rais

  1. JamiiForums Tanzania Lawama zetu ni kwa Idara ya Usalama wa Taifa kukosa uzalendo, weledi na kushindwa kumshauri Rais

    TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa. Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wote Walio Karibu au Wana Uwezo wa Kumfikia Rais

    Wanao wajibu wa kumweleza rais ukweli wanavyouona wao kwa msukumo wa uzalendo wao kwa nchi yao. Maswala mazito, kama hili la Bandari yanapotokea nchini na kuwa na mwonekano wa kuwagawa wananchi katika makundi yanayovutanai, siyo mambo ya kunyamazia, hasa kwa viongozi wa ngazi za juu mbalimbali...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Muhambwe wampa 5 Rais Samia mradi wa maji wa milioni 650, mbunge atoa kompyuta na mashine ya photocopy

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya Misezero Kijiji cha Kumkugwa. Wananchi wa Kumkugwa wameonyesha kufurahia mno na kumshukuru Rais Samia...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi - Wanawake Tumuunge Mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    MBUNGE NANCY NYALUSI - WANAWAKE TUMUUNGE MKONO RAIS SAMIA MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi amewataka wanawake mkoani Iringa kuendelea kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake madhubuti na usimamizi wake mzuri wa rasilimali nchi ambao umesaidia kwa sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti. Tofauti...
  6. JamiiForums Tanzania DP World na kelele zinazoendelea, napata tabu sana kuamini iwapo Rais yupo ama laa! Na kama yupo mbona hatoi mwelekeo? Ona na huu udini!!

    Sauti ya Rais ni faraja, Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari! Kila upande...
  7. JamiiForums Tanzania Rungwe Wamshukuru Rais Samia Kwa Huduma za Afya

    WILAYA ya Rungwe mkoani Mbeya, imemshukuru Dk. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kufanikisha mapambano dhidi ya vifo vitokanavyo na uzazi pingamizi. Kutokana na maboresho makubwa yaliyofanyika katika Hospitali ya Wilaya ya Rungwe, zaidi ya wanawake 350 wanajifungua wakiwa salama na watoto...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Radio One mnatuchosha na "nukuu za ... Rais"

    Mimi sio mtumiaji na mfuatiliaji wa media za kibongo sababu zinachosha na kukera. Kuna baadhi ya vipindi vichache huwa najaribu kuvusikiliza. Radio one mnanikera kila baada ya mda kurushia nukuu za sa100. Ukweli huwa nalazimika kubadilisha station, "na hili mkalitizame"
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aridhia Hekta 18,000 za Ranchi Wapewe Wananchi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kumegwa kwa eneo la Ranchi ya Kagoma wilayani Muleba na Karagwe katika Mkoa wa Kagera yenye ukubwa wa hekta 18,031.26 kwenda kwa wananchi waendeleze shughuli za kibinadamu yakiwemo makazi. Hayo yalibainishwa juzi na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kinara kupunguza vifo vya Mama na Mtoto Nchini

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amefunguka mazito kuhusu maelekezo ya Rais kufanikisha Dk. Samia Suluhu Hassan katika mapambano shisi ya vifo vitokanavyo na uzazi kwa mama na moto. Amesema hatua zilizochukuliwa na Rais Dk. Samia ndizo zilizofanikisha matokeo ya sasa ya ongezeko la uzazi salama na...
  11. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  12. JamiiForums Tanzania Skudu: Sikuchagua jezi namba 6

    “Rais wa Yanga [Eng. Hersi] alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa jezi namba 6, nikamwambia hapana kwa sababu nimekuwa nikipendelea kuvaa jezi namba 11. Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwa kuwa ni heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” – Skudu Makudubela...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Siku ya Mashujaa Julai 25 Mkoani Dodoma

    Rais Dkt Samis Suluhu kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Julai 25, 2023. Maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja mpya wa kudumu wa Mashujaa uliopo katika eneo la Mji wa Serikali, Mtumba, mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa huo, Rosemary Senyamule...
  14. B

    JamiiForums Tanzania DKT. Samizi amshukuru Rais Samia kumtua Mama ndoo kichwani Muhambwe

    Jana Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kukagua miradi ya maji ambapo Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Maji kwa namna wanavyofanikisha kumtua ndoo kichwani Mama na Wananchi wa Muhambwe. Kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Masasi wampa tano Rais Samia

    MWENYEKITI Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Mtwara , Julius Kaondo, amesema lengo la Serikali ni kuwezesha kundi la watu wenye changamoto ya kiuchumi katika maeneo yao kwa kuwapa usaidizi ili waweze kujinyanyua wenyewe. Kaondo amesema hayo juzi wakati wa kikao cha Wazee maarufu na Mkurugenzi wa Mji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

    Kwema Wakuu! Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Rais kama kakosea...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia ni vipi Nape anabaki kuwa waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni kule Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe mheshimiwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nape anaendelea vipi kuwa Waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni jimboni Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako mtu ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…