rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  2. R

    PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  3. Cute Wife

    PostGE2025 Rais Samia: Sisi wazazi wenu tungefanya mliyofanya nchi hii isingekuwa na neema kama sasa

    Ila Samia anazidi kuongezea watu hasira tu, kwahiyo wazazi wao walitoa polisi nje kuua watoto wao? Ndio anahalalisha yaliyotokea kwa kusema mkubwa hakosei? Rais Samia kasema kama wao wazazi wangefanya waliyofanya vijana (maandamano) basi nchi hii isingekuwa na neema. Amewaambia vijana...
  4. Cute Wife

    PostGE2025 Rais Samia: Wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao

    Rais samia amewashukuru wananchi kushiriki vilivvyo kwenye uchaguzi kuanzia kujiandisha pamoja na kujityokeza kwa wingi kupiga kura na kuchagua vviongozi wanaowataka. Rais Samia ameongeza kwa kusema wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao...
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  6. ngara23

    PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

    Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police, Vyombo vya...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI Pia soma: ~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025 ~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
  8. Idugunde

    PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

    Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu? Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Coaster Kibonde: Natamani sana Rais Samia aniteue kuwa Kiongozi katika Serikali yake

    Bwn Kibonde alisema yeye akiwa Rais wa Tanzania atampa ajira Rais Samia, lakini baada ya kubwagwa kwenye nafasi hiyo amepeleka huruma sasa apewe uteuzi. Jinsi Samia anavyopenda sifa basi anaweza kumpa uteuzi wa hata katibu tawala wa wilaya =============== Aliyekua Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya...
  10. R

    PostGE2025 Mchambuzi wa Siasa Herman Manyora adai Rais Samia hatomaliza miaka 5 madarakani

    Mchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani. Akizungumza katika mahojiano na Tedd Agwa, Manyora alisema hali ya kisiasa nchini Tanzania inaashiria...
  11. R

    PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  12. President of China

    LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  13. HesabuKali

    PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  14. w0rM

    Je, Dkt. Nyansaho ndio Waziri wa Fedha ajaye? Mrithi wa Mwingulu Nchemba!

    Dkt. Rhimo Nyansaho, mchumi na aliyewahi kufanya kazi katika sekta ya benki, anatajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa nafasi ya kuchukua uongozi wa Wizara ya Fedha, kufuatia uteuzi wake kuwa Mbunge na Rais Samia Suluhu Hassan. Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa jana imesema kuwa Dkt. Nyansaho...
  15. Influenza

    GE2025 Ukimya Unaoongea: Rais Samia hakutajwa wala kupongezwa kwenye Mkutano wa SADC ulioongozwa na Rais Ramaphosa

    Ni kwa kiwango gani Kiongozi lazima anatakiwa kuanguka hadi majirani zake waanze kujifanya kana kwamba hayupo? Hilo ndilo swali lenye ukakasi linaloizunguka Tanzania na Rais wake, Samia Suluhu Hassan, baada ya yeye na nchi yake kutotajwa kabisa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa SADC wiki hii —...
  16. Just Pray

    GE2025 ACT Wazalendo: Serikali ya Rais Samia imekosa uhalali wa kisiasa kuendelea kuongoza Tanzania, uchaguzi wa Oktoba 29 ni pigo kwa Demokrasia na taifa

    MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025 Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

    Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina. Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
  18. Mhaya

    Zaidi ya 90% Ya Marais Wote Duniani Wamegoma Kumpongeza Samia Kwa Ushindi Ukilinganisha Na Mtangulizi Wake

    Wengi tulizoea kuona Viongozi wa kidunia wakiwapongeza Marais wa Tanzania pale wanaposhinda chaguzi, na wengi mnakumbuka mwaka 2015 na 2020 tulishuhudia Viongozi wa kidunia wakiwemo Marais, Wawakilishi wa Marais, Wakuu wa Taasisi na mashirika ya kidunia wakitoa Pongezi zao kwa Rais wa Tanzania...
  19. Y

    Waraka wa amani kwa Rais Samia. Imefikia wakati wa kuponya Taifa na kujenga siasa mpya

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu mwingi wa Rehma kwa kutupatia nafasi nyingine ya pumzi kiasi cha kuweza kutoa maoni haya. Pili nitoe pole, kwa watanzania wenzangu wote ambao kwa namna zote wamepotelewa na wapendwa wao, ama kusababishiwa ulemavu kufuatia yaliyotokea siku ya uchaguzi katika...
  20. R

    GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Wanaovuruga amani wanataka kutusahaulisha makubwa aliyofanya Rais Samia

    Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
Back
Top Bottom