Rwanda: Mkosoaji wa Rais Paul Kagame ahukumiwa miaka 15 jela

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,108
2,000
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.

Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa. Amekutwa na makosa sita ikiwa ni pamoja na uchochezi wa ghasia na uasi, kupuuza kumbukumbu za mauaji ya kimbari, kueneza habari za uzushi na kuchochea vurugu.

Alishtumiwa kwa kuwa, katika mtandao wake wa Youtube, Bi Idamange alimshtumu Rais Kagame na serikali yake kwa kuanzisha udikteta, kutumia mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kwa maslahi yao bila ya kuwapa msaada wowote wahanga na kugeuza eneo la kumbukumbu za mauaji hayo ya kimbari kuwa vivutio vya utalii.

Bi Idamange ambae mtandao wake wa youtube una wafuasi 18,900 na ambae video zake huangaliwa kwa wastani mara laki moja, anajinasibu kama mhanga wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, yalisababisha vifo vya watu zaidi ya laki nane, wengi wao wakiwa kutoka jamii ya walio wachache ya Watutsi. Alishtumiwa pia kwa kumpiga na kumjeruhi afisa wa polisi wakati wa kukamatwa kwake.

Mbali na kifungo cha miaka 15 jela, alipigwa faini ya kiasi cha dola za kimarekani 2000. Awali,upande wa mashtaka ulipendekeza miaka 30 jela na faini ya dola 6000. Idamange amekua akisusia vikao vya mahakama hiyo ambayo alisema ni ya upendeleo, baada ya ombi lake la kutaka kesi yake ipeperushwe moja kwa moja mitandaoni kukataliwa.
 
Apr 11, 2021
31
95

Mbali na kifungo cha miaka 15 jela, alipigwa faini ya kiasi cha dola za kimarekani 2000. Awali,upande wa mashtaka ulipendekeza miaka 30 jela na faini ya dola 6000. Idamange amekua akisusia vikao vya mahakama hiyo ambayo alisema ni ya upendeleo, baada ya ombi lake la kutaka kesi yake ipeperushwe moja
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.

Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa. Amekutwa na makosa sita ikiwa ni pamoja na uchochezi wa ghasia na uasi, kupuuza kumbukumbu za mauaji ya kimbari, kueneza habari za uzushi na kuchochea vurugu.

Alishtumiwa kwa kuwa, katika mtandao wake wa Youtube, Bi Idamange alimshtumu Rais Kagame na serikali yake kwa kuanzisha udikteta, kutumia mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kwa maslahi yao bila ya kuwapa msaada wowote wahanga na kugeuza eneo la kumbukumbu za mauaji hayo ya kimbari kuwa vivutio vya utalii.

Bi Idamange ambae mtandao wake wa youtube una wafuasi 18,900 na ambae video zake huangaliwa kwa wastani mara laki moja, anajinasibu kama mhanga wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, yalisababisha vifo vya watu zaidi ya laki nane, wengi wao wakiwa kutoka jamii ya walio wachache ya Watutsi. Alishtumiwa pia kwa kumpiga na kumjeruhi afisa wa polisi wakati wa kukamatwa kwake.

Mbali na kifungo cha miaka 15 jela, alipigwa faini ya kiasi cha dola za kimarekani 2000. Awali,upande wa mashtaka ulipendekeza miaka 30 jela na faini ya dola 6000. Idamange amekua akisusia vikao vya mahakama hiyo ambayo alisema ni ya upendeleo, baada ya ombi lake la kutaka kesi yake ipeperushwe moja kwa moja mitandaoni kukataliwa.
ni mwendo wa kuwasagia kunguni tu
 
makodinda

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
1,509

Duh.......huyu kagame wanawake wanampeleka mbio sana huko rwanda maana itakuwa kichwa kinamuuma aiseee.Wanaume wameuchuna kama vile hawapo rwanda
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,448

PaKa ndiye alikuwa mentor na confidant muhimu wa jiwe.

Nasi tulikuwa tunaelekea huko huko. Tulipo hangaya naye anaendeleza kazi:

IMG_20210930_170832_807.jpg
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,933
2,000
Duh.......huyu kagame wanawake wanampeleka mbio sana huko rwanda maana itakuwa kichwa kinamuuma aiseee.Wanaume wameuchuna kama vile hawapo rwanda
Hao ndio watamu,ukiwafunga wakifika jela wanaliwa na mabwana jela yaani unamuweka doggystyle unamwagia ndani tu akiwa kwny heat.Mpk anatoka jela unakojolea ndani tuuuuu.
 
covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,903
2,000
Huko hutakaaa usikie ET mabaloz wanahudhuria kesi Kama hizo mahakaman au wanakosoa democracy it's only Tanzania tu Yan wazungu n wanafiki Yan Kama hawaoni vile
Hapa unadhani ni wazungu wenyewe basi tu hawahawa wapambe nuksi wanawaalika waende mahakamani huko na ukiachilia mbali mabalozi wengi wa hapa bongo hawapo bize..
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,933
2,000
Huko hutakaaa usikie ET mabaloz wanahudhuria kesi Kama hizo mahakaman au wanakosoa democracy it's only Tanzania tu Yan wazungu n wanafiki Yan Kama hawaoni vile
Kwny kesi ya yule jamaa wa hotel Rwanda mabalozi wa Ulaya+ US walikua walikua wanahudhuria mahakamani Kama ilivyo Ada mpk pale mtuhumiwa alipogoma mwenyewe kuja mahakamani,lkn amepigwa kifungo kidogo tu Cha miaka 25 na hamna kitu mabalozi wamefanya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom