rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya...
  2. PAYE

    Rais Samia kuendelea na Hamza Johari kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Amemtea tena leo kushika Wadhifa huo

    Tangazo kwa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma. Imetolewa na...
  3. Idugunde

    GE2025 Rais Samia Utawatala vipi raia wasiokutaka uwe mtawala wao?

    Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao. Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili. Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao...
  4. K

    GE2025 Tatizo kubwa la Samia ni Muongo hata kama ukweli upo wazi. Unatupa aibu kubwa

    Tatizo kubwa la Samia ni Muongo hata kama ukweli upo wazi. Una tupa aibu kubwa. Yaani Rais wa nchi ambaye kwanza kapatikana kwa kura za mezani za uongo halafu kujidanganya vitu ambavyo viko wazi kwenye kamera na kusema vijana walio andamana sio Watanzania! Uongo wa kiasi hiki huwezi kutegemea...
  5. GENTAMYCINE

    Baada ya kusababisha Watu Wafe na kutofanikiwa kwa alichokitaka, sasa kahamia kwa Museveni na Kagame na bado Majuha mnamuamini tu

    Anachokifanya sasa ni Kuzusha tu mara Museveni mara Kagame na tunajua soon atahamia pia Kumshutumu Chapo. Eti Museveni anaitaka Kagera (Bukoba) kwakuwa Nyerere aliichukua Kinguvu. Yaani Museveni huyu huyu ambaye hadi leo anaishukuru Tanzania kwa Kumuondoa Amini na kumsaidia Yeye kuikomboa...
  6. M

    Mwenyekiti Umoja wa Afrika (AU) ampongeza Rais Samia kwa ushindi, akumbushia HAKI ZA BINADAMU

    Mwenyekiti wa sasa ni João Manuel Gonçalves Lourenço, wa Angola
  7. Common Folk

    GE2025 Mama Samia jiamini, usikubali kufanyiwa maamuzi na mtu mwingine. Usikubali kuwa "A Madowman who set peaceful country ablaze"

    Na njia pekee ni kukubali tu kuachia kiti na kuacha taratibu zingine ziendelee. Fanya maamuzi yako mwenyewe ya bila kuingiliwa na mtu yeyote, kumbuka maamuzi sahihi yataifanya kesho yako iendelee kuwa njema. Ukikubali wakakufosi kuendelea, na mkafosi kutangaza umeshinda na uendelee kuwa Rais...
  8. Pascal Mayalla

    Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Wanabodi Hebu msikilizeni huyu jamaa, Mkenya anaitwa Rodgers Kaka Sungura https://youtu.be/FFVNsTEI690?si=g-1g15frbAOn6yYz Anatema uongo kumhusu Rais Samia, Anamtukana na kumuita Dikteta Iddi Amini Mama, amemtukana Rais wake Ruto kuwa ni Dikiteta Iddi Amini Baba, na kusema Uganda kulikuwa na...
  9. L

    Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sheikh Rusaganya: Rais Samia, HAO MBWA kuna waliowatia ujeuri hadi wanakutukana

    Naona Sheikh anaendelea kujimaliza tu! Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa kiburi cha kukutukana wewe Rais Samia. Akamalizia kusema mama umewafanyia hisiani na wanajijua wenyewe...
  11. funaku

    GE2025 Ukiiona Mwanza imekubali ujue ushindi unakuja. Hongera Rais Samia

    Mwanza imejitokeza kumpokea mgombea Urais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni nembo ya kukubalika nchini. Wapinzani wengi wa Samia walipambana kuitenganisha Kanda ya ziwa na Samia lakini imekuwa tofauti na kila la kheri kesho asubuhi na mapema kazi itakuwa imeisha.
  12. R

    GE2025 Kihongosi: Rais Samia amefuatiliwa mtandaoni mara Milioni 164. 9, hii inadhihirisha kukubalika kwake kama Mgombea Urais wa CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna Chama cha Mapinduzi kimefanikiwa kwa kufatiliwa na watu wengi Mtandaoni na umati mkubwa kuhudhuria...
  13. Luca Paguro

    ITV: Rais Samia afanikisha timu nne kufuzu makundi Afrika

    Jamani naelewa vyombo vya habari vinamuogopa huyu mama, ila hii ni too much, khaaa 😂😂 =========== Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu nne za mpira wa miguu Tanzania kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Afrika. Timu hizo ni...
  14. Mafyangula

    GE2025 Samia: Tutajenga kituo cha mabasi Mkuranga

    Baada ya kilio cha muda mrefu cha wakazi wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania cha kukosa kituo kikuu cha mabasi, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi sasa kitajengwa katika eneo la Mkuranga mkoani Pwani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwandege...
  15. L

    Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  16. figganigga

    Wapiga debe Wanamharibia Rais Samia. Hawana Takwimu

    Wapiga debe Wanamharibia Rais Samia. Hawana Takwimu. Machawa yaliyokomaa hata hayajui yanaongea nini
  17. Pascal Mayalla

    PPR VOX POP: Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown Media, Ataja Sababu Iliyomwezesha Kumhoji Rais Samia Mara 2!.

    Wanabodi Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown Media azungumzia jinsi alivyoweza kufanya mahojiano mara mbili na Rais Samia, huku kuna foleni kubwa ya walioomba mahojiano. https://youtu.be/NEsg2KU_-hc?si=UPUwi11CBZronl-w Karibu Paskali
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kigoda cha Uprofesa Mwalimu Julius Nyerere cha UDSM champongeza Rais Samia kukuza diplomasia ya uchumi

    Washiriki wa mjadala wa kitaalamu ulioandaliwa na Kigoda cha Uprofesa Mwalimu Julius Nyerere cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamepongeza jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza diplomasia ya uchumi kupitia Sera Mpya ya Mambo ya Nje, wakisema ni kichocheo cha biashara ya...
  19. R

    GE2025 Rais Samia: Kwa sasa Umeme ni Saa 24 Dar es Salaam

    Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24 “Si muda mrefu uliopita...
  20. R

    Simba SC wamshukuru Rais Samia kwa kitita cha Milioni 15

    Kupitia ukurasa wa Mtandao wa Instagram ya timu ya Simba sports club wameandika kumshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa kitita cha Millioni 15 kama zawadi kwa mabao matatu waliyofunga timu ya Nsingizini Hotspurs ya Eswatini "Asante Mhe. Rais...
Back
Top Bottom