rais

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta ametusaidia kuwaambia wanaotaka katiba mpya kuwa siyo jibu la matatizo yetu

    Kenya Considers New Constitution To Avoid Perennial Violence Kenya’s President Uhuru Kenyatta has called for a change of the constitution, outlining the benefits it will have for future generations. “We spend almost two years after every election on conflicts,” he said, “and that is what we...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania. Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ongeza mishahara mwezi huu, watumishi watakuelewa

    Hizi siku chache zilizobaki, unaweza kuzitumia vizuri kwa kuwaongezea mishahara watumishi. Hawa ni watu wasio na kinyongo na huridhika kwa kitu kidogo tu. Ili kupunguza 'technicalities' nakushauri uongeze 'flat tate' yaani ukiamua kuongeza, ongeza bila kujali ngazi ya mshahara wa mtumishi. Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani mwaka 2082

    Huko mwaka 2018 kulivuma habari, Marekani baada ya mtu mmoja asiyejulikana jina ....kutuma ujumbe wa sauti katika vyanzo mbalimbali ikiwemo vya habari Mtu huyo alieleza kuwa 12-9-2018 atazaliwa mtoto wa kiume atakaeitwa JAYNOUE OLIVER BECK. ambaye atachaguliwa kuwa raisi wa marekani 3-11-2082...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

    Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao! Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza...
  6. JamiiForums Tanzania Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi

    HATA RAIS HUDANGANYWA; NJAMA ZA IKULU. Na, Robert Heriel Soma mpaka utakapoamua kuishia, masuala ya kuambiana andiko refu hayo achana nayo, nimeandika refu kwa sababu wapo wanaopenda maandiko marefu, wewe unayependa andiko fupi soma utakapoishia. IKULU ni maskani yaliyorasmi anayoishi Rais na...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu amjibu Mama Samia Suluhu kuhusu uhakika wa CCM kuunda Serikali

    Siku chache zilizopita mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM na makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan alinukuliwa ktk moja ya mikutano yake ya kampeni akisema.. Hata kama kura hazitatosha mwaka huu, wao (i.e CCM) wana uhakika wa kuunda serikali na kuendelea kutawala kwa miaka mingine...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

    Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
  10. JamiiForums Tanzania Wadau wa Sekta Binafsi kukutana na Rais Magufuli ukumbi wa JNICC

    Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 TPSF na Siasa za Uchaguzi: Waandaa mkutano kumpongeza Rais Magufuli kwa mafanikio makubwa ya miaka 5 iliyopita

    Huu hapa chini ndo mualiko wao uliosambazwa leo: MUALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA MKUTANO MAALUM WA SEKTA BINAFSI KUMPONGEZA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KWA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA MIAKA MITANO YA UONGOZI WAKE (2015-2020) UKUMBI: JULIUS...
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

    Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani. Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia...
  13. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

    Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake. Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo...
  14. JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni? Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sijamsikia Mgombea Urais mwenye sera hizi

    Ningetamani sana kama ningemsikia mgombea uraisi mwenye Sera kama vile: . Kuweka wazi mshahara na marupurupu atakayojilipa . Kusema atapunguza mshahara na posho zake . Kupunguza ukubwa wa serikali . Kupunguza idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge hasa viti maalum maana hawapo huru kutoa maoni...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Iringa Mjini: Nchi hii inahitaji Rais mchumi na mwenye huruma na watanzania, mkinichagua kuwa nitafuta umasikini

    NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA" IRINGA MJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli hii Boko-Chasimba kuna dhulma ya wazi iliyonyamaziwa kama haipo tupia jicho lako haki itendeke

    Leo naandika tena kwa uchungu mkubwa nikiikumbuka Serikali yetu sikivu ambayo inajitahidi wakati huu wa kampeni kupita kila mahali kuomba kura kuwa ikumbuke dhulma iliyofanyika katika eneo la Chasimba inasikitisha mno. Eneo la Chasimba linaulikana historia yake ambapo lipo chini ya Kiwanda cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…