rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

    Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umewafunga 'speed governor' Chalamila na Hapi, hongera sana

    JF Katika kitu mama amefanikiwa ndani ya muda mfupi ni kurejesha nidhamu ya viongozi wateule wa rais. Itakumbukwa hapo nyuma wakuu wa mikoa ya Mbeya na Iringa walijiona ni miungu watu ndani ya nchi hii, walikuwa wanafanya mambo wanayojisikia hata kama ni kinyume na haki za viongozi. Huyu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepiga 'hat trick' kwenye Korosho

    Na Emmanuel J. Shilatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya Wakulima. I: PEMBEJEO Rais Samia ametatua kilio cha Wakulima cha pembejeo ambapo Safari hii pembejeo...
  4. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kufufua Azimio la Arusha na kurasimisha Katiba ya Warioba

    Habari Tanzania! Poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kwa marika yote. Napenda kutoa wazo kwa Utawala wa sasa na ule ujao kama itawapendeza na kuona inafaa kwao; na wanapenda kuona kesho yao ikiwa nzuri wanapaswa kwanza kulifufua upya Azimio la Arusha na baadae ndio pafanyike kusimikisha...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kuendelea na minyukano ni kutoielewa dhamira ya Rais Samia

    Na Philipo Mwakibinga Rais Mama samia amedhihiri kuwa anataka Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Demokrasia, ambacho kinapimika kwenye viwango vya Kimataifa. Badala ya kujifanya hatujamuelewa sasa tumsaidie ili Tanzania ya Wote iwezekutamalaki. Niwakati muafaka wa kilammoja wetu kujivunia hili...
  6. MenukaJr

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

    Maoni yangu: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina mapungufu kadhaa kwa maoni yangu, kama ifuatavyo: 1. Mkataba wa Gesi Da'slam-Mombasa Taarifa ya Msemaji...
  7. The Boss

    JamiiForums Tanzania Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    Nipo kwenye rekodi hapa ya kumtetea waziri Kalemani huko nyuma lakini leo naomba Rais Samia amfukuze tena ikibidi haraka Sana huyu waziri. Kwa mujibu wa maagizo aliyowapa TANESCO waziri Kalemani anataka sasa karibu watu wote Tanzania nzima wakitaka kuunganishiwa Umeme walipe Elfu 27 tu bila...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia zuia wafanyakazi wa NCBA kupunguzwa, Uhuru Kenyatta kakudanganya

    Ndugu yangu Samia, Ninajua umezongwa na vimemo, Ila ninakushauri kuwa ziara ya Kenya imeanza kuleta madhara kwa Watanzania. Benki ya CBA ambayo ni Mali ya Kenyata inampango kupunguza wafanyakazi bila kufuata utaratibu. ha kwa kwanza hakuna sababu yoyote kupunguza wafanyakazi haswa ukizingatia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Azory Gwanda watuma barua kwa Rais Samia Suluhu Hassani

    04 June 2021 Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017. Msemaji wa...
  10. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifanya haya, Wapinzani watakuwa na wakati mgumu

    Matatizo mengi ya Tanzania, kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na uongozi mbaya unaolindwa na sheria mbaya na Katiba mbovu. Rais Samia, kwa dhamira yake, anaonekana ni mtu anayependa haki - hili amelitamka mara kadhaa. Rais Samia anapenda demokrasia ya vyama vingi - hili alilitamka hata kule...
  11. Semahengere

    JamiiForums Tanzania Mnaita wawekezaji warudi ili muwakamate? Tulidhani Rais anataka kufufua uchumi

    Kwa kifupi hapa tumekosea. Manji hakukimbia nchini aliondoka. Mlikuwa wapi akiondoka hadi mumkamate mtu Airport wakati anarudi nyumbani? Hii ni sifa mbaya kama Taifa linalohitaji uwekezaji mkubwa for economy recovery. Muelewe wafanyabiasha wakubwa wana vyama vyao na network yao kwa hiyo...
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza kuanzisha mkoa mpya wa Chato endapo haya yatazingatiwa…

    Ummy Mwalimu, Waziri wa TAMISEMI, akiwa anatafakari juu ya muundo wa serilkali ya Tanzania Bara kuanzia Ikulu hadi Vitongojini. Usuli Mwongozo wa kuunda mikoa wa 2014 unataja vigezo hivi: idadi ya watu isiyopungua 3% ya watu wote nchini, changamoto za kijiografia zisizoweza kutatuliwa nje ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia usifanye makosa ya kuteua watu walioharibu huko nyuma au kuwa na dosari za kiuongozi kwa msingi wa kuwapa "second chance"

    Kwako Rais Samia, Kuna jambo moja binafsi naona unafanya makosa makubwa sana, na hili linahusu teuzi zako za hivi karibuni ambazo zinatia ndani watu fulani ambao huko nyuma walionekana kufanya makosa makubwa katika uongozi wao na hata kuwa na dosari katika uongozi wao. Mfano mmoja ni huyu mtu...
  14. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiboko ya wasiojulikana, toka ameingia wanaharakati wanapata usingizi

    Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka. Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa...
  15. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia kwa wananchi akiwa Kariakoo kwamba "Serikali inawabeba" ina ukakasi

    Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini kufuata sheria zinazowekwa katika maeneo mlipo maanake nimeona njia zote zimezingiwa, vibanda kila...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hazina na Serikali Mtandao chunguzeni ufanisi wa malipo ya serikali kupitia control number, huenda tunapigwa kama Rais Samia alivyowahi kutahadharisha

    Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi. Juzi Kati Tanesco walipata matatizo kwenye mfumo wa LUKU nakupelekea kukosekana kwa huduma hii. Niliwaza sana kuhusu udukuzi wa kimtandao...
  17. Omulasil

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Flexibility siyo kung'ang'ana na Sheria

    Wajuzi wajaribu kuelewesha mama leo akiwaapisha ma-RAS na viongozi wengine ameshauri kuwa tusing'ang'ane na sheria tu hadi hata kama mtu amekuja na mtaji wake anashindwa eti kwa kuwa sheria imesema hivyo. Ukweli Sheria sometime inaondoa utu, ubinadamu na kwenda na muda. Lakini pia sheria...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  19. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tumpongeze Yusuf Manji kwa kuwa mzalendo na kurudi nyumbani. Rais Samia asichelewe, amuite Ikulu wazungumze

    Habari wadau! Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani. Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
  20. Kasanzu The Great

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnayo nafasi ya kusimama tena kabla ya 2025, ila zingatieni haya...

    Kwa hali Kisiasa ilivyo, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinatakiwa kifanye Mambo yafuatayo ili kiweze KUSIMAMA na kurejesha ushawishi wake Kama ilivyokuwa kabla 2015. 1. Achaneni na Magufuli Ukifuatilia hotuba zako nyingi nikama Magufuli Yuko Madarakani. Agenda za mikutano yao imebeba...
Back
Top Bottom