rais

  1. Mh Rais, Watanzania tunahitaji uisimamie katiba ya JMT inavyostahili

    Tumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida. Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta kilio kikubwa. Hili ni tatizo kubwa sana, wewe kama mkuu wa nchi hukupaswa kuwalilia wanaobambikizwa...
  2. J

    Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

    Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki. Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa. Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
  3. F

    Rais mstaafu wa DR Congo, Joseph Kabila apokonywa walinzi

    Rais mstaafu wa Congo DR, Joseph Kabila Kabange apokonywa walinzi wa kikosi cha jeshi waliokuwa wakimlinda na kupewa ulinzi wa Polisi wa kawaida. Haijulikani sababu ya uamuzi huu uliofanywa na Serikali ya Felix Tshekedi. Siku za karibuni wawili hao wamekuwa katika mgogoro wa madaraka. Habari...
  4. Rais Magufuli azitaka Wizara kutominya taarifa na zikubali kukosolewa, aagiza Wizara ya Habari kufuatilia

    Akiendelea na ziara yake ya siku tatu mkoa wa Dar es Salaam, ambapo leo Februari 25, 2021 ameweka jiwe la msingi katika soko la Kisutu na kuzindua jengo la Jitegemee, Rais Magufuli ametoa wito kwa wizara zote nchini kuwa wepesi kutoa ushirikiano kwa wanahabari ili kufikisa taarifa kwa...
  5. Tunaopinga maamuzi ya Rais kuhusu jiji la DSM tulitaka afanyeje?

    Wakuu Mimi chombo changu kikuu na pekee cha habari ni mitandao ya kijamii. Sio gazeti, radio wala TV. Kwa sababu huku napata habari isiyoghoshiwa (Censored) kwa kiasi fulani. Sasa nimepotea kidogo tu nakutana na malalamiko mengi sana kuhusu Ilala kuwa jiji, kuhusu maamuzi aliyofanya Mkuu...
  6. Rais Magufuli: Namshukuru ndugu Bashiru, Channel 10 tulinyang'anywa na kudhulumiwa

    Leo Rais Magufuli amezindua jengo la Jitegemee linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi lililokarabatiwa, miongoni mwa taasisi zilizopo ndani ya ni studio mpya za AMGL zinazoendesha vituo vya Channel 10, Plus na Magic FM. Baada ya uzinduzi huo, Rais Magufuli aliomba kuchagua mziki wake na kuchagua...
  7. J

    Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

    Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam. Tukio liko mubashara katika runinga zote Updates; Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais kukushukuru sana kabla ya mkutano huu wa hadhara umetupa heshima ya kuzindua Magic FM Radio pamoja na...
  8. K

    Mlio karibu na Rais Magufuli, naomba muulizeni swali hili na awape majibu

    Wadau amani kwenu... Kuna jambo linanitatiza na kunisumbua sana kichwa. Nimedokezwa humu JF kuna watu al-maarufu kama "vipenyo" yaani watu kutoka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambao wana access ya kumfikia mzee baba. Ninaomba wanisaidie kumuuliza nini faida na manufaa yaliyopatikana...
  9. Rais, subiri kidogo kutia saini kulivunja jiji la Dar es Salaam

    Mji wa Dar es Salaam ulikuwa ni sehemu tu ya mkoa wa Pwani, kutokana na idadi yake kubwa ya watu wanasiasa waliamua ujitenge ili uwe mkoa unaojitegemea. Ilala, Kinondoni, Temeke na Ubungo ilikuwa ni mitaa tu ya mji wa Dar es salaam ambayo baadae wanasiasa waliigeuza kuwa wilaya/halmashauri ili...
  10. Dhamiri yamlazimisha Rais Magufuli kukiri uharibifu katika uchaguzi wa Oktoba 2020

    DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020! Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa...
  11. K

    Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
  12. Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

    Rais Magufuli ameivunja Halmashauri hiyo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Februari 24, 2021 Ameipandisha hadhi Halmashauri hiyo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 5(1) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za...
  13. K

    Rais kuitwa mtukufu na kuabudiwa hadharani bila kukemea inaashiria nini?

    Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu. Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini. Nilijua Rais atakapoamka kutoa...
  14. K

    Mbunge wangu wa Kibamba, changamkia fursa ya mheshimiwa Rais haraka iwezekanavyo kabla ya bajeti

    Leo Mh. Rais wakati akizindua stand ya mabasi ya mbezi luis amepokea maombi murua kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni mbunge, nitapenda kuongelea ombi moja kati ya mengi aliyoyaomba kwa maana yote yamepata majibu safi sana. Ombi lenyewe ni barabara za jimbo la Kibamba. Nakupongeza sana...
  15. Baada ya kauli ya Rais, nawasikitikia sana waliochukua fremu za biashara kwenye ya stendi kuu ya mabasi Mbezi

    KWA KAULI YA JPM, Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO. Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako, Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa...
  16. Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

    Akiwa katika uzinduzi wa daraja la juu Ubungo amesema atalivunja jiji na kuipa Ilala hadhi ya jiji na wilaya zingine zibaki kuwa Manispaa. ---- Rais Magufuli ameyasema haya Nategemea Jiji la Dar es Salaam kulivunja na hii nawaambia hapa ili tutengeneze jiji la eneo fulani, tunaweza...
  17. Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

    Namshukuru M/Mungu , kwa kutupa utulivu na amani, mhe ris mwinyi , uchaguzi umekwisha na umefanikiwa kuanzisha furaha na upendo uliokuwa umeanza kutoweka hususani mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha. Ombi langu kwako (Mungu amrehemu Maalim Seif) na viongozi wengine...
  18. Rais Magufuli: Niliwahi kuwa dereva wa teksi bubu

    Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange. Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki...
  19. J

    Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

    Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM. Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…