rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeongeza shilingi 100 katika kila lita ya mafuta ili tuweze kukusanya fedha zitusaidie kujenga Barabara za Vijijini

    Akiwa anamalizia siku ya pili ya ziara yake Mkoani Morogoro Rais Samia ametoa ufafanuzi juu ya ongezeko la bei ya mafuta ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi mitandaoni Katika hili Rais Samia amesema “Tumeongeza fedha kidogo kwenye mafuta, mtakuwa mmesikia kelele za mafuta. Tumeongeza shilingi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakandarasi Wazawa wanamuangusha Rais Samia

    Kandarasi nyingi hasa za barabara zinafanywa chini ya viwango na wakati mwingine hawana hata vifaaa kwa ajili ya kazi. Hii imepelekea adha na Usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizi zinazofanyiwa ukabarati. Mfano kipande cha barabara kutoka Mabibo Mwisho hadi makutano na Morogoro Road...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Rais Samia ashiriki Mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Julai 8, 2021 anashiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku Mbili Mkoani Morogoro. Updates: Salamu za wanawake wa CCT i) Ukatili kwa kijinsia Tunakushukuru kwa jitihada na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Diaspora Vijana Watanzania wamlilia Rais Samia uraia pacha

    Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni waTanzania lakini sheria za uraia za Tanzania haziwatambui na hivyo kupata wakati ngumu katika mambo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

    Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
  7. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CCM msipumbazike na kula, kunywa na kushiba hata mkalewa msioone hatari iliyoko mbele yenu

    Nimetoa mada "Rais Samia Suluhu Hassan, alama ya mwisho ya anguko la utawala wa siasa za CCM Tanzania...." Wengi hawajanielewa na kusema it's a delusional.... Dunia hii ina historia pevu sana inayoweza kutufundisha na kutujuza tulikotoka. Tunaweza kutumia matukio yaliyopita (historia) ili...
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavuna alichopanda, hana budi kuvumilia

    Habari zenu ndugu zangu, Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa. Raisi akaamua kupuuza...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ukitaka kukuza uchumi hakikisha nchi inazalisha chuma na inajitosheleza

    Rais amesema apewe muda akuze uchumi kisha ndipo atafuatilia mambo mengine. Ni jibu zuri kiasi maana ni ahadi. Sasa ili uchumi ukue haraka inabidi nchi yetu iweze kuzalisha chuma na ijitosheleze katika uzalishaji huo. Ni ngumu sana nchi kuendelea na kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma. Hakuna...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asihurumiwe kwakuwa ni mwanamke; kiongozi wa nchi lazima awe na ngozi ngumu. Wapambe acheni kulialia

    Kama kuna mtu anadhani kuwa kwa sababu tu Rais Samia ni mama basi atahurumiwa pale anapovurunda kutokana na jinsia yake basi anajidanganya. Siasa ni ngumu na unatakiwa kuwa himilivu kweli kweli. Ukitaka kujua hilo angalia siasa za wenzetu kama Kenya ama Marekani. Kiongozi anaangaliwa kama...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, jembe liliosahaulika pamoja na kuinyoosha Dar. Lilimpigia chapuo Samia Suluhu kupata Umakamu wa Rais

    Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto. Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma. Cha ajabu amesahaulika...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia ni kama tuko fungate (Honeymoon); inabidi tuwe na Katiba Mpya ili ndoa iwe salama kwa wote

    Utawala uliobora ni ule utawala wa makubaliano baina ya mwanaichi na mamlaka Suala la katiba mpya nalifananisha na ujio wa chupi za watoto maarufu pampas! Zilipo ingia kwa Mara ya kwanza Tanzania baadhi ya watu walizipinga sana, wengine walidai zinaleta uhanisi kwa watoto, wengine walisema...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

    Habari ndugu wanaJF, Jana kwenye mkutano wa rais na wanahabari nilimsikia akiongea confidently kuhusu kuagiza na kuanza kutumia chanjo za covid. Ieleweke kwamba hizo chanjo zilitolewa kwa dharura bila conclusive data za kitafiti na baadhi ya madhara ya muda mfupi yaliyokwishatokea ni kuganda...
  14. chase amante

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais Samia na janga la Covid-19

    Habarini za asubuhi wanaJF. Namshukuru mungu kwa kutupa uzima kuiona siku ya leo. Siku miamoja za rais Samia amejitahidi kuonesha mwanga zaidi, kuhusu namna ya kupambana na ugonjwa wa corona. Nikiri wazi kua, Tanzania tuna bahati ya kupata viongozi wazuri, wenye maono na wanaoendana na Nyakati...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia ni Maoni si Msahafu, Msingi ni Katiba

    Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba. Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo. Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua anachokitaka na anajua kukiwasilisha vyema. Mama anakijua kiswahili sawasawa. Mama anacheza na lugha...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan's first major test

    Nangoja kwa hamu sana hapo tarehe 30 Juni, when the BOT report that president Samia Hassan ordered for will finally be handed over to her, nasubiri sana kuona kitakachotokea kwa watakaotajwa, na pia kama wahusika watatajwa wazi bila Rais Samia kuficha majina yao, na sababu waziri wa fedha wakati...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

    Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu, Dar es Salaam leo Juni 28, 2021 Updates: Deodatus Balile, Mwenyekiti - Jukwaa la Wahariri Tangu ulivyoingia madarakani hakuna redio iliyofungiwa, gazeti lililofungiwa, mtandao au...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuishi maneno yako

    Nampongeza kwa dhati Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuamua kuiweka Tanzania upya kwenye ramani ya nchi zinazosimamia na kulinda Utu. Tangu ameingia madarakani siku 109 zilizopita amekuwa akikemea kwa wazi matendo ya aibu yanayofanywa na mamlaka za nchi hususani polisi na ofisi ya DPP bila...
  19. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

    Wajumbe. Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani. JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi 3 na ombi 1 kwa Rais Samia

    Kwanza nakupongeza kwa uamuzi wako wa kukarabati mapungufu yaliyoonekana katika awamu ya tano, ambayo wewe mwenyewe ulikuwa kiongozi mkuu. Pili nakupongeza kwa kumali siku 100 za uongozi wako kwa kurekebisha pale ambao uliona hapakwenda sawa. Tatu nakupongeza kwa ku-deal na watu ambao...
Back
Top Bottom