rais wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

    ###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE### Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021 Kwanin ilikuwa UDSM...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kodi chache watakazolipa viwanda nikiwa Rais wa Tanzania

    Kuiondoa ccm madarakani
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna ushirikina wala ramli za kisiasa za kumzuia Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania hadi 2030

    Ni kujidanganya tu kwa wanasiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja kuwaza na kupiga mayowe eti kuna mahali kinaweza kutokea hiki au kile ili Dr.Samia Suluhu Hassan asiwe Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanazania kwa muhula wa pili. Hiyo ni ndoto ya mchana my friends, ladies and gentlemen...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza John Heche nimegundua ndo anafaa kuwa Rais wa Tanzania jamaa ana akili sana.

    John Heche ni hazina kubwa Sana na yupo mbele Sana ya Muda. Huyu ndo anafaa kuwa Rais.
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa Rais wa Tanzania 2025-2030

    Huyu ndie Rais wa Tanzania 2025-2030. Tanzania inaenda kuzaliwa upya kwenye siasa.
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania wote watakaotajwa kwenye Ripoti ya CAG watachukulia hatua kali za kisheria na hata kifungo

    Deni la Taifa linakuwa alafu mda huo huo ukisoma report ya CAG unaona kuna watu wanaiba na bado wanaendelea kubaki kazini sio sawa kwa nchi ambayo inategemea wahisani ilihali tax base ni ndogo Yafuatayo ntafanya baada tu ya report ya CAG kusomwa Wote ambao idara zao zinahusika kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

    Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi. Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo. Inafaa ieleweke kuwa 📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸 Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040 Baada ya Kumalizika Kwa Miaka Kumi Ya Urais wa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuanzia 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota ya kuwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Atakuwa Rais Wa Tanzania kuanzia Mwaka 2040. Ambapo Urais wake ataupokea Kutoka Kwa Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi .Ambaye ataanzia 2030 Mpaka hiyo 2040 na kumkabidhi kijiti Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Hii itakuwa...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania miji mikubwa na midogo itapigwa paving

    Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

    Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku Vigoma Baikoko Vigodoro Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya Malaya kujianika barabarani Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  13. S

    JamiiForums Tanzania TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa mfano ingekuwa wewe Rais ungedili vipi na Ufisadi na Madawa ya Kulevya.

    Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini. Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara za tanroads kisha kila mwezi NATOA report ya makusanyo na Matumizi.kama taifa tunabaini Lost.
  15. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ? Tizama...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mhaya akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, akienda kuhutubia UN mambo yatakuwa hivi

    Ndugu marais hamjambo (kwa lafudhi ya kihaya), naona wengi wenu mnashida sana, mfano we Trump hutulii kabisa, nimeamua kukupa msaada wa dhahabu tani 1 bure, Tanzania ni Tajiri hatuna njaa. Halafu we Putin inaelekea huna kazi ya kufanya, ntakuletea Tanzanite utengeneze urembo uuze upate hela...
  17. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Alipokubali kushindwa uchaguzi wa uraisi mwaka 2005, akiwa nafsi ya tatu na kwenda kukijenga chama, uungwana wake uliigusa Sheria ya asili na kumpandisha kutoka mwenyekiti wa chama cha siasa cha kawaida mpaka kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa cha upinzani yaani kwa kifupi ndio mkuu wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

    Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais. Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner...
  19. toriyama

    JamiiForums Tanzania nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?

    nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini? Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
  20. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

    Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo Wote ni maradical Wote ni wanachukia Rushwa Wote wanachukia uzembe , uvivu Wote wanamsimamamo mikali Wote wanahulka ya kusema ukweli. Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
Back
Top Bottom