rais wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CARDLESS

    JamiiForums Tanzania Kanuni na Sheria za Uchaguzi wa kumpata Rais wa Tanzania zibadilishwe

    Wanabodi habari za siku Nimekaa nikaangalia namna nchi yetu tunavyoendesha Chaguzi zetu hasa huu Uchaguzi mkuu, na zaidi hapo kwenye Urais. Urais ni level kubwa sana ya Kiutawala na Uongozi nchi hii na karibu nchi zote Duniani. Rais hatakiwi kupatikana kirahisi rahisi tu. Mchakato wa kumpata...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwa mbadala wa makamu wa Rais katika kumuwakilisha Rais wa Tanzania katika baadhi ya mikutano ni sawa?

    Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi, Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

    Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani. Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check, uadilifu, uaminifu katika utendaji na utekelezaji mipango SUK, bidii na uchapakazi, hana makundi...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  5. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, una sifa za kuwa Rais wa Tanzania

    Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, Nina haki ya kutoa maoni yangu kama ilivyowekwa katika katiba yetu na tamko la Haki za Binadamu. Kwanini nasema unafaa kwasasa? 1. Nimekufuatilia nimeona una uthubutu, 2. Ni mjamaa mbepari, falsafa nzuri kuongoza taifa kama letu. 3.Ni mzalendo na mwadilifu 4...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Rais Samia: Tukope nje Trilioni 1 kwa masharti au tudhibiti wizi wa Trilioni 2 kodi za Watanzania?

    Kiukweli pamoja na kazi nzuri anazofanya Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan pamoja na watumishi wema na wanaomshauri vizuri juu ya ustawi wa Taida letu la Tamzania ni vizuri tuliangalie na hili. Mpaka sasa yayumukinika kuwa Wizi na upotevu wa pesa za umma zinazoishia mikononi mwa watu wachache hasa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

    Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania. Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri. Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa Hii ni kinyume na katiba. 👇
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais Samia Suluhu; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB)

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB). Mpendwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ni imani yangu kuwa barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na mwenye nguvu...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 55 tayari Magufuli alikuwa ameshakuwa Rais wa Tanzania na katika umri huo huo Tundu Lisu ni chawa wa Samia na mtumwa wa Mbowe,

    Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo...
  11. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani. Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake: Hoja ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China ni ishara ya kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu huwa Kikatiba Rais ikiwa Makamu wa Rais na Rais hawapi nchini

    Najua aliye rithi uraia yupo Maputo, Makamu wake yupo nje ya Africa amepeleka umbea wake yakuwa samaki wa ziwa Victoria wanaoshwa na maji ya mahitii Sasa anashikia Ikulu ni Kassimu Majaliwa na ndio maana na Tozo ameziondoa Jana mbona TBC mnalipoti KUWA ni Waziri mkuu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  15. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  16. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  17. P Accountant

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia Hassan kuhusu HESLB kuondoa fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field)

    Kwako Mheshimiwa:- Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA. Mheshimiwa, Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine: Rais wa Tanzania yupo Uganda Rais wa Uganda yupo Tanzania

    Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema. Uganda Wana Katiba nzuri pengine nzuri kuliko zote Dunia pamoja na Museven kuibadirisha mara kadha. Lakini Uiddi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson umepotosha umma: Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi ya Tanganyika, Zanzibar wana mkuu wa nchi yao

    Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi. Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar. Kwa hiyo...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
Back
Top Bottom