rais

  1. JamiiForums Tanzania Serikali tuonee huruma, mwajiri wetu wa zamani hakupeleka mafao yetu kwa mujibu wa Sheria

    Natanguliza zangu nyingi shukrani kwako Mh Rais kwa mengi unayofanya kwa ajili ya Wananchi wako, pamoja na hayo kuna mambo mengi aidha watendaji wako hawakuambii au wao ni sehemu ya uozo huo. Yapata miaka zaidi ya miwili tunahangaikia kufuatilia pesa za michango yetu ya hifadhi ya jamii ambayo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Nimefuatilia kwa makini mikutano yote ya Halmashauri Kuu na Mikutano Mikuu ya vyama vya upinzani particularly CHADEMA na ACT-Wazalendo nikapata funzo kubwa, kuwa za kuambiwa nichanganye na zangu kwa sababu hawa jamaa wanamkubali sana Rais Magufuli katika mambo mengi ila tu hawataki kusema kwa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kupata nafasi ya kuonesha ushujaa wako

    Napenda kutanguliza salamu zangu kwenu. Niwakumbushe tu fasili ya neno shujaa ni kuwa ni mtu anayefanya mambo makubwa mazuri yasiyotegemewa katika kipindi au sehemu ngumu. Ni hivi Sasa tangu uanze mchakato wa kura za maoni kila kuchapo Kuna malalamiko mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali tena...
  5. JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na nchi jirani, nini kimetokea kati yetu na Rais Kagame?

    Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara. Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais atakayetatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama China

    Hakuna Rais atakaye tatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama watu wa China walivyo jielimisha, hata kama CCM ikiondoka madarakani. Kwa sababu tatizo la ajira linatokana na ukosefu wa uzalishaji mali barani Afrika, ukosefu wa wataalamu wa viwanda ingawaje tuna wasomi wengi. Rais wa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais ajaye aongezewe nafasi 20 zaidi za teuzi za Wabunge, Bunge lijalo litajaa vihiyo wengi, tukifuata Demokrasia ya Kura za Maoni

    Baada ya vita kati ya wasomi na wajumbe kuisha, inaonekana wajumbe kushinda kete ya kuwaingiza wenzao kwenye bunge. Inaelekea wasomi hawajaleta tija kwao kutokana na kupwya kwa bunge lililopita. Kwa ufupi wa kulaumiwa ni hawa viongozi yani Ndugai na tulia walivyoshindwa kusimamia hhoja...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kamwelwe amrejesha kazini Meneja wa TANROADS mkoa wa Pwani baada ya kumtumbua kwa kushindwa kusimamia barabara

    WAZIRI KAMWELWE AMREJESHA KAZINI ALIYEMTENGUA: Waziri wa Uchukuzi, Mawasiliano na Ujenzi, Mhandisi Isaack Kamwelwe ametangaza kumrejesha kazini Meneja wa TANROADS Mkoa wa Pwani aliyemtengua katika nafasi hiyo siku mbili zilizopita kwa sababu za kushindwa kusimamia utekelezaji wa ukarabati wa...
  10. JamiiForums Tanzania Songwe: Ahukumiwa jela miaka mitatu kwa kumtukana Rais Magufuli

    Fadhili Silwimba, mkazi wa kijiji cha Nzoka Wilayani Momba Mkoani Songwe, amehukumiwa kulipa faini ya shillingi Millioni 5 au kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kukutwa na hatia ya kumtusi Rais Wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Magufuli katika mtandao wa Facebook. Hakimu Mkazi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Trump anapanga kuipiga marufuku App ya Tik Tok kutoka China ifikapo Septemba 15

    Rais Donald Trump ametangaza kuwa ndani ya siku 45 zijazo atazuia mitandao ya kijamii ya TikTok na WeChat inayomilikiwa na wachina kama isipouzwa kwa wamarekani ndani ya siku 45 zijazo Trump alipanga kuzuia mitandao hiyo Septemba 15, ikiwa mitandao hiyo haitauzwa. Aidha mitadao hiyo ilikuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nina kesi 6 Mahakamani nikihusishwa na uchochezi lakini hazininyimi sifa ya kuwa Rais kwa mujibu wa Katiba

    Tundu Lissu mwenyewe amefafanua juu ya kesi zinazomkabili pale Mahakama ya Kisutu na kwamba kesi hizo hazimuondolei sifa ya kupigiwa kura na kuwa Rais wa JMT. Amebainisha kuwa hilo liko wazi kabisa katika katiba ya nchi yetu. Maendeleo hayana vyama!
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za uchaguzi wa Rais kwa CHADEMA zitagharamiwa na nani?

    Kwa upande wa CCM inaeleweka chama hicho kina rasilimali za kutosha hivyo mkoa unaweza kugharamia shughuli zote za kampeni ya Rais katika mkoa husika. Nauliza kwa upande wa CHADEMA na ACT Wazalendo kama wana ukwasi wa kuweza kumudu kufanya kampeni nchi nzima!! Kwa mfano CHADEMA walifeli...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo (10) kumi usiyo yajua kuhusu Rais John Pombe Magufuli

    NA MILADY AYO MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI. 1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani. 2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CCM wazalendo, mwambieni Rais Magufuli arekebishe haya mapungufu

    Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa. Kila kwenye mazuri na mapungufu hayakosi. Leo tena ninawaomba wale wazalendo wa kweli ndani yaCCM wafuate nyayo za hivi karibuni za Mstaafu JK. Jaribuni kutumia fursa kumwambia ukweli Rais JPM. Kwanza mtangulize nia njema na muwe...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT " Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Rufiji aliyemdanganya Rais atupwa Lupango

    Napenda kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kugundua kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw. Brighton Kilimba alitoa taarifa za uongo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Magufuli kuwa gari ya wagonjwa ya Kituo cha Afya Ikwiriri haiwezi...
  19. JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli anapokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi wapya wa Marekani na Vietnam 🇻🇳

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
  20. JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta jirani mwema, atupenda Watanzania, amkubali sana JPM. Asisitiza upendo, umoja na ushirikiano kati Wakenya na Watanzania tujenge EAC 1

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa. Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…