rais

  1. JamiiForums Tanzania Exaud Kigahe apongeza Miaka 2 ya Rais Samia Madarakani kwa aliyoyafanya Jimbo la Mufindi Kaskazini

    Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe.Exaud S.Kigahe amesema...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa amwakilisha Rais kwenye kumbukumbu ya Hayati Dkt. Magufuli

    Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais Samia Suhulu Hassan kwenye misa ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo Machi 17 2023 nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato mkoa wa Geita. Nanukuu "Nimepata heshima ya kumuwakilisha mhe. Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendeleza mazuri yaliyoanzishwa na Hayati Magufuli

    Leo ikiwa ni kumbukizi ya Hayati Dkt. Joseph Pombe Magufuri, Rais Samia Suluhu amemtakia pumziko la amani na amesema anaendelea kuendeleza yale yote mazuri yaliyoachwa na uongozi wa Awamu ya tano. Miaka 2 tangu magufuri aondoke na ikiwa ni miaka 2 tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka tumeona...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia Arusha inapiga hatua kubwa kubwa sekta ya afya

    Katika miaka miwili ya uongozi wa Rasis Samia Suluhu Hassan mengi yamefanyika katika mkoa wa Arusa lakini nimefurahishwa na yaliyofanyika katika sekta ya afya. Kwa uchache mambo hayo ni pamoja na: Katika sekta ya afya, Mkoa wa Arusha umeongeza vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 383 kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeongea na Rais Samia, vyama vya siasa visiwe chanzo kutugawa

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi kutanguliza uzalendo kwa taifa lao na kuweka mbele zaidi mshikamano kitaifa Badala ya kukumbatia vyarna vya siasa vinavyowagawa na kuwafanya waendelee kuwa maskini huku viongozi wachache wakinufaika na...
  6. JamiiForums Tanzania Rwanda inafanya makubwa

    Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kagusa Watumishi kwa Mikopo ya Elimu nchini kuanzia Vyuo vya kawaida, Kati na Vyuo Vikuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi. Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara yamshukuru Rais Samia Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa

    Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Profesa Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 266.7 kugharamia ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko mkoani Lindi. Profesa Shemdoe amesema bandari hiyo ya uvuvi ikikamilika itakuwa msaada...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaomchukia Rais mitaani wengi ni Wanawake, ila wanaoandaa Kongamano Kubwa Kumsifu Rais kwa miaka yake Miwili ni Wanawake hao hao

    Ngoja tuendelee tu kunywa Mtori na Nyama huenda tukazikuta chini ya Sahani na Mabakuli. Ngojea Sasa nimsikie Mwanamke yoyote iwe ndani ya DalaDala au Mtaani anaulalamikia Uongozi wa Rais GENTAMYCINE nitamtandika bonge la Kofi / Keleb. Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama Unafiki na Watu...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly James Ntate Asifu Miaka Miwili ya Rais Samia Madarakani

    Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujikita kuangazia katika suala la Ajira na Upandishwaji vyeo. Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanahabari waachiwa huru katika kesi ya kumrekodi Rais akitokwa na haja ndogo

    Waandishi wa habari wawili kati ya wanne walioshikiliwa baada ya kusambaa kwa video ikionesha suruali aliyovaa Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit ikiwa imelowa hadharani ikitafsiriwa kuwa alikuwa akitokwa na haja ndogo wakati wa kusikiliza Wimbo wa Taifa. Jumuiya ya Waandishi wa Habari...
  14. JamiiForums Tanzania Vita Rashid Kawawa apongeza na kuainisha aliyoyafanya kwa miaka miwili ya madarakani Rais Samia katika Jimbo la Namtumbo

    Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Rashid Kawawa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani kwa kutekeleza Miradi katika sekta mbalimbali. 1. Mhe. Vita Rashid Kawawa anapongeza Miaka Miwili ya Rais Samia kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa club ya Yanga kawatoa hofu ubingwa wa CAF ni lazima jangwani

    "Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili"" Wananchi msiwe...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kaliua Aloyce Kwezi ampongeza Rais Samia kwa miaka miwili madarakani

    MBUNGE WA KALIUA MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akiainisha...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza ziara nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
  18. JamiiForums Tanzania Muswada wa kupunguza siku za kazi kuwa nne badala ya tano watinga Bunge la wawakilishi, nimemkumbuka Mzee Mwinyi

    Mark Takano amewasilisha muswada Bunge la wawakilishi Califonia akitaka siku za kazi ziwe nne iwe sheria ya Kitaifa Nchini Marekani. Takano amesema jambo hilo litaongeza ubora wa maisha kwa wafanyakazi kwani itawaongezea muda wa kuishi, kucheza na kuyafurahia maisha nje ya kazi bila kupoteza...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Wafanyakazi Janejelly Ntate Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa Miaka Miwili Madarakani kwa Aliyoyafanya kwa Watumishi

    MBUNGE WA WAFANYAKAZI JANEJELLY NTATE AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI KWA ALIYOYAFANYA KWA WATUMISHI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wahaya, tuache upotoshaji, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hana asili ya Kanyigo, Bwanjai wala Kanyangereko

    Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…