rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia amteua Prof. Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Prof. Aboud ni Profesa Mshiriki na Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Fedha na Utawala, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi...
  2. Rais Samia aanza kutoa Fedha bilioni 75.98 kwa Vijana na Wanawake kupitia Halmashauri za Wilaya. Hii ni Fursa, tuchangamkie

    Tatizo la ajira kwa Vijana ni tatizo la dunia nzima kwa sasa, tatizo hili linachangiwa pia na hali ya uchumi wa dunia kwa sasa, licha ya jitihada za Serikali inayoongozwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhakikisha uchumi unaimarika bado tatizo la ajira ni...
  3. Ni kwanini Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" kuunda Tume ya Majaji kumchunguza Biswalo Mganga, aliyekuwa DPP?

    Zipo tuhuma nzito Sana zinazomkabili aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga, kuhusiana na kile kinachoitwa "plea bargaining" mtindo uliobuniwa wakati wa utawala wa awamu ya 5, ambapo watuhumiwa "waliobambikiwa" makosa, wakati wa utawala wa awamu ya 5, "walilazinishwa" kukiri makosa na hivyo kukamuliwa...
  4. J

    January Makamba awe kipimo cha Mawaziri wa Rais Samia

    JANUARY MAKAMBA AWE KIPIMO CHA MAWAZIRI WA RAIS SAMIA OKTOBA 12, 2022, nilihudhuria mkutano wa Waziri wa Nishati, January Makamba na waandishi wa habari. Mada ni “Clean Cooking” – “Upishi Nadhifu". Ulifanyika Ukumbi wa Museum, Benki Kuu, Dar es Salaam. Nilipokuwa nikimsikiliza January...
  5. M

    Siri ya upendo anaooneshwa Rais Samia katika ziara mikoani ni uchapakazi wake

    Na Chacha Wangwe Jr Maelfu ya watanzania wanaojitokeza kumlaki Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara yake Mikoani ni jambo la kuvutia lakini inapaswa ieleweke kuwa haya ni matokeo ya uchapakazi wake. Tuangazie mambo machache yanayopelekea Rais Samia kupendwa sana Mkoani Kigoma na Kagera; 1...
  6. L

    Mapokezi ya Kihistoria aliyoyapata Rais Samia katika ziara yake ni Uthibitisho wa Watanzania wanavyomkubali

    Ndugu zangu watanzania Rais Samia amepata mapokezi ya Kihistoria, mapokezi ya kishindo, mapokezi ya aina yake, mapokezi yaliyoacha Alama ,mapokezi yaliyotikisa Kanda ya ziwa mpaka mwisho wa reli, mapokezi yaliyo isimamisha Tanzania, Mapokezi yaliyosimamisha kila kitu ,Mapokezi yaliyo tetemesha...
  7. Hongera Rais Samia kwa kuifungua Kigoma kiuchumi

    Uamuzi wa serikali wa kuweka malengo ya kuufanya Mkoa wa Kigoma kuwa wa kimkakati, kiuwekezaji na kibiashara, unastahili kuungwa mkono na Watanzania wote kwa kuwa umelenga kukuza uchumi. Rais Samia akiwa kwenye ziara ya siku nne mkoani Kigoma, alifungua barabara ya Kidahwe hadi Kasulu yenye...
  8. M

    UJIJI: Wazee wa UJIJI -KIGOMA wasema hawajawahi kuona Kiongozi aliyeujaza Uwanjani wa Lake Tanganyika kama Rais Samia

    KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika. Mapenzi haya...
  9. J

    Rais Samia atoa msaada wa mahitaji kwa watoto njiti Kigoma

    RAIS SAMIA ATOA MSAADA WA MAHITAJI KWA WATOTO NJITI KIGOMA. OR.TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa Msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni, Kigoma. Mahitaji hayo yamekabidhiwa na...
  10. Rais Samia: Wapinzani nimewapa kazi ya kukutana na kuzungumza, walete mapendekezo yao tukubaliane

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 18 Oktoba, 2022 Zitto Kabwe- Kiongozi Mkuu wa Chama, ACT Wazalendo Nikiwa kiongozi wa kitaifa, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza sana...
  11. Rais akiruhusu 'plea bargaining' kufanyiwa uchunguzi katika Serikali ya Awamu ya Tano atakuwa amekosea sana

    Ajue kuwa hao wanaompelekea maneno na kumshauri uchunguzi ufanyike ajifikrie yeye mwenyewe je hayo yaliyokuwa yanafanyika hayakufanyika kwa mjibu wa sheria? CAG hata kama anveweza kukagua ofisi yake kama raisi lazima dosari zionekane na akumbuke kuwa hakuna serikali kuanzia awamu ya nne hadi ya...
  12. N

    Zijue sababu za wanaKigoma kumpokea kwa wingi Rais Samia

    Rais Samia Suluhu amepeleka neema kigoma na wananchi wameitikia kwa wingi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu kwasababu kigoma ilisahahaulika kwa kipindi kirefu lakini Rais Samia Suluhu amewakumbuka. Baadhi ya mambo aliyoyafanya Rais Samia Suluhu kwa mkoa wa kigoma ni: 1. Umeme wa uhakika 2...
  13. L

    Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

    Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha, ni rahisi sana kuumaliza, kuudhoofisha, kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya jambo fulani, hii ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga...
  14. Rais Samia: Tumeleta umeme Kigoma ili kuvutia Uwekezaji

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi...
  15. Rais Samia azindua mradi wa Umeme Nyakanazi, yaelezwa utasaidia kuokoa Tsh Bilioni 60 za jenereta

    Rais Samia Suluhu Hassan, Oktoba 16, 2022, amezindua mradi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme mkubwa wa 220kV/33kV cha Nyakanazi Mkoani Kagera ambao umekamilika. Aidha, Rais amezindua maeneo manne ya mradi huo ambayo ni; Njia ya umeme msongo wa Kilovoti 220 kutoka Geita mpaka...
  16. Rais Samia: Nawapa kongole Simba Sc

  17. Rais Samia: Kigoma inaenda kuunganisha na gridi ya Taifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Kibondo katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kibondo Mkoani Kigoma, leo tarehe 16 Oktoba, 2022. Rais Samia akiwa kigoma amesema wanaenda kuzima majenereta huko Kigoma kuwa kuwa Kigoma inaenda...
  18. Rais Samia amemaliza ziara ya Mkoa wa Geita bila kuruhusu wananchi kuuliza maswali?

    Nimeona maajabu Mkoa wa Geita. Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini? Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
  19. Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  20. Rais Samia: Nagusa na Kubadili Mawaziri wote isipokuwa Biteko, anafanya kazi nzuri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022 Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana, tumefungua hospitali ya kanda pale chato, lakini tukafungua kiwanda cha kuchenjua dhahabu itakayouzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…