rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anaamanisha au ni siasa uchwara?

    Kwa nini kama kweli, Mungu analaani WATUMISHI wasio timiza wajibu, wao iweje amwache aliyeua watu 518 kisa awe apo alipo atapewa Nini na Mungu? JE kwa Nini anaishi mpaka Leo?
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha viongozi aliowateua, leo Mei 6, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=J6rFxg187NY
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Jaji David Maraga asikitishwa na kauli ya Rais Samia

    Jaji mkuu mstaafu wa Kenya, David Maraga ameandika katika ukurasa wake wa X akieleza masikitiko yake kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Mei 4 wakati akimpokea Rais wa Kenya, William Ruto jijini Dar es Salaam. Endelea.... "Kama Jaji Mkuu, nilithamini udugu uliopo ndani ya Jumuiya...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Radio 47: Rais Samia anataka kutuharibia Rais Ruto

    Baada ya ukimya wa siku kadhaa na madai pia waliotoa kutaka kutekwa! Sasa wale Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya akiongozwa na Billy Miya leo waimeibuka na jambo jipya la kusema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anataka kumharibu Rais William Ruto wa Kenya ambaye ni Rais wao walitoka naye...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Walimu 150 wa Amali Waliohudhuria Mafunzo India Warejea, Prof. Shemdoe awapongeza kwa kuonesha nidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wamewapokea walimu wapatao 150 wa amali waliokwenda kwenye ziara ya mafunzo ya mwezi mmoja nchini India, ambayo...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na Didier Drogba Ikulu Chamwino. Amuomba awe Balozi wa Tanzania kuelekea AFCON 2027

    Naona Didier Drogba ameshajipatia ajira mpya kutoka Tanzania vile atakavyokula kodi za wananchi kwa ulaini kabisa! Ila ajiandae kwa masimango kutoka kwa Watanzania wenye hasira kali na kodi zao ============== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya: Hatutishwi na matamshi ya Rais Samia

    Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa watachapwa viboko kila watakapokwenda. Soma Pia: Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto anahutubia Bunge la Tanzania leo Machi 5, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU Leo saa tano asubuhi, Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Kipchirchir Samoei Arap Ruto, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni mara ya kwanza katika historia kwa Rais wa Kenya kufanya hivyo. Kwa upande mwingine...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyojenga Diplomasia ya uchumi kwa weledi mkubwa

    Na África J&L, Dar es Salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini kimsingi, hili ni zaidi ya historia. Ni ushahidi wa jitihada za utekelezaji wa diplomasia ya uchumi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa tuzo Profesa Ndunguru kwa kuboresha TPHPA

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru ni miongoni mwa wafanyakazi waliopewa tuzo ya ufanyakazi bora na Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika mkoani Njombe. Profesa Ndunguru anayetoka Chama cha wafanyakazi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna makubaliano TANESCO na Shirika la umeme la Rwanda (REG) kuanza kuuziana umeme

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026. Rais Samia amezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda, ikiwemo Mradi wa Umeme wa Rusumo unaohusisha Tanzania, Rwanda, na Burundi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Biashara yetu kati ya Tanzania na Rwanda imekuwa hadi kufikia Bilioni 644 mwaka jana 2025

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali. Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi, Uadilifu na Ustawi wa Taifa

    MEI MOSI 2026📌 💡Rais amesema: “Ni wajibu wetu sote kushirikiana, kuaminiana na kutanguliza maslahi ya Taifa. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi ili kujenga uchumi imara na ustawi wa jamii yetu.” Serikali ipo na inawasikiliza wafanyakazi. 💡Kwa kuwawezesha vijana, Rais Dkt...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Soma hapa Ujumbe Mzito wa Rais Samia unaozunguka Duniani kote kwa kasi ya Mwanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi Wa aina yake ,ni kiongozi mwenye Ushawishi haijapata kutokea Barani Afrika Katika Miaka ya hivi karibuni, ni kiongozi mwenye Uwezo Mkubwa sana wa kuwasilisha ujumbe wake ukaeleweka vyema kwa watu wote. Ni kiongozi ambaye huwezi kuchoka...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Maboresho kwa Watumishi

    Rais Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwaka 2021 amechukua hatua kadhaa zinazohusu wafanyakazi, hasa katika sekta ya umma na mazingira ya kazi kwa ujumla. Hapa kuna mambo muhimu aliyofanya: 1. Kuongeza mishahara ya watumishi wa umma (2022) Baada ya miaka kadhaa bila nyongeza...
  19. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TUCTA imeniambia haina madai, tutaangalia tena mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi.
  20. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ni kumbukumbu ipi Rais Samia atatuachia akiondoka madarakani 2030?

    Japo.bado ana mda lakini matumaini ni kidogo. Kikwete alituachia A. Mazuri 1. Daraja la kigamboni 2. Chuo kikuu Dodoma 3. Chuo kikuu Nelson Mandela Arusha 4. Barabara mabasi ya mwendokasi 5.Ajira lukuki kwa graduates 6. Kushamiri kwa democrasia ya vyama vingi B. Mabaya 1. Rushwa iliyokithiri...
Back
Top Bottom