Leo nakuomba sana sana ukumbuke kuwa wale wapinzani wote mliowanunua na kuwapa mavyeo au kuwashindisha kwenye uchaguzi wa marudio hawakuwa wamefanyiwa vetting ama ya kiserikali ama ya kichama. Mngekuwa mmewafanyia vetting watu kama akina Protabas Katambi, Kafulila, Cecil Mwambe, Karanga, Mollel...