rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

    Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu. Napenda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuvunja Katiba kuwateua Prof. Kabudi na Mpango kuwa Mawaziri kabla ya kumuapisha Waziri Mkuu. Zitto ndiye alifaulu kupotosha umma

    _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ TITLE: KATIBA HAIMLAZIMISHI RAIS KUSHAURIWA ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 DATE: December 16, 2020 NEWSPAPER: RAIA MWEMA, pg. 19 _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ Tarehe 12/11/2020 Rais John Magufuli...
  3. JamiiForums Tanzania Sera ya Rais Mwinyi ya Uchumi wa Bahari " Blue Economy" ni alama ya ukombozi kwa wanyonge kiuchumi

    Salaam Wana JF. Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
  4. JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi kupewa jina la Rais Magufuli ili akumbukwe katika Utawala wake

    Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema daraja la Kigongo- Busisi limepewa jina la Rais John Magufuli ili aendelee kukumbukwa milele kutokana kazi kubwa aliyoifanya kwenye utawala wake. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Desemba 18, 2020 alipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu hapa Rais 2025 ili tuvuke salama

    Nikuu kutoka maktaba: Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu namna sakata la wizi wa fedha kwenye akaunti ya Escrow linavyoshughulikiwa, huku wengine wakisema umefika wakati sasa nchi iongozwe na rais dikteta. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hali Ikiendelea hivi, Nitamuunga Mkono Rais Magufuli

    HALI IKIENDELEA HIVI, RASMI NITAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Mimi ni moja ya aina za watu ambao wana misimamo isiyoyumba, wenye kupenda ukweli na kupenda haki na kuitenda. Nimejibainisha hivyo mara nyingi kama sio zote. Ni wale tusio na unafiki na tusio angalia uso wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais yuko sahihi kuwa tutilie mkazo tiba za asili

    Hoja ya JPM kuwa tutilie mkazo tiba zetu ni ya msingi sana. Dawa nyingi sana tunazotumia leo ni dawa zimetokana na mitishamba au asili yake ni miti shamba. Siku moja nilikuwa na kikohozi, jamaa yangu akaniambia ukichukua mizizi ya ya huo mmea na kutafuna unakata kikohozi. Kweli nilipotafuna...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajaguswa na kifo cha 'Taycoon' Subhash Patel?

    Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda. Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi Lakini mbona...
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

    Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi. Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

    1. Amempongeza kwa ushindi. 2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona 3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita 4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa 5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere...
  13. JamiiForums Tanzania Nawashukuru ICC-Mahakama ya Kimataifa kwa kunijibu na kunipa mwongozo wa kumshitaki Rais kuvunja Katiba ya Nchi

    ICC WAPO KIKAZI KWELI. Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi avunja Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Meli na Uwakala baada ya kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji wa shirika hilo

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amvunja bodi ya wakurugenzi wa shirika la meli na uwakala. Taarifa iliyotolewa leo Jumanne Novemba 15, 2020 na katibu kiongozi, Dk Abdulhamid Mzee inaeleza kuwa kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na Serikali kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji wa shirika...
  15. JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

    Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi amtumbua Katibu wa Rais, Suleiman Ahmed Saleh siku 37 baada ya kuteuliwa

    Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine. Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo zikiwa zimepita siku 37 baada kumteua na kumwapisha 7 Novemba 2020. Pia soma > Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amteua...
  17. E

    JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums, mnisaidie kupata majibu haya yanayowahusu Wasaidizi wa Rais

    Kuna matukio yamekuwa yakitokea katika taasisi za Serikali lakini zikihusishwa Ofisi za wasaidizi wa karibu wa Rais. Kuna wakati Rais Magufuli aliagiza moja ya kitengo cha kushughulikia wawekezajji kiondolewe Ofisi ya Waziri Mkuu. Je, Waziri Mkuu alikuwa hajui, au amechoka na Speed ya jamaa...
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

    Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa hata kwa tindo na kotapini. Napiga picha jinsi mbunge wa Geita mjini ambavyo alikuwa hakubaliki...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anaapisha jumla wa Mawaziri 21 baada ya kuwa tayari ameshawaapisha Mawaziri Mawili ambao ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philipo Mpango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni Bodi gani inaweza kumpangia mtumishi wa umma mshahara mkubwa kuliko wa Rais?

    Kwa mujibu wa Rais Magufuli ni kwamba kuna watumishi wengi tu wamemzidi mshahara. Sasa nauliza tu. Je, ni bodi ipi ina ujasiri na mamlaka ya kuipima kazi ya mkurugenzi fulani ni kubwa, ya thamani na ni ngumu kuliko ya Rais? Je, mshahara wa Rais Tanzania hupangwa na Rais mwenyewe aliye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…