rais

  1. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki. Mfano People Daily online hasa la leo. Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri awamu ya sita agombee Rais Mstaafu Ndg. Jakaya Kikwete

    Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana. Uchumi ulizidi kuimarika, deni la taifa lilikuwa chini, miundombinu ilizidi kujengwa, Watumishi wa Umma walipata increment na...
  3. JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais atoa ruhusa kwa Wanajeshi kuwapiga risasi Watu wote watakaoonekana na bunduki ya AK-47

    Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari. Amri hii imetolewa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama, baada ya visa vitatu vya utekaji nyara kati ya Desemba na...
  4. JamiiForums Tanzania Namna Vyombo vya Habari vya Kimataifa vilivyoingia mtegoni kueneza uvumi wa kifo cha Kim Jong Un

    Rais wa Korea Kaskazini alionekana akiwa hai mara baada ya vyombo vya habari vya Kimataifa kama CNN kuripoti kuwa amefariki dunia. Je, ni kitu gani kilipelekea vyombo hivyo vya habari kutoa taarifa kuhusu kifo chake? Mwaka 2020 kulitokea uvumi kuhusu kifo cha Rais wa Korea Kaskazini, Kim...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Covid 19: Rais Kenyatta apiga marufuku mikusanyiko ya kisiasa kwa siku 30. Curfew yaongezwa kwa siku 60

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza taratibu mpya za kudhibiti janga la COVID-19 nchini humo ikiwa ni pamoja na: Mikusanyiko ya kisiasa imepigwa marufuku kwa siku 30. Marufuku ya kuwa nje usiku imerefushwa kwa siku 60 zaidi Mabaa na kumbi za burudani kufungwa kuanzia saa tatu usiku. Mazishi...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji awafuta kazi Wakuu wa Majeshi

    Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic States kaskazini mwa nchi hiyo na uasi wa wanamgambo wanaohusishwa na chama kikuu cha upinzani. Katika taarifa iliyotolewa usiku Alhamisi rais hakutoa sababu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru ajitambulisha Zanzibar. Rais Mwinyi amtaka akawaletee wananchi maendeleo

    Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi. Maendeleo hayana vyama!
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Rais Joe Biden amng'ata mlinzi wake

    Champ na Major ambao ni mbwa wa Rais Joe Biden, wamehamishwa kutoka White House na kupelekwa Delaware kwenye makazi binafsi ya Joe Biden. Hii ni baada ya mbwa mmoja (Major) kumng'ata afisa wa CIA ambaye anamlinda Rais Biden. The two German Shepherds belonging to President Joe Biden and first...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  12. JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wapata ajali. Mmoja wa Watumishi wake afariki

    Hii ni kwa mujibu wa ITV . Taarifa zaidi zitawajia .... UPDATE Mhudumu wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamis Machenga amefariki dunia baada ya msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kupata ajali nje kidogo ya mji wa Zanzibar na watu kadhaa wamejeruhiwa.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Mataifa yanajifunza mengi kutoka Tanzania, hata Marekani sasa ina Makamu wa Rais Mwanamke

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa. Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema. Chanzo: TBC Maendeleo hayana vyama!
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta akutana na Rais wa Baraza la Ulaya

    Rais Uhuru Kenyatta leo tarehe 9 Machi, 2021 amefanya kikao na Rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel katika Ikulu ya Nairobi. Viongozi hao wamejadili masuala pana yanayohusu uhusiano wa Kenya na Umoja wa Ulaya yakiwemo: • Kukuza uhusiano wa sekta binafsi ya Kenya na Umoja wa Ulaya ili kubuni...
  15. JamiiForums Tanzania Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

    Kuna watu watadhani labda nafanya masihara ila ukweli nimejipanga kuchukua nchi kama watanzania mnataka kuachana na haya maisha magumu. Yafuatayo ndio yatafanyika kwenye utawala wangu: 1. Mifuko ya hifadhi ya jamii NSSF na PSSSF nitaifyekelea mbali Michango ya wafanyakazi itaenda kwenye...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais Mwinyi na Magufuli hawawasiliani katika uongozi?

    Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania). Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria na Makamu wake wapatiwa chanjo ya Covid 19

    Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya corona. Nigeria wiki iliyopita ilipokea chanjo ya Covid 19 ikiwa ni mwanzoni mwa awamu ya pili ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Suala la kuongeza muda wa Rais ni ajenda ya Rais Magufuli

    Bwana Lissu anaongea kwa kujiamini kabisa. Anaongea kama vile ana uhakika na anachokisema. Kuwa, eti hii minong’ono ya Rais Magufuli kuongezewa muda, ni ajenda yake yeye mwenyewe Magufuli kupitia kwa wapambe wake. Natumai ana ushahidi wa anachokisema. La sivyo, ni vibaya sana kwa kiongozi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Taswira ya Tanzania kimataifa iliyoachwa na Mwalimu Nyerere, Rais Magufuli ameiharibu. Ni aibu kubwa kutoshirikiana na WHO

    Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa. Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ryoba: Mwalimu Nyerere alikuwa tayari Uhuru wa Tanganyika uchelewe ili tupate pamoja na Kenya na alikuwa tayari Kenyatta awe Rais!

    Mwanafalsafa Ayoub Ryoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa TBC amesema Mwalimu Nyerere alipenda zaidi Tanzania na Kenya ziungane na kuwa nchi moja. Dkt. Ryoba anasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika ili tupate pamoja na Kenya kadhalika alikuwa tayari kumwachia mzee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…