rais

  1. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya awamu ya 5 yanaweza kumlipukia Rais Samia

    Nimesoma Twitter, Zitto Kabwe akitoa maoni kuhusu umeme. Zitto anasema katika miaka mitano iliyopita hatukuongeza uzalishaji wa umeme wa maji na ukweli ni kwamba uzalishaji ulipungua. HILO LILIKUWA BOMU LA KWANZA LA SERIKALI YA WAMU YA 5 ambalo lazima kuna siku lingelipuka. Hili hapa...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

    Ni leo tena. Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi. Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza kiwingu cha mvua kimetanda. Rais Samia Suluhu karibu sana

    Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea. Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

    Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania. Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Je, uhasama unaweza kuondoka baada ya mkutano kati ya rais Xi Jinping na Joe Biden?

    Na Pili Mwinyi Novemba 16, rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Joe Biden walifanya mkutano na kuzungumza kwa njia ya video. Huu ukiwa ni mkutano rasmi wa kwanza tangu Biden aingie madarakani, ulishuhudia viongozi hao wawili wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani wakijadili masuala...
  6. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

    Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja. Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini. Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue...
  7. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Huyu Brigedia Warioba aliyeteuliwa na Rais Kenyatta ana uhusiano gani na Jaji Warioba?

    Raisi Kenyatta wa Kenya amemteua mtu anaeitwa Bridgedia General John Kibaso Warioba kuwa mkuu wa jeshi la Magereza la kenya. Je, kuna uhusiano wowote kati ya huyo Bridgedia Warioba na jaji warioba wa Tanzania?
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waliomwambia Rais "Hatuchangiii" wagoma kuondoka Tegeta kwa Ndevu

    Wana Jf Ukisikia watu jeuri ni hawa vijana wajasiliamali Aka Machinga tegeta, ambao rahis wa awamu ya tano aliwahi kusimama dakika kumi na tano kuomba kura kwa kurudia Rudia akimwombea Gwajiboy jimbo la kinondoni. Wakiwa na huruka ule ule, Mama akiwa njiani kwenda kunadi sera ya utalii nchini...
  9. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Askari watakaobainika kuwapiga wafungwa, maabusu au kuwalazimisha kwa kipigo watuhumiwa ili kukiri makosa watachukuliwa hatua kali

    Waziri Simbachawene ametoa onyo kali kwa Askari Magereza wanaowapiga Wafungwa na Mahubusu magerezani na pia kwa Polisi wenye tabia yakuwapiga Watuhumiwa au kuwalazimisha kwa kipigo kukubali makosa na kusema atachukua hatua kali kwa wale watakaobainika kutenda vitendo hivyo. ----- 𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮...
  10. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mkombozi au tunafumbwa macho?

    Wanabodi, Nchi za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zilipata maafa makubwa sana baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Katika kipindi hicho ambacho Umoja wa Mataifa uliundwa, mpango wa kuzisaidia nchi hizi uliandaliwa. Hiki ndicho kipindi ambacho misaada na mikopo ilitumiwa kwa mara ya kwanza...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Deo Sanga akiri Rais Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe

    Mhe Deogratias Sanga Mbunge wa Njombe Kaskazini|Makambako amesema Rais Samia Suluhu ni mpango wa Mungu mwenyewe kupitia kwa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli, <<<Hebu msikilize kwa makini>>>
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Mwinyi; Bandari ya Zanzibar unaiua kwa haya mambo unayoyafanya

    Mheshimiwa wakati unaingia madarakani , wazanzibari wengi nyoyo zetu zilifarijika kwa jinsi ulivoanza kuchapa kazi. Ziara yako ya bandarini iliibua matumaini kwamba yajayo ni neema tupu. Mwaka mmoja sasa tokea ushike madaraka , hakuna kilichobadilika zaidi ya kuongezeka kwa usumbufu wa utitiri...
  13. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne Novemba 16, 2021) wakati akifungua kongamano la biashara na uwekezaji kati ya...
  14. msovero

    JamiiForums Tanzania PART 1: Hawa hapa watu wanaomchukia na kuchukia utawala wa Rais Samia

    Katika siasa ni kawaida kabisa kila Rais anayeingia madarakani kukubalika ama kutokukubalika na makundi mbali mbali ya watu. Kadhalika, Rais anapokuwepo madarakani huwa na mema yake na madhaifu yake pia, na huu ndio msingi wa kukubalika au kutokubalika kwake kwa wananchi anaowaongoza kulingana...
  15. BigBro

    JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  16. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Watu wa itifaki hapo Ikulu naombeni mpeni Rais wetu mapumziko sasa

    Rais wetu tunampenda sana, na kwa muda mfupi amechapa kazi sana tena iliyotukuka. Ila kama ilivyoada kwa binadamu wote, ukifanya sana kazi kuna wakati unachoka na mwili unahitaji mapumziko ya kutosha. Kuna video inasambaa kuke twitter imepostiwa kwa Maria Sarungi Ikimuonesha Rais Samia...
  18. K

    JamiiForums Tanzania General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

    Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi. Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu Rais Samia. Zipo porojo za wasiofahamu wanahoji kwa nini kavaa wakati Kikwete, Mkapa na Mwinyi...
  19. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Marufuku kumhusisha Rais Samia na Mahakama, hana mamlaka nayo

    Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka. Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke...
  20. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukuza uchumi kwa kasi kuliko kipindi cha miaka mitano iliyopita

    Kutokana na mkopo wa masharti nafuu uliotolewa na IMF wa trillion 1.3, Rasi Samia anakwenda kukusanya Kodi ya moja kwa moja waastani wa billion 234 kama VAT (18%) hadi billion 390 kama tender zitasambazwa kea Makampuni makubwa ambao watalipia corporate tax ya 30% lakini pia billion 910...
Back
Top Bottom