Katiba yetu ni ya ki war lordism. Ni jungle justice. Natural justice. Kariba yetu imeandikwa na Charles Darwin. It is about survival of the fittest. The leader can be challenged at any time. Kama ambavyo recently ilikuwepo referendum ya Scotland kutaka kujitoa kwenye Union. Iliposhindwa Ile...
Umoja wa Mataifa (UN) na Nchi nyingine zinafanya mazungumzo na Rais wa Nchi hiyo pamoja na Waziri Mkuu kusuluhisha mvutano uliopo ambao unaibua hofu ya kutokea mapigano ya Kijeshi
Mapema wiki hii Rais Mohamed Abdullahi Mohamed alimsimamisha kazi Waziri Mohammed Hussein Roble kufuatia tuhuma za...
Habari za jion wanajamii wote.
Kwa bashasha kbsa naomba nitoe Rai kwa Rais Samia, Tanzania ina watu wazuri wenye unafiki, makelele na kupoteza maboya watu hasa wasiojiamini na wasionamaarifa mapana kwenye ngazi ya uongozi, kwako Samia kundi la Kikwete na wanamtandao kwa ujumla wao nyakati za...
Katika historia ya hii nchi haijawai tokea rais na mwenyekiti wa CCM akapendwa kiasi hiki na wafuasi wa vyama vya upinzani.
Naweza kusema taifa limepata bahati kubwa kuwa na kiongozi mwenye ushawishi wa kipekee.
Ni Rais ambaye hata ikitokea amekosea lawama zake atabebeshwa Kikwete au Magufuli...
Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais.
Mimi naona haya kama mapungufu makubwa ya katiba hii hasa ikizingatiwa miyoyo ya binadamu Ina Siri kubwa. Mtu mwenye...
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.
Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai...
Huu ni mjadala muhimu kwa taifa. Kama ni kweli Serikali ilikopa $1.5B kujenga reli kwa riba ya 8% kwa miaka 6 huu sio mkopo mzuri kabisa. Riba kwanza ni kubwa kwa serikali kwa sasa . Riba za mikopo ya serikali kwa uchumi huu inatakiwa kuwa 5% tena kwa miaka 20 sio sita. Nitarudi...
Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR
"..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa...
Jana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani.
Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali...
Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana!
Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima.
Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope.
Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu.
Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa?
Ukosoaji wa aina ya...
Madai ya Askofu Jesephat Mwingira wa kanisa la EFATHA aliyoyatoa kwenye sherehe za Christmas aliyatoa sasa baada ya kuwa na Imani na serikali ya mama Samia. Aliona utu, uchaMungu wa dhati na utukufu ndani ya Rais Samia hivyo kuuona wakati wa kuyabwaga yote wakati huu ya moyoni mwake aliyofanyiwa...
Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.
Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha kilomita 368 kutoka Makutupora hadi Tabora utatiwa saini leo Ikulu huku rais Samia akishuhudia
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa Bunge
Rais Mohamed amesema amechukua uamuzi huo kufuatia Uchunguzi wa tuhuma za Waziri huyo kujipatia...
Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza kuzungumza au kutuma ujumbe Duniani then waliopochini yake wasilike,retweet wala reply inavunja moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.