Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria...
Hii ni baada ya China kukatalia mbali ombi la kuipa Urusi msaada wa silaha, ombi lilikataliwa juzi pale rais wa Uchina alitembelea Urusi.
---
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Wednesday that he had invited Chinese President Xi Jinping to visit his country.
"We are ready to see...
Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe
Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku...
Naona Itifaki imezingatiwa.
VP Kwa VP.
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam.
Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
dkt. philip mpango
gerson msigwa
haja
hii
kamala harris
kwenda
makamu
makamu wa rais
makamu wa rais wa marekani
marekani
mpya
nchini
rais
siku
ugeni
viongozi
vizuri
ziara
zuhura yunus
Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja.
Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuiwezesha Wizara hiyo kutekeleza malengo ya Serikali katika kukuza diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa...
GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba.
Rais Samia acha kupoteza Pesa za Watanzania Kusaidia Watu wasiojielewa (Wachezaji wa Taifa Stars) na badala yake peleka...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ana nia ya kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo imesababisha msako wa nyumba hiyo kuanza, gazeti la Times la Uingereza linaripoti.
Bi Harris, ambaye yuko katika ziara ya siku tisa katika nchi tatu za Afrika...
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameaandaa Iftari na Dua Maalum ya Watoto Yatima na Wajane kuiombea Nchi na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Hafla hiyo ya Iftari imefanyika...
MHE. LATIFA JUWAKALI ASEMA RAIS SAMIA NI MFANO WA KUIGWA, AMEFANYA MAKUBWA KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI.
Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Mkoa wa Unguja Mhe. Latifa Khamis Juwakali amesema kwa Miaka Miwili ya Madarakani Rais Mhe.. Samia Suluhu Hassan amekuwa mfano wa kuigwa maana amefanya...
Kuja kwa Makamu huyu wa Marekani inatufanya tuwe njia Panda. Hawa wamarekani tunawachukia sana. Makafiri. Sasa tuseme nini?
Rais aliyeko madarakani si kafir. Sasa hapo tunashindwa mpongeza na tunashindwa mkosoa. Maana ni taabu juu ya taabu. Na hawa wamarekani si wanaunga mkono ushoga? Huyu...
Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa
Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali
Hata miundombinu mipya kama vile...
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha...
Kuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu wa Marekani kisa Tanzania hakuna demokrasia.
I dont think kama walisema kweli ila sawa hakwenda...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kwanza pongezi sana kwa kila anayetamani Katiba Mpya kwa sababu nia ya Rais Samia Suluhu kutekeleza nia yake inaonekana wazi. Kwenye Bunge lijalo la Bajeti, Wizara ya Katiba na Sheria inaenda kuomba pesa kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya. Ni wazi 'Mama'...
MBUNGE MHE. EZRA CHIWELESA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MOJA YA KAMATI BUNGE LA MAZIWA MAKUU.
Tarehe 27 Machi, 2023 umefanyika uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa Kamati za Kudumu za Bunge la Nchi za Maziwa Makuu Jijini Juba Sudani Kusini.
Katika uchaguzi huo Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi...
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.
Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za...
Na Bwanku Bwanku.
Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi mbili ni ya kusisimua sana ikianza mwaka 1961, miaka 62 iliyopita.
Ni ziara ya kimkakati ya...