rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Jamani, angalie Rais Samia alivyotuna

    Ni kweli ni wakati wake kutuna. Atulie ale lakini asitumalizie Watoto wetu. Sababu hapo alipo ni miaka michache. Baadaya hapo atakuwa si lolote si chochote. Uzuri wa mali hata ujaze hela unakufa na kuziacha. Urais unakuwa wa maana ukiambatana na kulinda uhai wa unaowatala. Bado namtafuta...
  2. R

    GE2025 Rais Samia usiwasikilize washauri wako, ahirisha uchaguzi tuwe na maridhiano

    So called washauri wako wanatetea matumbo yao. Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa! Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza. Nakutakia matashi mema
  3. R

    GE2025 Mussa Zungu: Rais Samia ametoa Bilioni 200 ujenzi Mfumo mpya wa maji taka Ilala

    Hawa wazee wa CCM wakubali tu wamechoka maana wakienda bungeni watajikuta wanasaini mikataba ya kutuuza kabisa Zungu jamani kweli ndo kuzuia maji taka kuua samaki barabarani au ndo mradi mpya wa CCM wa makazi mapya ya samaki:confused: waachieni wenye afya na nguvu imara ya kuongoza nchi mkalee...
  4. R

    GE2025 Sheikh: Nawasomea dua Mange Kimambi na Recho na hamtowasikia wakimtukana tena Rais Samia

    Wakuu, Sheikh Sharifu Firdaus Al qadiri anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Rais Samia: Serikali Kuboresha Vijiji kupunguza wimbi la Vijana kukimbilia Mijini

    Kwahiyo ukiboresha maeneo ya vijiji ndio suluhu la vijana kuyasaka maisha mijini? Hizo ni sera za uongo hakuna kitachofanikiwa! Na katika utafuta wa maisha ni maono ya mtu tu ndio maana kuna wanaotoka mjini kwenda vijijini na wakafanikiwa so kila mtu anauhuru wa kutafuta maisha popote pale...
  6. W

    GE2025 Samia: Wachagueni Madiwani wa CCM, mkiwachanganya na wa vyama vingine mtajicheleweshea Maendeleo

    Akiomba kura kwa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge kwenye majimbo na Kata za Mkoa wa Rukwa leo Jumapili Oktoba 19, 2025, mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi kuwachagua wagombea hao na kutowachanganya na wengine, ili iwe...
  7. W

    GE2025 Mgombea Udiwani Ilala: Atakayemkwamisha Samia tutaanza naye kabla yake

    Mgombea udiwani wa kata ya ilala Saady Khimji( Home Boy) amesema Chama Cha Mapinduzi, CCM Kinafanya jitihada kubwa ya kuinadi ilani yake kupitia majukwaa na Kampeni mbambali zinazofanywa na Wagombea wa Chama hicho Akizungumza Leo Oktoba 18, 2025 katika Mkutano wa kuwatambulisha na kuwanadi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wenje: Lissu alinufaika na falsafa ya 4R za Rais Samia

    Wenje ameendelea kujimaliza, mwenyewe na kujiona mjanja Tumika baba! ==================== Mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, jumla ya kesi 417 zilifutwa, ikiwemo kesi sita...
  9. figganigga

    Kwakuwa Rais Samia kaiga mfumo wa utawala wa Nicolae Ceaușescu, Je, kumkuta kama ya Nicolae?

    Nimejaribu kuandika kama alivyosimua Mariam Paul kwenye Video hapa chini. Christmas ya mapinduzi. Mwaka 1965 alekwa Raisi wa Romania, Geoge Geogu Deji. Alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mjibu wa katiba yao, Raisi akifia madarakani. Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti, PCR, anarithi kiti...
  10. L

    GE2025 Hakuna Kiongozi Amewahi kupata Mapokezi Makubwa kanda ya Ziwa kama Aliyoyapata Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Nimefuatilia na kuendelea kufuatilia Mikutano ya Kampeni ya Rais Samia kanda ya Ziwa. Kwa hakika hakuna kiongozi yeyote yule wa ngazi yoyote ile amewahi kupata Mapokezi makubwa ,ya Heshima kama aliyoyapata RAIS wetu Mpendwa na Mama yetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama...
  11. Mhaya

    GE2025 Video ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

    Video inasambaa mtandaoni ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wala hawajui Kiswahili wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake Inaelezwa kuwa diaspora wa Tanzania waishio Marekani wanaandamana leo huko kuipinga serikali ya Rais Samia hususani kuhusu utekaji...
  12. Mafyangula

    GE2025 Mwananchi: Tunafurahi kwa ujio wa Rais Samia, Rukwa, ila tunachangamoto ya maji afanye atutue ndoo kichwani

    Wananchi Mkoani Rukwa wamepata hamasa kubwa kufuatia tangazo la ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni mkoani humo tarehe 18 na 19 Oktoba mwaka huu katika viwanja vya shule ya sekondari ya Kizwite...
  13. Abuu Ibraahiym Sibomana

    Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha Odinga

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga. Kupitia taarifa ambayo rais Samia ameiweka kwenye mitandao ya kijamii...
  14. W

    GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi. Pia Soma GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa GE2025 -...
  15. Mafyangula

    GE2025 Bashiru: Samia amezishinda siasa uzalendo uchwara

    "Umadhubuti wa Chama chetu na hasa umadhubuti wa uongozi wako Dkt. Samia Suluhu Hassan katika vipindi ambavyo dunia imetikiswa, si Tanzania peke yake, tumepigwa na korona, kuna mabadiliko ya tabia nchi, kuna vita ambavyo vinatikisa uchumi wa dunia lakini pia kumezuka siasa za kujitambulisha kwa...
  16. L

    PICHA: Rais Samia akiweka Shada la maua kwenye kaburi la Hayati Dkt Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge ameweka shada la Maua...
  17. Mafyangula

    GE2025 Serukamba: Dkt. Nchimbi atakuwa msaidizi sahihi wa Rais Samia

    Mgombea ubunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Serukamba amesema, Rais Samia Suluhu Hassan alifanya uamuzi sahihi kumteua Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea wake mwenza wa urais. Serukamba amesema Dk Nchimbi atakuwa msaidizi sahihi wa Rais Samia mara baada ya uchaguzi...
  18. R

    GE2025 Prof. Kitila: Rais Samia ameonyesha uimara wa kutosha katika kuongoza nchi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo, amewasihi watanzania kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa Mgombea huyo anasifa zote za Kiongozi mkuu wa Nchi, ikiwemo uimara ‎ ‎Ameeleza hayo leo Oktoba 12, 2025 alipokuwa katika...
  19. W

    POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  20. Carlos The Jackal

    GE2025 Mwambien Rais Samia Vijana aloamuru Washughulikiwe pale Serengeti, wameumizwa na kuvunjwa, Mmoja yuko ICU

    Ndugu yangu unaweza jiuliza, huyu ni Mama na aliwahi kulea ??. Lile suala analodai Vijana wanawasukuma wenzao mbele , lilikua ni Suala la kusema "Wasaidieni waweze kusimama vizuri Kwa Utulivu ". Ila kwakua anajua HAPENDWI . kwakua anajua wamekuja Mkutanoni baada ya KULIPWA PESA hawezi kua nao...
Back
Top Bottom