Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
"Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka...
Japo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa sheria za mikataba akataka kumuwahisha kuzima akaishia kuwahi yeye. Alinusurika kuuliwa. Hakuuguzwa...
Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi.
Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza.
Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania...
Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA
Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae.
Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili...
Rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 ili awe na ufanisi zaidi awe na umri upi kati ya:
1. 18 hadi 25
2. 26 hadi 35
3. 36 hadi 55 au
4. 56 hadi 75?
Umri wa Kiongozi yeyote ni muhimu sana katika ufanisi kwa kuwa na nguvu ya kutosha, kumbukumbu na fikra mpya katika ujenzi wa Nchi. Tujibu bila ushabiki...
Tanzania ni Moja chini ya muungano. Kwanini Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania lazima akae bara hata kama ni mzanzibar? Hawezi kukaa Zanzibar na kuiongoza nchi?
Amani iwe nanyi wanabodi!
Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR.
Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo.
Kwa hesabu za haraka huko mbeleni SGR ya Kenya ndo itakayoleta faida zaidi kwa Kenya kuliko SGR yetu...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Jerry Silaa kwakuwa ni Waziri anayefanya kazi vizuri.
Rais Samia amesema hayo leo August 01,2024 akiwa Pugu njiani kuelekea Dodoma...
Sera zangu hizi hapa na hizi ni hints amabazo zipo kwenye video
A) maelezo yangu binafsi
Mimi ni nani???
Nimezaliwa lini???
Nimezaliwa wapi???
Elimu yangu???
B)mambo ntakayotekeleza nikiwa Rais
Mambo ntakayotekeleza nikiwa Rais wa Tanzania kwenye video nimeelezea kwa undani
Viwanda vya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amerejea na kuwasili salama kabisa akiwa mwenye furaha, bashasha na tabasamu katika ardhi ya nchi yake usiku huu akitokea Afrika ya Kusini.
Ambako alikwenda kuhudhuria sherehe za...
Wadau hamjamboni nyote?
Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu
Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.
Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza Mheshimiwa Makonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea...
Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani.
Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family.
Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
Habari Wana JF
Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai
Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu...
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa.
Zitto Kabwe amekubaliana na ombi hilo na kusema Sasa yuko tayari kuwa Rais wa JMT mnamo Uchaguzi mkuu wa 2025 na kwamba Ubunge...
Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile
Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na...
Shalom,
Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi.
Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.