rais

  1. JamiiForums Tanzania Somalia yakosoa vitisho vya nje baada ya Rais kuongezewa miaka miwili madarakani

    Nchi hiyo inawatuhumu baadhi ya washirika wake kwa nje kwa wake kudhoofisha Uhuru wake baada ya Serikali kutishiwa na vikwazo kufuatia uamuzi wa kuongeza mamlaka ya Rais kwa miaka miwili. Washirika muhimu wa kigeni wamekemea uamuzi huo wakisema kumuongezea muda Rais Mohamed Abdullahi unatishia...
  2. JamiiForums Tanzania Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

    Tito Magoti SUMMARY: Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini. Mheshimiwa Rais, licha ya uwepo wa misingi ya kitaasisi na kisheria katika uwanda wa haki jinai, bado kuna changamoto zinazotia doa suala la utoaji haki nchini. Barua hii inabainisha masuala machache ambayo kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya kumbukumbu ya Hayati Jemedari Dkt. Magufuli iadhimishwe sambamba na mashujaa hawa wa kizalendo nchini

    Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo. Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki alifunga ndoa na Lucy Muthoni 1962

    Picha imeambatanishwa
  6. JamiiForums Tanzania Sio fair, Wanaoshinikiza Rais Mama Samia afikiri kama Magufuli sio uungwana

    Nashukuru Mungu kwamba angalau Tanzania ya hoja kwa hoja inarejea taratibu. Kumeibuka kundi la watu linaloshinikiza Mhe. Rais Mama Samia afikiri kama Hayati magufuli. Haieleweki vyema kwa nini wanafikiri hivyo ila kimsingi sio fair kabisa. 1. Mzee Mwinyi hakufikiri kama Nyerere, Mzee Mkapa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akutana na Makamu wa Rais Philip Mpango Ikulu ya Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021. -- Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua...
  9. JamiiForums Tanzania Nukuu (Quotes) mbalimbali za Rais Samia Hassan Suluhu

    Salaam Wakuu, Thread hii iwe ndo thread kuu itakayosheheni Nukuu za Amri Jeshi na rais wa JMT Samia Suluhu. Usisite kuweke nukuu yake ukikutana nayo. “Kwa wale ambao wana mashaka Mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nataka niwaambie aliyesimama hapa ni Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia asaini Sheria kuongeza miaka miwili madarakani

    Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed amesaini Sheria Tata inayoongeza mamlaka yake kwa miaka miwili, huku hatua hiyo ikipingwa vikali na Wafadhili. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Serikali na Waziri wa Habari, Osman A Dubbe Rais amesaini Sheria hiyo ambayo ilipitishwa na Bunge. Hata...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la wasaidizi wa Rais Samia, namtetea Rais Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    Mheshimiwa Jakaya Kikwete Rais wa awamu ya nne amekuwa akishikwa uchawi siku za karibuni baada ya kifo cha Rais wa awamu ya Tano John Magufuli. Zinatembea mitandaoni sauti za kurekodiwa (audios) pamoja na zile za Youtube zikimshambulia Mzee wa Msoga kama vile ni mhusika wa yaliyolikuta taifa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, geuka nyuma uone anachofanya DED wa Temeke, aibu!

    Enyi wana wema mliojirani na Rais Samia Suluhu Hassan mstueni bega ageuke nyuma aone kwa macho yake mawili, asikie kwa masikio yake mawili then atumie ile rula ya kupima mabega ya wateule alivyoahidi. Mkurugenzi huyu amelewa chakari fedha za umma kana kwamba TAKUKURU wako likizo au wanamuogopa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wabunge wanaomshambulia hayati Magufuli wakome, wengine walikuwa hawachaguliki Magufuli akawakingia kifua. Lusinde kupewa Udaktari

    Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema Hayati Dkt. Magufuli amefanya mambo mengi na kuna Watu walikuwa hawachaguliki kwenye Uongozi lakini kipindi cha Magufuli walipata nafasi Amesema wanaotaka Mradi wa Mwl. Nyerere usitishwe hawaelewi faida za mradi huo na tayari Serikali imeshatumia...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

    Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mtu wa namna gani hasa?

    Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani? Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye. Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za...
  17. JamiiForums Tanzania Amri ya Rais yapuuzwa waziwazi bila aibu

    Habari watanzania wenzangu? Kwa wale wa Dar es salaam,poleni na hali ya hewa hii ya baridi na mvua za mara kwa mara. Ni takribani wiki mbili kama sikosei toka Rais wa Jamhuri ya Muungano alipotoa agizo kuwa gharama za vifurushi zishuke na zirudi kama ilivyokuwa awali,cha ajabu mitandao ya simu...
  18. JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais Samia Suluhu Hassan ni upi kwa mawaziri

    Rais alipohutubia mara ya pili na mara ya Tatu alipokuwa akiwahotubia Mawaziri na Makatibu wakuu alizungumzia habari ya Uonevu, kesi na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua maramoja, akaongeza bango litakalo onekana DC au Mkurugenzi hawana kazi sisi hatujamuelewa vizuri hili swala la bango...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaosisitiza Rais Samia atakuwa 'one term President' mlisikia wapi kuwa anataka kipindi cha pili?

    Naona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might...
  20. JamiiForums Tanzania Tumshinikize Rais Samia kuhusu satellite ya Tanzania...

    Ikifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi. Kenya wanayo, Egypt wanazo 9. Hii technology ipo available na gharama wala sio ya kutushinda kama Taifa. Ni nusu ya ndege moja tunazonunua au even chini ya hapo. Faida zake ni nyingi mno kulingana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…