rais

  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

    Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania. Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo. Swali, je ni sahihi Rais...
  2. mgt software

    JamiiForums Tanzania Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

    Wana Jf Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo. Ona wenyewe
  3. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Kama Taifa hebu tutafakari haya: 1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB, 2. Ni lini...
  4. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Uwazi na ukweli ; Silaha za Rais Samia

    Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu. Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka...
  5. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Uchumi wetu unaweza kuanza kuanguka mwishoni mwa 2023: Rais Samia anahitaji "National Security Advisor" aliyebobea sana

    Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri. Data zinaonyesha mambo yafuatayo: 1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza ATCL kwa kuchanja mbuga, Kenya sasa ni Tshs 770,000 tu

    Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu. Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya...
  7. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko kazini kuiokoa Sekta ya Utalii baada ya UVIKO 19

    Utalii ni kati ya sekta muhimu kwenye uchumi wa nchi yetu. Sisi hapa Arusha ukiathiri utalii ni kama kuchafua vyombo vyetui vya vyakula, hii sekta ndio inatulisha kwa kiasi kikubwa. lakini pia sehemu kubwa ya fedha za kigeni tunazipata kwenye sekta hiyo. Hata hivyo kati ya sekata zilizoathiriwa...
  8. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Walimu Arusha watakiwa kwenda uwanjani Sheikh Amri Abeid kesho kwaajili Rais Samia

    Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan. Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo. Walimu pekee ambao...
  9. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nani hata mvua zimtii?

    Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu, Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye, Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika, Uwepo...
  10. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aduwaza wachumi nchini

    Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi. Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba. Ongezeko...
  12. majebsmafuru

    JamiiForums Tanzania Tumekubali. Tutakukumbuka Rais wetu John P Magufuli

    Toka umetutoka hayati rais wa JMT. JPM mambo yamekuwa siyo mambo. Sijuwi tuanze wapi tumalizie wapi. Umeme ni kukatika hovyo na kila baada ya masaa fulani. Ila wanakusingizia eti ulikuwa hutaki matengenezo wala maboresho. Pia wanadai suluhisho siyo kufukuza watu kwa uzembe au kutokuwajibika...
  13. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha mzee Kassum

    RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole Watanzania, wanafamilia kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye Serikali ya awamu ya kwanza na pili, Al noor Kassum...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hayati Rais Magufuli alikuwa Mwamba kweli kweli!! Taifa hili litakukumbuka daima!!!

    Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO. Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania ni Nchi ya ajabu kweli kweli! Hayati Rais Magufuli amefariki hata mwaka mmoja haujaisha hofu kuhusu...
  15. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe muda, hatumii uongo wala propaganda. Anakuwa Rais wa Kwanza kuleta maendeleo ya kweli

    Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo wananchi na kuwatisha kwa kila namna. Kama tukifatilia mienendo ya awamu ya tano ni Rais Samia na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

    Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais. (Source: TBC1) Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
  17. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amezungumza kwa simu na Balozi wa Shina Namba 1, katika Kata ya Komunyika, Wilaya ya Kasulu, Kigoma

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Balozi wa Shina Namba 1, katika Kata ya Komunyika, Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Ndugu Juma Ahmed Rugina na kumpongeza kwa kuongoza shina hilo kwa miaka ishirini. Balozi Mzee Rugina amezungumza na Rais Samia kupitia simu ya mkononi ya Katibu Mkuu wa...
  18. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya uzalishaji uongezeke, tutakaa sawa

    Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA. Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi...
  19. JF Member

    JamiiForums Tanzania Rais anadanganywa na Watanzania tunadanganywa

    Kwanza Mama Shikamoo na Pole na Uchovu. Kwa vile wewe najua unatupenda na una nia ya dhati ya kutuletea maendeleo ngoja nikupe kitu kidogo hapa. Watanzania wote tulio umri kati ya miaka 20 hadi 100 tulikumbwa na UDUMAVU huko nyuma, usituone tunavaa na kupendeza ukazani sote tulikuwa hivyo huko...
  20. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya awamu ya 5 yanaweza kumlipukia Rais Samia

    Nimesoma Twitter, Zitto Kabwe akitoa maoni kuhusu umeme. Zitto anasema katika miaka mitano iliyopita hatukuongeza uzalishaji wa umeme wa maji na ukweli ni kwamba uzalishaji ulipungua. HILO LILIKUWA BOMU LA KWANZA LA SERIKALI YA WAMU YA 5 ambalo lazima kuna siku lingelipuka. Hili hapa...
Back
Top Bottom