Mbunge wa Sengerema afunguka mafanikio ya Rais Samia na ukweli kuhusu uwepo wa Sukuma Gang

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,503
2,977
Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta mbalimbali ikiwamo Nishati, Maji, Elimu, Afya na Miundombinu katika Mkoa wa Mwanza huku akikana uwapo wa kikundi kinachoitwa (Sukuma Gang)

Akizungumza jijini Dodoma amesema katika Jimbo lake umefanyika utekelezaji wa miradi mingi ikiwamo ya huduma za kijamii jambo ambalo limeiwezesha jamii ya Kanda ya Ziwa na maeneo jirani kuondokana na adha iliyokuwepo awali na hajawahi usikia chama au kikundi kinaitwa (Sukuma Gang) bali waliokua wanataka madaraka ndio waliokua wakitishia uwepo wa kikundi hicho.
 
Huyo mbunge kama hajui kuwa lilikuwepo "Sukuma Gang", kikundi ambacho ni cha siri na hakina kanuni ila kutetea maslahi ya wanakotoka, atakuwa mbunge mnafiki.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom