rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Samia Aweka Historia ya kuwa Rais wa kwanza toka Uhuru kujenga Vyuo Vya Veta 64 kila Wilaya.Ajengewe Sanamu ya Kumbukumbu

    My Take Kuna baadhi ya Nyumbu wa Chadema wataanza kubishq na Kutukana hovyo. Tanzania inasonga mbele. Pia soma hapa PreGE2025 - Prof. Mkenda: Rais Samia aagiza kila Wilaya kujengwa VETA, Ujenzi unaendelea katika Wilaya 64 | JamiiForums PreGE2025 - Prof. Mkenda: Rais Samia aagiza kila Wilaya...
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia kuelekea Ulaya 2025- 2026

    Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi...
  3. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyofanyika Oktoba 29 ni vyema viongozi wanawake duniani wangejitenga na Samia

    Wakuu, Nimesikia Bi Msumi katengwa na viongozi wenzake huko AU Sasa mi naona hilo suala lingeendelezwa zaidi. Heads of state wote duniani ambao ni wanawake wanatakiwa kumtenga Samia Wanawake ni mama zetu, dada na mashangazi zetu. Hakuna mtu ambaye ana uchungu na maisha ya watu kama mwanamke...
  4. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia Akiwa Na Pistol Mkononi Akiwa Ameishika Kikakamavu na Kikomandoo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama. Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia azindua Makao Makuu ya ULINZI wa Taifa

    RaisSamia Suluhu anazindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, mkoani Dodoma, leo tarehe 24 Februari, 2026 https://www.youtube.com/watch?v=ZxlZ47uPcJE =================== Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nimeona Rais Samia akiondoka Ikulu kabla ya kumaliza muda wake rasmi

    Ukiwa NABII hutakiwi kushawishi watu waamini unabii wako kwa njia yoyote. Pia hutakiwi kutabiri kwa kuangalia hali ya hewa . Most of the prophets nowadays prophesy according to the environment. Wakiona kampeni zimenoga ndipo wanajua huu upepo fulani ndiye mshindi. Pia hutabiri kwa kuegemea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Malisa amewekwa selo yenye kunguni kwa amri ili ateseke

    Wapinzani wa Samia wote wanateswa kupitia magereza
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Speed ya Rais Samia inawatisha wengi, wazungu wamefilisika

    Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa. Rais Trump, viongozi wa ulaya na...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Samia ndio Rais wa kwanza kujenga Chuo Kikuu kila mkoa Tanzania. Hakuna mkoa ambao hauna Chuo Kikuu

    Kabla ya Samia hajaingia madarakani suala la Vyuo vikuu au TAWI la Chuo Kikuu ilikuwa ni kwenye Mikoa maarufu ya Dsm,Mbeya,Arusha,Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza. Mikoa mingine ilitengwa na kuonekana eti haifai kuwa na huo Kikuu.Hiyi dhana ya kipuuzi ilikataliwa na mama WA maono ambapo alianzisha...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo, https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/tumuombee-rais-tuliombee-taifa-5362604 Pia soma Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao?. Na...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Picha ya Siku Na Ujumbe Wa Siku Kutoka Kwa Rais Samia Uliowagusa Viongozi Wa Dini,Waumini na Wakatoliki wote Nchini kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo shujaa wa Afrika hayati JPM leo taifa letu lisingekosa kama anavyohangaika Rais Samia sababu ya kukumbatia mafisadi

    Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais. Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja vya mpira likae vikao na na nchi kama Kenya ambayo haina uwezo hata wa kudhalisha mahindi ya ugali...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

    Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu.... Hii...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Na Barack Obama Wamlilia Na Kusikitishwa Na Kifo cha Jesse Jackson. Watuma Salamu Za Rambirambi kwa Familia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na Rais Mstaafu wa 44 wa Taifa la Marekani kwa pamoja Wamlilia na wamesikitishwa kufuatia au kutokana na Kifo cha Jesse Jackson Mtetezi wa haki za binadamu,muhubiri na mpigania haki. Viongozi wetu hawa wawili kwa pamoja...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mageuzi sekta ya afya chini ya Rais Samia si ahadi za kisiasa tu ni mabadiliko yanayopimika kwa takwimu na yanayoonekana kwa macho

    ~ Yameipa heshima Tanzania Kimataifa kama kinara wa mageuzi ya Afya Afrika Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, sekta ya afya nchini Tanzania imepitia mageuzi makubwa ya kihistoria. Chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Serikali imewekeza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshusha heshima ya taifa letu kwenye mikutano ya AU

    Nasema hivyo kwa sababu miaka ya nyuma viongozi wa Taifa letu walikuwa wakismama kwenye mikutano ya AU ilikuwa ni heshima kubwa. Taifa letu lilikuwa na sifa kubwa ya kulinda haki za raia wake na hata kutoa misaada kwa raia wa kigeni ambao walikuwa na matatizo nchini mwao. Leo hii anasimama...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Machumu: Rais Samia ameteuliwa kuwa kinara wa Umoja wa Afrika katika masuala ya Afya ya Uzazi Mama na Mtoto

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 16, 2026. Machumu amesema sehemu ya mafanikio ni Rais Samia kuteuliwa kuwa...
  19. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

    Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi ndivyo Rais Samia alivyotua na uso wa tabasamu Zanzibar akitokea Addis Ababa Ethiopia. Ni kama shujaa aliyetoka vitani na ushindi mkononi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa amerejea kishujaa ,amerejea na ushindi wa kidiplomasia mkononi ,amerejea akiwa ameacha historia huko Addis Ababa Ethiopia,amerejea akiwa na nguvu ,ari na morali ya kuwatumikia watanzania,amerejea akiwa na kiu ya kulipeleka mbele Taifa letu na kuinua...
Back
Top Bottom