rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Mzee Karume Watunukiwa Tuzo za Heshima Katika Maadhimisho Miaka 60 ya JKT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Tuzo Maalum pia zimetolewa kwa waasisi wa Taifa letu ambao pia ni waasisi wa Jeshi...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tukio la Familia ya Mzee Ishengoma kuvamiwa usiku Dar, wanaishi kama Digidigi, mmoja anusurika kifo mara 3, waomba msaada kwa Rais Samia

    Hofu imetanda kwa familia ya Mzee Ishengoma ya Goba Jijini Dar es Salaam baada ya hivi karibuni kundi kubwa la watu ambayo idadi yao haikujulikana mara moja kuivamia familia hiyo nyakati za usiku na kufanya uharibifu mkubwa wa mali. Tukio hilo ambalo limeripotiwa tayari katika Kituo cha Polisi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho va Miaka 60 ya JKT katika Uwanja wa Jamhuri - Dodoma leo terehe 10 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema vijana wanaopita JKT wanapaswa...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, siku za Jumapili, nikiwa nimejimpumzikia home baada ya ibada, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za KMT, kwa maslahi ya taifa, ambazo ni za kuwafunda wadogozetu humu, makala ya leo ni makala ya kufunda wadogozetu humu kuhusu heshima ambacho ni kitu...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Mambo kama haya yanamtafsiri Rais Samia kuwa kiongozi wa gani?

    JE, RAIS SAMIA NI DIKTETA? 1. Kwanini hakemei viongozi wake wanaotoa vitisho dhidi ya watu wanaotoa maoni yao kuhusu mkataba tata wa bandari? 2. Kwanini serikali yake iliuficha mkataba huu mpaka ulipo vujishwa na mtu mtandaoni ndipo ukapelekwa bungeni? 3. Kwanini ametoa kauli kuwa ameziba...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza vikao vya uongozi wa CCM ngazi ya Taifa leo Julai, 09,2023 jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo, Julai 09,2023 katika Ukumbi Wa (White House) Jijini Dodoma
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Asema JKT Inatekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kuienga Taifa (JKT) kesho, amesema IKT itaendelea kutekeleza, agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuibua na kutambua vipaji vya vijana na kuviendeleza. Bashungwa aliyasema hayo jana...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ya Rais Samia yaipaisha AICC

    Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Ephraimu Mafuru amesema Tanzania imepanda hadi kuwa nchi ya tano kutoka nchi ya 11 barani Afrika kwa utali wa mikutano hatua iliyochangiwa na uzinduzi wa filamu ya The Royal Tour iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  9. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Rais Samia kwa Yanga na athari ya haki kwa waamuzi

    Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unanisikitisha sana; hukujifunza kwa Kikwete na hutaki kijifunza kwa Magufuli

    Nikianza na JK: Mpaka unapata bahati ya kuingia ikulu, hakuna mtu aliyekuwa mpole na fea na mpenda watu kama JK, hakuna! -Aliwapa watu uhuru wa kuongea. -Waliotaka kuandamana walikuwa wanapewa nafasi. -Ajira, hususani afya na elimu, alikuwa anaajiri kila mwaka; tena wote! -Nyongeza za...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kuona Rais Samia atafanya nini kwenye sakata la Bandari

    Suala la mkataba wa kubinafsishwa kwa bandari za Tanzania limekuwa gumzo kubwa la kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini. Sakata hili limewaamsha watanzania wengi kuhusu mikataba ambayo viongozi wetu huingia kwa niaba ya Taifa zima na umuhimu wa kuwa na viongozi wazalendo wenye kusimamia maslahi ya...
  12. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  13. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

    Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma. Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Malawi, leo Julai 6, 2023

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Malawi, leo Julai 6, 2023. ==== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Malawi kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi hiyo kwenye Sherehe zilizofanyika...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Malawi hayati Kamuzu Banda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amezuru na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi, Hayati Kamuzu Banda Nchini Malawi.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Lilongwe kwa ziara ya siku 3

    5 July 2023 Lilongwe, Malawi RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA SIKU 3 Alipowasili amepokelewa uwanja wa ndege wa Kamuzu International Airport (KIA) na mwenyeji wake Rais Lazarus Chakwera wa Malawi na viongozi wengine wa juu wa serikali ya Malawi. Rais Samia anatazamiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi mbona upo kimya? Alipoingia madarakani Rais Samia ulimsihi afuate na kuendeleza mazuri ya hayati

    Nakumbuka ulienda Ikulu na moja ya kauli yako kubwa ilikuwa mazuri yenye tija na taifa hili yaendelezwe. Leo hii kuna mkataba tata wa bandari za Tanganyika. Upo kimya. Wewe ndio mzee wa taifa hili.
Back
Top Bottom