilayani Bundibugyo. Taarifa...
  4. Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Ninajiuliza tu huko kwa mabeberu walivyo na demokrasia ya hali ya juu. Hivi tukiamua kumshitaki kwa amani tu na upendo Rais wetu inawezekana ili na wao serikali yetu wakae mguu sawa katika uwajibikaji kwa wananchi inawezekana? Na kama inawezekana miaka minne sasa Serikali yetu imefanya vizuri...
  5. Waziri Jafo awachana Mbinga Vijijini na kuwapongeza Mbinga Mji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera. Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika. Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
  6. Rais Magufuli atoa onyo kwa wanaojenga mabondeni, wakipata madhara wasiilaumu Serikali

    Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji. Mkuu huyo wa nchi ametoa tahadhari hiyo leo Jumatano Desemba 18, 2019 wakati anazindua mradi wa Visima vya maji Chato na kuzungumza na wananchi wa Chato katika uwanja wa Shule...
  7. Uchunguzi dhidi ya Trump: Rais andika barua ya hasira kwa Spika Pelosi usiku wa kuamkia siku ya kura

    Rais Donald Trump na Spika Nancy Pelosi Rais Donald Trump ameukosoa uchunguzi unaokaribia kufanyika kwa kuandika barua kwa Spika Nancy Pelosi, akimtuhumu kutangaza vita vya wazi dhidi ya Demokrasia ya Marekani. Rais Trump anakabiliwa na kura ya uchunguzi itakayopigwa leo kuhusu madai kwamba...
  8. J

    Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  9. Mary Mubaiwa, mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ashtakiwa kwa kujaribu kumuua mumewe

    Mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ameshtakiwa na jaribio la kutaka kumuua mumewe. Mary Mubaiwa ambaye tayari anashutumiwa kwa madai ya ufisadi, aliwasilishwa mbele ya mahakama moja ya Harare siku ya Jumatatu . Amekana mashtaka yote. Waendesha mashtaka wanasema kwamba alijaribu kumuua...
  10. Miaka 20 ya utawala wa Rais wa Urusi katika picha

    Picha mbali mbali zinazomuonyesha rais wa Urusi Wakati wa utawala wake wa miaka 20 Vladimir Putin: Miaka 20 ya uongozi ndani ya picha 20
  11. Rais mstaafu wa Pakistani ahukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa na kukiuka Katiba

    Rais mstaafu wa Pakistani, Pervez Musharraf (76) amehukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa iliyohusisha kuweko kwa dharura ya Kikatiba mnamo 2007. Hukumu hiyo imetolewa leo wakati kiongozi huyo akiwa mjini Dubai tangu alipoondoka Machi 2016 kwasababu za kiafya na kiusalama na kudai kwamba...
  12. K

    Edward Lowassa ni mtu mwenye maono, uthubutu na misimamo, anafaa kuwa Rais ajaye wa Tanzania, Mungu akutangulie, akulinde na akupiganie

    Awali ya yote napenda kukiri kwamba sijatumwa wala kutumika na yeyote kuandika juu ya hii mada, ni maoni na mtazamo wangu binafsi na pengine ni mtazamo wa wengine wengi wanaomtazama Lowassa kama ninavyomtazama mimi. Katika ulimwengu wa siasa, jambo dogo linaweza kujadiliwa kwa marefu na mapana...
  13. Rais Magufuli utaendelea kuiona kazi ya Urais kuwa ngumu, kwa kuwa huruhusu nchi iwe na taasisi imara

    Nimekuwa nikimsikiliza Mara kwa Mara Rais wangu Magufuli, katika hotuba zake mbalimbali, anazotoa kwenye majukwaa ya kisiasa na Mara kwa Mara amekuwa akirudia kauli yake ya kulalamika na kusema kuwa kazi ya Urais ni ngumu sana na kama yeye angelijua hilo kabla, basi hata fomu ya Urais mwaka ule...
  14. Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

    Ratiba hiyo inajieleza ===== Mwanza. Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania imetua uwanja wa Mwanza nchini humo na kupokelewa na wananchi na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais John Mgufuli. Viongozi wengine waliohudhuria mapokezi ya ndege hiyo iliyotua...
  15. Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Wanabodi, Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu. Angalizo kuhusu paraphrasing. Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya brief for brevity na coherent ujumbe ufike kwa urahisi . Huu ni ushauri kwa rais Magufuli...
  16. Rais wa Zambia amtaka Balozi wa Marekani nchini humo kuondoka baada ya kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Rais wa zambia, Edgar Lungu ameandika barua kwa serikali ya marekani kutaka kuondoshwa kwa balozi wa nchi hiyo nchini zambia. Hatua hiyo imekuja baada ya balozi huyo wa marekani nchini zambia Bw. Daniel Foote kunukuliwa akitoa maoni yanayopinga adhabu ya kifungo cha jela miaka 15 waliyopewa...
  17. TRC yajivunia mafanikio uongozi wa Rais Magufuli

    SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
  18. Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

    Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni 2020 na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai 2021 Lakini pia, ameweka...
  19. J

    Kwa kasi hii ya Rais Magufuli nashindwa kuelewa mzee Mwinyi alifeli wapi hadi viwanda na mashirika ya umma yakafa!

    Nafuatilia kwa makini jinsi taasisi za serikali zinavyozidi kujitokeza kutoa gawio (dividends) kwa serikali. Nimeona hadi vyuo kama SUA, IFM nk vikitoa gawio sambamba na wakala mbalimbali za serikali na hata vitega uchumi vilivyoko jeshini na magereza mfano Suma JKT. Natafakari tu endapo...
  20. Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

    Wajumbe wa NEC Waliokuwa Mwanza Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya Mpya Ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu. Watasafiri bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Hata Hivyo ifahamike kuwa Ndege Hiyo Mpya bado ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…