rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani Rais Samia kwa kuruhusu bidhaa za Kenya. Chuki haijengi; tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa uongozi wako

    Ama kwa hakika huyu mama atakua suluhu. Najua hizi habari zitwatibua nyongo wale hupenda kuendekeza chuki lakini ndio hivyo. Tupige biashara na kuboresha chumi zetu. ======== Kenya President Uhuru Kenyatta (right) and his Tanzania counterpart President Samia Suluhu Hassan having a word during...
  2. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hongera kwa kurekebisha makosa yaliyofanyika kwenye uteuzi wa Azza Hilal Hamad

    Moja kwa moja nimpe mama Samia hongera kwa kurekebisha makosa yaliyofanyika kwenye teuzi za makatibu tawala na zile za wakurugenzi wa mashirika mfano ile teuzi ya DG wa TPDC. Ni wazi Kuna majina mama anayopewa ya teuzi yakiwa na makosa. Ieleweke mama Samia hawezi kuwajua watu wote hivyo ni wazi...
  3. MenukaJr

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anamjaribu Rais Samia kwa sababu hizi...

    Freeman Aikael Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa Arusha licha ya kutumia muda mwingi kumsimanga JPM, ambaye hawezi kujitetea tena amemjaribu Rais Samia Suluhu Hassan. Freeman Mbowe amesema kuwa Chama chake hakitashiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa hadi pale itakapopatikana Katiba mpya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suala la Uwekezaji Nchini

    HONGERA MAMA SAMIA KWA MPANGO WA MAPITIO YA SHERIA 22 KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh.Rais Samia Suluhu Hassan iko katika mchakato wa kushirikisha wadau mbalimbali katika kufanya mapitio ya sheria 22 chini ya Wizara ya Viwanda na...
  5. MenukaJr

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati, TRA watatukwamisha

    Rais wangu, ukipata nafasi mwite ofsini Kamishna wa TRA nchini, Bwana Alphayo Kidata. Muulize katika mwezi April/May ambao yeye amekua ofisini amekusanya mapato kiasi gani. Akikupa hesabu linganisha na mwezi wowote katika mwaka wowote unaoutaka wewe. Achana na miaka ya JPM ambayo inasemwa kodi...
  6. issenye

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

    MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha. Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameahidi kuendelea kuwapa nafasi za uongozi wanawake wengi zaidi katika serikali anayoiongoza ili kufikia lengo la 50 kwa 50

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema yupo tayari kushirikiana na viongozi, taasisi na mashirika mbalimbali ya kimataifa katika juhudi za kufanikisha jukumu la kuipeleka mbele Tanzania. Amesema hayo Jumapili Mei 23, 2021 wakati aliposhiriki mkutano kwa kwa njia ya mtandao kikao kilichoandaliwa...
  8. Reykijaviki

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu apandisha vyeo makamishna watatu Uhamiaji

    Mama anaendelea kutoa shavu kwa vyombo vya ulinzi na usalama, huko uhamiaji mambo ni moto.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuhujumiwa kwa Rais Samia Suluhu

    Ni kawaida nchini kwa kila kiongozi mpya anapoingia madarakani, kuwepo kwa genge la wanufaika wa uongozi uliopita kulinda na kusukuma maslai yao. Mwinyi – kama alivyoandika kwenye kitabu chake – alisumbuliwa sana na ‘watu’ wa Nyerere, ikiwemo Nyerere mwenyewe. Mkapa hakusumbuliwa sana na hili...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Wanabodi nawasalimu. Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea. Serikali...
  11. N

    JamiiForums Tanzania "Siku hizi uko wapi?" ni swali linalonikera. Chini ya Rais Samia, huenda nikapata jibu lake

    Baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo miaka 3 iliyopita, nilibahatika kwenda kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye taasisi moja. Wakati wa hayo mafunzo nilizoeana vyema na watumishi wa pale hasa wale wa kwenye Idara niliyokuwamo. Ukaribu, maelewano, ushirikiano katika kazi ulikuwa ni wa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan: Umenena vyema suala la PF-3

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza napenda kukupongeza kwa hotuba yako nzuri wakati wa ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza au kushona nguo cha jeshi la polisi. Nilivutiwa na jinsi ulivyosema kuhusu matumizi ya PF-3 kwa wagonjwa wanaoumia au kupata ajali za barabarani na ni ukweli...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TRA wanavyomjaribu Rais Samia Suluhu

    Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad. Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna dalili zote za kuwa na mafuta ziwa Tanganyika na Nyasa

    Moderators wa JF mnazingua sana. Mmebadilisha kichwa cha thread na kutoka nje kabisa ya topic. Lengo haikuwa kusema kuna dalili za mafuta, bali kuweka mkazo kwamba lazima tuharakishe ku-utilize hii resource kwa kuwa kuna kasi ya kuacha kutumia mafuta duniani. Kwa nini mnafix vitu ambavyo havina...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

    Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki Prof. Ibrahim Juma...
  16. kookolikoo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  17. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Heshima, Kujiheshimu, kuwa na malengo na kujua wapi unapotaka kwenda

    Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha. Alianza kuwaelezea mapito aliyopitia katika UWAJIBIKAJI WAKE WA KAZI katika SEKTA BINAFSI na TAASISI ZA KISERIKALI...
  18. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usipofanya haya wewe na chama chako mtaanguka vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

    Kwa heshima na taadhima mama yetu wa Taifa, mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama napenda kwanza kukusalimu "Kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Ama baada ya salam napenda kutumia nafasi hii kama mtanzania na raia mwema wa nchi yako pendwa ya Tanzania...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna Fursa nyingine huko 'Kazungula Bridge'

    Amani iwe nawe Mama yangu. Heri ya sikukuu ya Eid! Na Polee na uchovu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan. Kama nilivyotoa commitment ya kukuunga mkono Mara tu ulipochukua kiti cha kuongoza nchi yetu, leo napenda kuleta mada nyingine ya ushauri kwako ili tuutumie katika kuijenga na kuipeleka...
  20. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa...
Back
Top Bottom