rais

  1. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyempa Rais pongezi na tahadhari ya kupingwa na kijani

    Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole. Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri? Ni...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwepo watu wanaohoji kwanini Nchi imekopa japokuwa kuna fedha za tozo, akifafanua kuwa Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee Ameeleza hayo akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akimjulia hali Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu MNH

  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona

    Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona na wamejitenga kwa sasa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais Bw. Nyusi na mke wake wameamua kujitenga kwa kuzingatia muongozo wa afya baada ya kupatikana na virusi , ijapokuwa hawakuonesha dalili...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

    Walidhani wanaweza kutumia wingi wao kila idara na bungeni kutingisha gogo. Lkn wamekumbana na kisiki cha Zanzibar kikiwa kinalindwa na katiba ya nchi na chama. Wanaanzia wapi kuukata mpingo? Aliyepewa jukumu la kukitikisa kisiki kapima kina cha maji halafu mwenyewe kaona isiwe taabu. Kwani...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke kupewa shilingi bilioni 3.14 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa

    ASANTE MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KURIDHIA WILAYA YA TEMEKE KUPATA SHILINGI BILIONI 3.14 KWA UJENZI WA MADARASA 157 KATIKA SHULE 25🇹🇿 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo leo tarehe 03 Januari, 2022 amefanya Uzinduzi wa makabidhiano ya vyumba vya madarasa vilivyogharimu...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama binadamu ana mapungufu ila ana sifa zote za kuwa Kiongozi wa Nchi yetu

    Hakuna binadamu aliyekamikika, hivyo hata Mama Samia hajakamilika. Ila kiuongozi nitakuwa wa mwisho kukosoa na kusema Hana sifa ya kuwa Rais wa Nchi. Urais wa Nchi unaongozwa na sifa Moja kuu, Rais ni Mzazi Kwa Taifa bila kujali ana umri Gani. Mama anasimama kama mzazi kwetu. Jambo la pili...
  9. JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya kwa Rais Samia; Wakumbushe Mawaziri kuandaa Mipango Mikakati ya miaka 5 na mwaka mmoja mmoja

    Picha ya Rais Samia Suuhu Hassan akihutubia Taifa usiku wa 31 Desemba 2021 Mheshmwa Rais Samia Suluhu Hassan, Hotuba yako kwa Taifa wakati tunauaga mwaka 2021 na kuingia mwaka Mpya wa 2022 nimeisoma yote. Ni nzuri, inaleta matumaini, kuondoa taharuki na kuonyesha ndoto yako kwa ajili ya...
  10. JamiiForums Tanzania Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

    Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765. Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

    Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla. Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023.. Wale watoa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia amewanyima hoja wapinzani wake ndio maana wamekimbilia kwenye mfumo dume"Wapuuzeni"

  13. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana Mzee Mwinyi anapenda kusema tujitahidi kuacha hadithi nzuri hapa duniani. Kwakweli huyu Mzee...
  14. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaandaliwa kikao na Rais, wanaamini kikao hiki kitatupa Katiba Mpya?

    Kelele zimekuwa nyingi Sana na upinzani hasa Chadema wanaonekana kumiliki agenda nyingi kila Kona , wanaonekana Wana wafuasi wengi sana mitandaoni Jambo linalokwamisha ujumbe wa serikali na CCM kusambaa ipasavyo. Wakosoaji wamekuwa wengi mitandaoni na nje ya mitandao hii inaweza kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa vijana Tanzania: Spika Ndugai achunge ulimi wake

    Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake. Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia. Ametolea mfano kauli...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania tuibadilishe hii katiba. Yaani Rais alitaka kuchoma shamba la mikorosho halafu hafanywi chochote?

    CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu. Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji? Aliyesababisha hayo haguswi?! Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe...
  18. JamiiForums Tanzania Wapambe wanavyojaribu kumchonganisha na Nduga na Rais Samia

    Kuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia hana interest na kilimo, wakulima tujifungeni mkanda

    Duniani kote utawala wowote unawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo na hata wananchi karibia 78% ni wakulima wanategemea kilimo tu kuendesha maisha yao. Rais wetu nimefuatilia hotuba zake zote kilimo kwake yeye sio kipaumbele kabisa. Anazungumzia ujenzi wa miundombinu kama madaraja, reli ununuzi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fanya mabadiliko ya wasaidizi wako hasa Kwenye hotuba; unaweza ukawa na wasomi ila siyo wataalam wala wazoefu

    Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo! I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake! ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa. iii) Hatima ya katiba mpya iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…