Siyo siri, nchi ilikuwa katika sintofahamu, hofu na ahadi ya ufukara kwa nchi na mtu mmoja mmoja.
Matokeo ya uongozi wa Mwendzake.
Kitu cha kwanza Mam Samia kaondoa ni hofu.
Hofu ilikuwa ya ya kutekwa, kubambikwa kesi za uhujuumu uchumi , kuuwawa na hata kuishia jela bila makosa yoyote.
Pili...
Haujambo mwana JF mwenzangu wa jukwaa letu pendwa la siasa. Ni matumaini yangu unaendelea kupigana vizuri na changamoto za maisha hasa kwenye uchumi huu ulio dorora kutokana na changamoto za UVIKO. Pambana mwana jamvi, usikate tamaa, maisha ni kuishi kwa matumaini kila iitwayo leo mpaka pale...
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.
"Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
Ndugu zangu, kwanza nawapongeza kamati ya maandalizi kwenye meza ya Rais. Mmejitahidi kwenye miundo ya rangi lakini kwenye mpangilio wa meza ya Rais mmetutia aibu sisi wapenda usafi. (Usafi ni pamoja na kuweka kila kitu mahala pake ikiwemo miundo iliyo nyooka na kusawazishwa).
Ingelikuwa...
Ivi hapa mama Samia kapotea.
Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa?
Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee?
Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
Mama Samia
Wengi watatoa maoni yao kuhusu hotuba yako na wahariri wa vyombo vya habari lakini leo sitajiunga nao bali nitakupa zawadi ya kutimiza siku 100 kwa Post hii ya kukuomba msamaha. Sio kwa post zangu ambazo zimekuwa critical bali kwa "Kutokukupa Muda". Mheshimiwa Rais wote walio na...
Ndugu zangu,
Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda".
Leo Rais Samia Hassan akijibu hoja hizi za "Katiba mpya" na Mikutano ya vyama vya siasa" kasema "nipeni muda nisimamie uchumi wa...
Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.
Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.
Chanzo: ITV
Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.
Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari.
Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19.
Nawasalimu kwa jina la...
SIKU 100 ZA RAIS SAMIA, UMEME VIJIJI 400
Na. Georgina Misama - MAELEZO
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema katika siku 100 za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi wa maeneno mbalimbali huku akitaja kuwa...
TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete...
Ndugu katibu mkuu CCM,
Ndugu wanachama,
Ni dhahiri chama kinasimamia Serikali,
Wabunge 19 waliopo bungeni bila ridhaa ya Chadema ni mtaji kwa CCM kwa sasa. Madhara yake baadae ni makubwa.
Nashauri serikali iwasimamishie mishahara yao mara moja hawa waliingia kwa jinai bungeni kupitia...
Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo.
Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Katika sheria hii, hakuna mahali rais amepewa mamlaka ya kuzuia mchakato wa...
Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua upite mule mule kwa Kumpigia Msanii wa Kike Nandy akiwa anatumbuiza Mkoani Dodoma na Kumpongeza pia...
Nimesikia katika vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa kuwa Rais Samia Suluhu ametimiza siku 100 madarakani leo 27/06/2021.
Nachokumbuka huyu Rais Samia alikula kiapo cha kuwa Rais wa JMT tarehe 19/03/2021 na hivyo siku 100 ni keshokutwa 29/06/2021.
Inakumbukwa Rais John Magufuli...
Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya.
Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie vitakasa mikono, tuvae barakoa na tusigusanegusane. Ugonjwa wa Korona upo.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa.
Tundu Lissu amesema...