rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

    Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote. Usiogope...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

    Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

    Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma. Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia inaweza kuwa ni maamuzi magumu lakini hapa tulipofikia hakuna budi

    Mheshimiwa Rais Nakuamkua kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tunajua kuna juhudi unafanya tena kubwa ili kuivusha Tanzania kutoka kwenye hali ya uchumi wa chini kuelekea uchumi wa juu. Lakini sisi wakosoaji wako, tuna lengo la kukussidia kuona nyufa zinazotengenezwa kwa makusudi na...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Acha kutumia kauli "Nawasalimu kwa jina la Jamhuri (ya Muungano wa Tanzania")

    Habari... mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia haambatani na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi kwenye matukio na hafla za Kitaifa?

    Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano. Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia : Gharama za Bando Kushuka kwa Lazima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tozo zatajwa na Rais Samia kupandisha mabando

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa Jijini Dodoma leo ameshiriki hafla ya utiaji saini mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya simu katika Kata 763 nchini na miongoni mwa aliyoyasema ni kuhusu Watoa huduma za mitandao ya simu kudai tozo wanazowekewa ni kubwa hasa kwenye mamlaka...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

    Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu...
  11. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Ndizi Mabibo: Rais Samia tunaomba tusaidie tupate hati ili soko lijengwe

    Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea: Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia amemteua Mussa Makame, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment Advisory Board). Aidha...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashusha Neema Miradi ya Trilioni 42.4/=

    Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira, mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya sh. trilioni 42.4. Miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa muiibu wa Mchango wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kukamilika Ikulu Chamwino Dodoma, Rais Samia Kuandika Historia Nyingine

    Wakati uzinduzi wa Ofisi za Rais Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, ukitarajiwa kufanyika Mei 20 Mwaka huu Serikali imesema serikali imesema inajivunia mchango wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi huo, ambao utaandika historia nyingine. Rais Samia ataingia katika Historia ya Tanzania kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia nje ya nchi zachochea kuongezeka kwa miradi ya maendeleo nchini

    Akihutubia wakati wa maonesho ya Dubai Expo 2020 mjini Dubai, tarehe 26 Februari 2022, Rais Samia Suluhu Hassan aliwakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini. Matokeo Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimefanikiwa kusajili jumla ya miradi 575 ambayo ilikadiriwa kuwekeza kiasi cha mtaji...
  16. JamiiForums Tanzania Picha ya Kimkakati: Rais Samia na Watoto wa Kitanzania nchini Namibia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia. Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hili la katiba mpya rais Samia atalamba dume

    Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi atakuwa amelamba dume. Unapocheza karata ukalamba magarasa lazima upate maumivu ya kiakili na...
  18. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Mwenyekiti Tume UNESCO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Prof. Elifas Tozo Bisanda kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Bisanda ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo kwa kipindi cha pili...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ang'aa kwenye mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City

    Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City kupitia FOX TV na Apple TV, wamepata fursa ya kushuhudia Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…