5 July 2023
Lilongwe, Malawi
RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA SIKU 3
Alipowasili amepokelewa uwanja wa ndege wa Kamuzu International Airport (KIA) na mwenyeji wake Rais Lazarus Chakwera wa Malawi na viongozi wengine wa juu wa serikali ya Malawi.
Ziara hiyo pia ni ishara ya kuimarisha uhusiano wa mataifa hayo mawili jirani ya kiAfrika.
Mgeni huyo kutoka Tanzania mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan atatembelea maeneo yaliyokumbwa na kimbunga kilichoipiga nchini ya Malawi kiitwacho Freddy kilichoacha maafa ya mafuriko na maporomoko ya ardhi mapema mwezi Machi mwaka 2023.
Mgeni rais Samia Hassan atahudhuria maombi maalum ya kukoleza umoja wananchi wa Malawi, ukumbi wa Bingu International Convention Centre wizara ya mambo ya nje imesema katika taarifa yake.
Hassan was received at Kamuzu International Airport by President Lazarus Chakwera and senior Malawi government officials.
“The state visit will consolidate the already strong Malawi-Tanzania bilateral relations which are based on historical ties, mutual interest to promote the living standards of the people of the two countries, traditional people to-people exchanges, and a common interest in regional and global cooperation,” Malawi’s Ministry of Foreign Affairs said.
The Tanzanian leader was later on Wednesday expected to attend a prayer session to call for renewed unity among Malawians.
She would be a special guest during commemorations of Malawi’s 59th anniversary of independence on Thursday, before holding bilateral talks with and visiting some of the areas devastated by Tropical Cyclone Freddy that rocked Malawi in March.

Rais Samia anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika kuadhimisha miaka 59 ya uhuru wa Malawi uliopatikana Julai 6 mwaka 1964 kutoka kwa Waingereza.Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan jetted into Lilongwe on Wednesday at the start of a three-day state visit during which she will headline Malawi’s 59th independence celebrations scheduled for July 6.