rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania 2025-2030 Tanzania kufanikiwa kufika nchi ya ahadi chini ya Rais Samia. Naiona Tanzania mpya

    Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA. Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Busiga awataka Wanawake Nyang'wale kuendelea kuwa Jeshi la Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum mkoani Geita Mhe Rose Busiga amewataka wanawake wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita kuendelea kuwa jeshi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa wanawake wanapaswa kujivunia kuwa na Rais mwanamke kwani hiyo ni hatua nzuri...
  3. JamiiForums Tanzania Utani wa Rais Samia na Ruto kuhusu lugha ya Kiswahili na Kingereza

    Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
  4. JamiiForums Tanzania Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

    Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani? Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20, ambapo ulinzi umeimarishwa. Rais wa Marekani Joe Biden atawasili nchini India kushiriki katika...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  7. JamiiForums Tanzania Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  9. JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Ruto kuhusu kilimo ni ya kuwapumbaza Watanzania

    Wasalaam nyote, Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
  10. JamiiForums Tanzania Akipatikana Rais toka Tanganyika akodishe/Auze Tumbatu, Mji Mkongwe au Kizimkazi kwa mkataba kama wa Loliondo au Ngorongoro

    Wakuu inauma sana kile kinachoendelea Loliondo na Ngorongoro. Kule ukienda ni kama upo nchi ya kigeni. Hebu vuta picha ya pale kijijini kwako kwenye asili yenu...ghafla wanakuja watu wanawambia mnatakiwa mhame mwende kwenye eneo jipya msilowahi kulifahamu kabla tena mhame kwa lazima. Mkibisha...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki chakula cha Jioni (Africa Food Prize - Gala Dinner) - Ikulu

    https://www.youtube.com/watch?v=J0ZiggITXdI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki chakula cha jioni na Afrika Food Prize - Gala Dinner alichowaandalia wageni waliohudhuria mkutano wa AGRF leo tarehe 07 Septemba, 2023 katika viwannja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni kigogo au fisadi gani papa amewahi kuburuzwa mahakamani tangu Rais Samia ashike usukani?

    Vigogo wako juu ya serikali awamu hii, wanatamba na kufanya wapendavyo. Na hakuna wa kufanya fyoko. Hakuna kigogo yeyote wa serikali, hata waliotajwa na CAG kuwa wamefuja mali za umma ambaye ameburuzwa mahakamani hadi leo. Mama anabakia kusema tu "stupid" lkn hayagusi haya majitu mazito kuliko...
  13. JamiiForums Tanzania Serengeti: Tundu Lissu akumbuka shambulio dhidi yake, amtaka Rais mpya na IGP mpya kuwakamata Wahusika

    Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi kwenye mkutano Mkubwa wa hadhara , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amesema kwamba , Tangu aliposhambuliwa kwa Risasi hakuna yeyote aliyekamatwa wala hakuna uchunguzi uliofanyika hadi sasa . Amedai kwamba hapo awali , alidhani haukufanyika uchunguzi kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF), leo Septemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU...
  15. JamiiForums Tanzania Zambia: Mke wa Rais mstaafu akamatwa kwa madai ya wizi

    Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika. Esther ambaye yuko kizuizini Jijini Lusaka, amekamatwa pamoja na watu wengine watatu wakiwa pia wanatuhumiwa kumiliki...
  16. JamiiForums Tanzania Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI” Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii? Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi? Rais mbona...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Misri atoa wito hatua kuchukuliwa ili kupunguza Uzazi Nchini kwake, ni kutokana na idadi ya watu kuongezeka

    Egypt President Calls For Measures To Slow Birthrate Egyptian President Abdel Fattah al-Sisi called Tuesday for measures to slow the birthrate in the Arab world's most populous country, citing China's one-child policy as an example. "We need 400,000 births per year," said the leader of the...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa wakishiriki kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Afrika Nchini Kenya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema nchi imeandika historia mpya kwa kuwakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Burundi, Comoro...
  20. JamiiForums Tanzania TAMWA ZNZ, MCT, wadau wa Habari watoa tamko Mjumbe Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuzuiwa kuzungumza baada ya Kuapishwa na Rais Mwinyi

    CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar (WAHAMAZA), pamoja na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zikishirikiana na Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…