rais

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kumuogezea kiongozi mkuu ulinzi wa uhakika zaidi kwakuwa adui kadhamiria kutenda maovu

    Mchakato wa kumpata mkuu wa nchi ni mchakato wenye gharama kubwa. Na anapopatikana mmoja basi jukumu kubwa la kwanza ni afya yake na ulinzi wake! Kama vile hakuna binadamu anayekosa rafiki, vilevile hakuna binadamu anayekosa adui na rais wa nchi si malaika wala kizuka.. Rais ni binadamu hivyo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu ni cheo au ni hadhi tu?

    Nauliza tu kwa wale wataalamu wa itifaki za kitaifa kwamba Rais mstaafu ni cheo au ni hadhi? Kwa mfano pale Kenya Mh. Mwai Kibaki anatambulishwa kama Rais wa zamani wa Kenya na huwa hana misafara yoyote kwenye shughuli zake za ujasiriamali. Kwa hapa nyumbani ndio sijaelewa kama Rais mstaafu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tuchukulie umepata nafasi ya kuwa Rais kwenye nchi hii, Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, n.k. Je, ungewafanya nini?

    Hebu kulalamika na kulaumu tu pause kidogo. Chukulia umepata nafasi ya kuwa Rais wa JMT, Waziri Mkuu, Waziri, Katibu Mkuu kwenye wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mbunge, Diwani, na kadhalika na kadhalika. Ki ujumla we ni mtu uliyepo kwenye system na kuwa sehemu ya maamuzi kwa ajili ya nchi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chadema walimpenda sana Job Ndugai na alipoenda India walimlilia, kwa sasa Chadema wanampenda Rais Samia!

    Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu. Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka. Aliporejea Freeman alienda air port kumpokea na kumsindikiza hadi nyumbani kwake...
  5. n00b

    JamiiForums Tanzania LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia boresha kila kitu tutakusahau, ila ukimaliza mchakato wa Katiba tutakukumbuka milele

    J K Nyerere alikuwa Pan Africanist na hicho ndicho kilicho mpamanua dhidi ya wenzie kama akina Jomo Kenyatta au Milton Obotte. Miaka yote alifikiria kuunga mkono mapambano ya nchi zinazopigana na wakoloni. Mwinyi alikuwa mwana Diplomasia mliberali na ndiyo maana akafungua milango ya uchumi wa...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi. Pia soma > Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni kweli hakuna vijana unaowaamini?

    Ni Jambo la kawaida Sana kuwa kiongozi hujaribu kuwaweka karibu watu anaowamini Sana na akitegemea matokeo chanya Toka kwao. Mh.Rais kumbuka kuwa asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa ni vijana, wanahitaji kupewa nafasi za uongozi ili kuleta tija na msukumo mpya katika utendaji wenye ufanisi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

    Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi? Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Rais wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Wanabodi nawasalimu. Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea. Serikali...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jeshi la Polisi msitumie Sheria kama 'Kitega Uchumi'

    RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Polisi wasitumie makosa kama kitega uchumi kwa kutoza faini mbalimbali badala yake wajikite kwenye kudhibiti makosa Ameyasema hayo alipokuwa katika Ziara ya Kuzindua Kiwanda cha Ushonaji cha...
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

    Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga. Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa...
  13. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Brigedia Generali Nduku Mabele kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi kuwa Mkurugenzi wa SUMA - JKT

    Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usipangue Wakurugenzi wa Halmashauri, ile ni nafasi ya utumishi wa umma

    Mwaka 2015 Magufuli alipoingia madarakani alipanua wigo wa uteuzi na kuapisha. Tulishuhudia akiteua waliokuwa makada wa CCM zaidi ya 200 na kuwapa nafasi za Ukurugenzi wa Halmashauri (DED) na wengine wakiwa na DAS ( maafisa tawala wa wilaya). Na kisha akawaapisha. Hii ilipelekea ma DED wengi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Rais Samia kuisuka upya Serikali yake, hujuma zimeanza kuwa za waziwazi

    Leo nimeenda kununua umeme kituo kimoja cha TANESCO. Nikiwa kituoni pale kulikuwa na msururu mrefu sana wa wananchi wakiwa kwenye foleni, akaja mtu ambaye haiba yake inaonyesha ni mtu mwenye uwezo hivi kifedha. Yule bwana akajinadi kuwa ni Muinjilisti, akaanza kuchanganya maneno ya dini na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ulazima wa wakati Rais wa JMT anaapisha wateule wake hafla kuhudhuriwa na viongozi wakuu wote na wale wa vyombo vya dola?

    Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo. Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC? Ni hilo tu.
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Magufuli, leo narudia kwa Rais Samia ili asipoteze muda wake

    NILIWAHI KUMWAMBIA HAYATTI MAGUFULI, LEO NARUDIA KWA RAIS SAMIA, ILI ASIJEPOTEZA MUDA WAKE. Na, Robert Heriel Niliwahi kuandika hapa miaka mitatu iliyopita, niliipa makala ile kichwa kisemacho "Rais Magufuli unapoteza muda wako tuu" katika makala ile watu wengi walinitukana, wengine...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Rais ni mmoja tu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya acheni kujitutumua

    Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi. Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Kila ripoti ukiikubali bila kujiuliza na usipokuwa mkali tangu mwanzo, utadanganywa tu

    Nakumbuka enzi za JK mtu mmoja aliweza ku-attend seminars tatu kwa siku. Na wengine walikaa chini ya mti kuandika report ya uongo. Haya niliyashuhudia mwenyewe kwa macho yangu na wala simsingizii mtu. Kuna hospitali moja hapo Dar iliingia ubia wa matibabu na taasisi fulani kilichokuwa...
Back
Top Bottom