rais

  1. Mkaruka

    Video: Iftar ya Rais Samia ndani ya Ikulu ya Kenya

    Nadhani Rais alihisi yuko Zanzibar kabisa.
  2. J

    Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

    Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena. Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo. Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
  3. Kitchener

    Thumbs-Up kwa Designer nguo za Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama anapendeza, huyo anayemtafutia nguo, anayemchagulia za kuvaa, anatakiwa apewe tuzo. Jana tu Kenya kaonekana amebadilisha nguo karibia mara tano siku moja, nafikiri ni kwasababu ya COVID 19, kila alipokuwa anaenda alikuwa anaenda na nguo mpya. Ila aliyovaa wakati anafika Kenya ilimpendeza...
  4. Nyankurungu2020

    Picha: Rais wa Kenya na Tanzania hawajavaa barakoa. Tunapata ujumbe gani hapa?

    Hakuna barakoa, wala social distance. Hii ni ujumbe gani kwetu?
  5. beth

    Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amemteua Mshenga Haidar kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Vilevile amemteua Nassor Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF). Shariff Ali anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji (ZIPA) huku Suleiman Hamis...
  6. Replica

    Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

    Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara Awali Rais Samia alisema...
  7. J

    Rais Samia amwalika Rais Kenyatta kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 60 za Uhuru wa Tanzania

    Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021. Rais Kenyatta amekubali ombi hilo. === Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December...
  8. beth

    Chad: Jeshi latangaza Serikali ya mpito baada ya kifo cha Rais Idriss Deby

    Utawala wa Kijeshi Nchini Chad umetangaza Serikali moya ya Mpito ambapo idadi kubwa ya Mawaziri walikuwa madarakani katika utawala wa Rais Idriss Deby aliyefariki dunia mwezi Aprili. Wapinzani wametoa wito wa kuwepo Serikali ya Mpito inayoongozwa na Rais aliye Raia wa kawaida huki Makamu wa...
  9. J

    Msemaji wa Serikali: Rais Samia kuhutubia Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya tarehe 05/05/2021

    Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya. Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani...
  10. T

    Rais Samia hakika anajua kuwafuta machozi wanaCCM. Timu ufipa maslahi mpoo...

    Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa maslahi walivyonuna...Hakika biashara ya kujiuza imekufa kifo cha kawaida
  11. Analogia Malenga

    Zanzibar: Rais Afanya Teuzi za Wakurugenzi wa Wizara ya Uchumi

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amefanya teuzi za wakurugenzi katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Taasisi zilizo chini yake Amemteua Dkt. Salum S. Hamed kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi, Dkt. Makame O. Makame kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uhifadhi wa Maeneo Baharini na...
  12. M

    Rais Samia na Magufuli wamefanana kwa lipi?

    Rais wetu mama Samia anapenda kusema yeye na Mwendazake ni kitu kimoja?, lakini kimatendo tunaona utofauti , mama kafanya mabadiliko kuanzia serikali yake hadi kwenye sekretari ya chama, tumeona watu waliokuwa vipenzi wa mwendazake kawaondoa kwenye nafasi zao, kwenye kodi anataka wananchi walipe...
  13. Analogia Malenga

    Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  14. Leslie Mbena

    Nilikutana na chawa akimponda hayati Rais Magufuli, nikamjibu kama ifuatavyo

    NILIKUTANA NA CHAWA GEGEDU AKIMPONDA HAYATI RAIS MAGUFULI,NIKAMJIBU KAMA IFUATAVYO. Chawa Gegedu: Magufuli kaharibu uchumi na kuhurudisha itachukua miaka saba. Msemakweli: Sasa Magufuli kaharibu vipi uchumi na IMF ambao ni wazungu wakaiingiza Serikali yake kwenye uchumi wa kati!? Chawa...
  15. Private investigator

    Niwasaidie kumuelewa Rais wangu Mama Samia. Wewe mwenye akili unganisha dots

    Sio nukuu za moja kwa moja ila nilichoelewa mimi: 1. Kasema tunatarajia kupandisha mshahara kwenye bajeti ijayo. Uelewa wangu: Bajeti ya 2021/2022 means inayojadiriwa sasa. 2. Mwakani nitakuja na package nzuri. Uelewa wangu: Kwa bajeti ya 2022/2023 3. Nimeshindwa kuongeza mshahara. Uelewa wangu...
  16. M

    Makamu wa Rais Dk. Mpango tuombe Radhi!

    Mh.Makamu wa Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano! Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake! Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%. Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kupata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨 Leo...
  17. beth

    Somalia: Wabunge wapiga kura kumfutia Rais nyongeza ya muda madarakani

    Wabunge Nchini humo wamepiga kura kufuta nyongeza ya miaka miwili madarakani kwa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed iliyoidhinishwa mwezi uliopita baada ya jambo hilo kuibua mvutano mkubwa. Mgogoro wa kisiasa umeibua wasiwasi kuwa waasi wa Al Shabaab wanaweza kutumia nafasi hiyo kuhatarisha hali ya...
  18. P

    Rais Samia kusema yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja sio tiketi ya JPM kufananishwa na malaika, alikuwa mwanadamu tu.

    Ninamuelewa sana Rais Samia anaposema kuwa yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja. Kwamba ni maamuzi ya Hayati yaliyompa yeye nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Kwamba yeye na Hayati walihangaika majukwaani na wakapigwa na jua pamoja mwaka 2015 ili waingie ikulu, hivyo haupo uwezekano wa wao...
  19. jmushi1

    Wafanyakazi wamemkubali Rais Samia, wamekula “Bata”

    Wanajamvi, Leo nimesikiliza madam President Samia Suluhu Hassan mwanzo mwisho. Mimi siyo mfanyakazi, lakini niliikubali hotuba yake na kuona busara nyingi sana ndani yake. Hata hivyo, sikuwa najuwa wafanyakazi wenyewe wameipokeaje hotuba hiyo. Jibu nililipata mtaani. Kwa kifupi sana...
  20. Nyankurungu2020

    Nilipoona Mama Samia anafanya mazungumzo na Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu Prof Luoga nikajua hakuna nyongeza

    DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita. Japokuwa tupo awamu ya sita lakini ni kama tupo awamu ya tano ya JPM. Maana huyu Dk Mpango ndie aliengineer kila kitu juu ya kuweka pesa zote hazina na kubana...
Back
Top Bottom