rais

  1. JamiiForums Tanzania Mwendazake alikuwa ni rais alieendekeza ukabila sana

    Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na...
  2. JamiiForums Tanzania Kumsifia Rais Samia kila usimamapo Mbele yake sio kosa; haikuanza Leo.

    KUMSIFIA RAIS SAMIA KILA USIMAMAPO MBELE YAKE SIO KOSA; HAIKUANZA LEO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kumtukuza Rais, kumsifu na kumlambalamba miguu, kumpangusa pangusa na kitambaa, kumfagilia, kumpepea, na kumpamba ni mambo ambayo yalikuwepo tangu zamani. Wala hatajaanza Kwa hawa Ndugu...
  3. JamiiForums Tanzania Sintofahamu picha za Mbunge wa Ngara zikiwekwa maofisini kama picha ya Rais

    Updates: Video imeambatanishwa . . . Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Lumbanga asifu ujasiri wa Rais Samia

    Picha: Balozi Dkt Marten Lumbanga Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt Marten Lumbanga amesifu ujasiri na uwazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uongozi kiasi cha kukaribisha mawazo huru kutoka vyama vya siasa kwa manufaa ya nchi pamoja na kuruhusu vyama vya siasa vifanye mikutano ya...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Nasubiri kuona Wabunge watakaopinga Muswada wa Sheria ya Fedha

    Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi. Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  7. JamiiForums Tanzania Baba wa mke wa Rais Zanzibar

    Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Kenya: Hatutajenga Barabara kwenye Majimbo yanayopinga Sheria ya Fedha

    Rigathi Gachagua ambaye ni Naibu Rais wa Kenya amesema Wabunge wote wanaoikataa Sheria hiyo wasitarajie miradi mikubwa ikiwemo ya Ujenzi kwenye majimbo yao kwasababu hakutakuwa na sehemu ya kutoa hizo fedha kama watapinga. Gachagua amesema Serikali inasubiri Sheria hiyo ili iweze kuongeza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili. Hafla hiyo ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania William Ruto, Rais wa Kenya: Waafrika tuachane sasa na malipo ya kutumia Dola

    Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto. Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi

    January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba, kuweka ruzuku ya mafuta kiasi cha shilingi Bilioni 100 kwa mwezi ili kutoa ahueni kwa wananchi kwenye bei ya mafuta na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Katiba haipaswi kutungwa kwa maagizo ya Rais, kinachofanyika ni kiinimacho

    Wakati safari ya Watanzania kwenda kupata Katiba mpya ikiendelea, Balozi Willibrod Slaa ameukosoa mchakato huo, akisema kinachofanyika ni kiinimacho na hakina uhalali kisheria. Hoja ya mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, inajengwa kwenye msingi kwamba “Katiba haipaswi...
  15. JamiiForums Tanzania Tuna haja kuwa na Ofisi ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  17. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto azitaka nchi za Afrika kuacha kutumia sarafu ya dola kwenye biashara zao za kimataifa

    Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa. Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya kimarekani kwenye biashara zetu kiasi kwamba inafikia nchi za Afrika zashindwa kuuziana bidhaa zao mfano...
  18. JamiiForums Tanzania Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  19. R

    JamiiForums Tanzania January Makamba anamfanyia hujuma Rais Samia

    Waziri wa Nishati, January Makamba, anamfanyia hujuma za wazi Rais Samia Suluhu Hassan ili kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hujuma yake ilithibitika wakati wa bajeti ya Wizara ya Nishati ya 2023/2024 jijini Dodoma wiki hii ambapo Makamba aligawa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Upendeleo wa Rais kwa Yanga unakwenda kuisambaratisha Yanga vipande (inafungwa na USM)

    Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema. Kinachofanywa na Rais dhidi ya Simba na yanga ni kama kulea watoto wawili wa kufikia kinafiki! Mtoto wa kambo (simba ya champion) akiwa darasa la juu kabisa la ushindani (champion) anapewa motisha sawa sawa na mtoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…