rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mzuri

    Ni ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:- Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha, Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano amewaagiza viongozi kuwajibika. Anaheshimu sheria na anazifuata mfano ameagiza mara kadhaa polisi...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

    Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

    Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
  4. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Aliyoyazungumza Rais Samia baada ya kuwasili nchini akitokea New York - Marekani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na watanzania wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

    Sote ni mashahidi tangu juzi kuna kakikundi ambako sidhani kama ni watanzania kweli au wachumia tumbo tu wanaolipwa kushibisha nafsi zao au la! Tangu juzi tumeshuhudua kukurukakara za hapa na pale za kutaka kuaminisha watanzania wachache kuwa Rais Samia Suluhu alitoa hotuba ya kihistoria. Ile...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k?

    Jina ni neno au maneno anayopewa mtu au kitu au hali Fulani Nataka kujikita kwenye jina tunalopeana watu. Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k., lakini sisi tuna maneno katika lugha za Kiafrika. Kwanini usumbuke uingie kwenye mtandao na penginepo...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ludigija kwanini uliendesha bomoabomoa Vingunguti akikiuka agizo la Rais?

    Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale Chato ndio kwao na nduguye Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro. Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo. Je, huyu ni...
  8. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

    Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis === Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha...
  9. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

    Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki? Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu? Huu ni...
  10. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania 2021 UNGA: Hotuba ya Rais wa Ghana, Nana Akufo Addo Ndiyo Hotuba Bora Kabisa Inayogusa Mambo Mtambuka Yanayolikabili Bara la Afrika

    Hii hotuba kwa kweli imegusia maswala ya msingi sana na ambayo marais wengine wameogopa kuyaongelea kwa kuwaogopa donor countries. Mojawapo ya hayo mambo ni kama yafuatayo: 1. Afrika inatakiwa kujenga uchumi ambao hautegemei misaada na mikopo, kwa sababu uzoefu wa muda mrefu na wenye uchungu...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mwanzo mzuri anga za kimataifa

    Ilisemwa huko zamani na wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts”. Kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyo kuchukulia. Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa moja...
  12. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi kukitokea utata wa jambo, wananchi tunatakiwa kuwahoji Rais na Mawaziri au Wabunge?

    Ni utaratibu uliozoeleka kwa jambo lolote likitokea wananchi kuomba ufafanuzi kwa mawaziri, au wakimlilia Rais. Lakini kwa utaratibu wa siasa za uwakilishi si ilitakiwa tuwapigie kelele wabunge na mkubwa wao Spika. Mfano bei ya mafuta ya kula ikipanda, Tozo ikiongezeka, mkataba wa gesi...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania New York: Rais Samia akutana na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres

    Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres‬ Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ikiwemo athari za kiuchumi na kijamii za COVID-19, utekelezaji ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) pamoja na Ulinzi na Usalama Barani Afrika Rais wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

    VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN) Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote Rais Samia: Virusi vya Corona...
  16. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

    Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana, nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili, #Twende na Samia Had 2035#inshallah"
  17. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini kwenye Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani

    Waungwana, nawasalimu! Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani. Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhutubia ulimwengu kupitia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 23, 2021

    RAIS SAMIA KUHUTUBIA ULIMWENGU KUPITIA BARANa Bwanku M Bwanku. Mabibi na Mabwana, kesho Alhamisi Septemba 23, 2021 Mwanamke wa shoka Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia ulimwengu kupitia Mkutano Mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Rais Samia atahutubia...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tunahujumu juhudi za Rais Samia. Tuacheni Unafiki sisi wenye Tunaikwamisha Serikali

    CCM ina wanachama zaidi ya Mil 8. Chanjo zimeletwa kwa watu Mil 1. Mwenyekiti wa Chama kasema watu wakachanje naye akaenda chanja kama mfano. Mpaka leo chanjo si zaidi ya 400,000. Hii ni Hujuma. Tena hujuma ya wazi kabisa. Kwa wanawachama wetu zaidi ya Mil 8 nchi nzima tungekuwa tunagombania...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Hussein Ali Mwinyi kuzindua na kugawa vitambulisho vya mjasiliamali Zanzibar

    Ilikuwa mwaka 2018 serikali ya JMT kupitia rais wa wakati huo JPM alitoa kama si kuzindua vitambulisho kwa wafanyabishara ndogondogo upande wa bara ambapo lawama mbalimbali ziliibuka na hata hapa jf. Kufuatia matokeo duni mara baada ya aliyekuwa na wazo la vitambulisho hivyo kufariki dunia...
Back
Top Bottom