rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Miaka miwili ya Rais Samia ameonyesha kuthamini wafanyakazi

    SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema katika miaka miwili ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewafanyia mengi wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kuongeza mishahara watumishi wa kima cha chini kwa asilimia 23.3. Katibu Mkuu wa Tucta, Hery Mkunda alisema hayo mjini...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akamata mashoga 490

  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kabla ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tafiti: Rais Samia amepwaya kudhibiti rushwa, nidhamu ya watumishi wa umma

    Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma. Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
  6. JamiiForums Tanzania Omba msimpate rais ambaye anafikiria 'interest' na maslahi yake tu!

    Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii: Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu. Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine. Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

    Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
  8. JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

    Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga. Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
  10. JamiiForums Tanzania Msakila Kabende - CDM inayokataa BODABODA NA WANAWAKE inajivunia nini?

    WanaJf, Salaam! Haya ni maneno ya viongozi wa juu wa Chama cha Chadema:- (a). Tundu Lissu - Tanzania ni nchi pekee duniani yenye watu waoga na wajinga. Aliongeza kuwa "nilitegemea kuona vijana na wanawake wakidai haki zao". Kwa mukitadha huu vijana na wanawake kutodai haki zao kwa mjibu wa CDM...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais aliwaasa viongozi waandamizi kufanya KAZI Kwa kujiamini, DC Sumbawanga kafanya Kwa kujiamini akatumbuliwa. Bado kuna tatizo sehemu

    DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake. Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

    Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais. Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China kufuatia uamuzi wa Kampuni kubwa ya ununuzi wa mazao ya Yihai Kerry ya China kuanza kununua parachichi kuanzia msimo ujao. Kampuni hiyo hivi sasa inaongoza kwa kununua Ufuta unaoingia katika soko la China kutokea...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyovuta wawekezaji kwa uongozi wake mzuri

    Kutokana na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania sasa ipo kwenye nafasi nzuri ya kuimarika katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii kutokana na maridhiano ya kisiasa. Miongoni mwa vitu vinavyovutia wawekezaji ni pamoja na sera za kudumu zisizobadilika pamoja na amani na utulivu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

    Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania? Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wa Chimala waonesha furaha yao kwa Rais Samia

    Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
  17. JamiiForums Tanzania Nimeambiwa kumbe kuna Siri Kubwa imejificha pale Rais akiteua na kutengua muda mfupi. Naomba niijue tafadhali

    GENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu kateuliwa leo Ijumaa kisha kesho Ijumaa anatumbuliwa au uteuzi wake kutenguliwa.
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakukubali wewe binafsi ila CCM hapana. Utaondoka na roho yako nzuri ya upendo ila CCM katili inaweza kubaki au kurudi tena!

    Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena. Binafsi kwangu umenimaliza kama Samia Suluhu Hassan ila kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ulipofikia Ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaendelea na ujenzi wa miradi ya kimkakati iloachwa na awamu ya sita ikiwemo ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza. Ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi umefika 67% na linatarajiwa kukamilika...
  20. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Rais Salva Kiir amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje

    Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais. Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…