rais

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

    Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu! Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine. La hasha. Haijawa hivyo. Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi. Hali hii...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya UVCCM kupongeza Rais Hayataruhusiwa! Maelekezo ya kuyazuia yatatolewa muda wowote kufikia kesho

    Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa! Iwe ya kupongeza au kupinga! Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa! Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

    "Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana" Hayati Rais John Pombe Magufuli.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

    Igweeeeeeeeee, Mambo vipi wakuu? Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu. Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tuna udhaifu katika uendeshaji wa mashtaka

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani ili kutoa haki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria ya Umiliki wa Rasilimali na Maliasili iliyotungwa Awamu ya Tano, chini ya Hayati Magufuli

    Ikumbukwe wakati sheria ya kulinda rasilimali za taifa inatungwa mwaka 2017 Mh Waziri mkuu alikuwepo,Spika alikuwepo wakati huo alikuwa Naibu Spika,Rais alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais,Waziri wa fedha alikuwepo wakati huo alikuwa Waziri wa Sheria, na wabunge waliopitisha bungeni ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Arumeru wakosoa maji kwa miaka 48 na kupelekea kupata magonjwa ya milipuko

    ADHA ya kukosa maji ya bomba kwa miaka 48 katika Kijiji cha Karangai, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imesababisha baadhi ya wakazi wake kuugua na kulazwa hospitalini kutokana na tishio la magonjwa kama vile amoeba, kichocho, typhoid na kuhara.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Majaliwa akiwa Rais ataleta nidhamu na Uwajibikaji . Anafaa sana

    Nikimuangalia Khasim Majaliwa naona kwa kiasi kikubwa anaweza kuvaa viatu vya JPM hasa katika kuleta Nidhamu na Uwajibikaji kwa watendaji wa Serikali. Kwa tabia za watanzania wengi hasa watumishi wa uma/Serikali wasipojengewa hofu ya kuwajibishwa basi huzembea, huiba, hufanya kwa ufanisi duni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ateuliwe kama mshauri wa Rais masuala ya biashara

    Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani. Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, mjadala wa Bandari umefungwa RASMI

    Wajumbe, Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji. Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi tunalumbana kuhusu Bandari, wenzetu wanatumia fursa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023 RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI, WENZETU WANATUMIA FURSA Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha viongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Marais wa Afrika katika Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF)

    Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF) unaotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu ambapo marais zaidi ya 15 wamealikwa kushiriki. Katika kongamano hilo linalofanyika kwa mara ya nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dk. Samia Suluhu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Mitaji ya Bilioni 208 Benki ya Maendeleo ya Kilimo

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa wa kiongozi wa mfano katika kuipaisha na kuiletea mageuzi makubwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) ikiwemo kuipa mtaji wa bilioni 208 kuwezesha kujiendesha kiufanisi. Imesema mtaji huo umeiwezesha benki hiyo kutengeneza faida na kukuza mtaji wake...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari kesho 14/07/23

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwamba Freeman Mbowe, atahutubia Taifa la Tanzania kupitia Mkutano wake na Waandishi wa Habari utakaofanyika kwenye Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam. Mkutano huo uliobeba Mustakabhali wa nchi na Dira ya Taifa...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

    Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—. .
  19. K

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mkosoaji wa Rais Putin alazimishwa kuisikiliza hotuba ya Rais kwa siku 100 mfululizo

    Mkosoaji mkubwa wa rais wa Urusi, Alex Navalny amelalamikia kitendo cha walinzi wa gereza aliloshikiliwa kumlazimisha kusikiliza hotuba ya Rais Vladimir Putin kwa muda wa siku mia moja mfululizo. Mwanasheria wa Navalny, wakili msomi Diwalii,amedai kuwa mteja wake alilazimishwa kuisikiliza...
  20. JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…