rais mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Sala ya Jummah Msikiti wa Bwejuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Waumini wa Dini ya Kiislamu kuhimizana kujitokeza kwa wingi Agosti 23 kwa ajili ya kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ili isaidie kutekeleza mipango ya maendeleo ya nchi. Amesema hayo leo...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi amfukuza Mkandarasi, asitisha Mkataba wake

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameifukuza Kampuni ya Ujenzi ya Associated Investment Service Ltd ya Dar es Salaam kufanya kazi Zanzibar kwa kile alichodai haina uwezo. Pia, alisitisha mkataba wa mkandarasi huyo wa ujenzi wa Shule ya Mtopepo katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi A...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

    Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar. Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo. Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara. Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na...
  4. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu. Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Habib Halahala: Mwandishi wa habari wa Rais Nyerere na Rais Mwinyi aliyefariki kifo kibaya

    Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980. Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani. Habib...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15% Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6 Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania 1995 Mbeya: Wakati ule OTTU ilipoachana na ujinga Wakamwalika Mwl.Nyerere badala ya Rais Mwinyi

    Wakati wa akina Bruno Mpangala, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi lilipokuwa huru na lina viongozi wenye weledi na calibre ya kuongoza si tu Vyama vya Wafanyakazi, bali hata kuongoza nchi; siyo haya mapandikizi yaliyojaa kwenye vyama vya wafanyakazi kwa sasa. Wakati ule serikali ilianza...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amteua Dkt. Zuhura Mohamed Abdallah kuwa Kamishna wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini katika Tume ya Mipango

  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi atoa onyo kwa watakaopandisha bei ya bidhaa Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara kuacha kutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Dk. Mwinyi alieleza hayo jana katika risala maalum aliyoitoa yenye lengo la...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Leila Mohammed Musa, ambaye ni...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kushusha mabasi ya umeme, gesi, Rais Mwinyi atoa tamko

    “Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa. “Tunataka kuendelea ili tusiwe tunapakiwa kama mizigo, duniani kote mambo yamebadilika hasa katika miji mikubwa, wanaleta mabasi ya...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Zanzibar kwa sasa haina wagonjwa wa COVID-19

    Picha: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Serikali ya Zanzibar imeeleza kuwa hivi sasa hakuna mgonjwa hata mmoja wa Ugonjwa wa Uviko19 (Covid-19) japokuwa hawawezi kuweka wazi kama ugonjwa huo umeisha moja kwa moja visiwani hapo. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameyazungumza hayo...
  15. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa viongozi watano

    Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa viongozi katika Wizara za elimu, Uchumi na Uwekezaji na wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Taarifa iliyotolewa na kusainiwa na Katibu Mkuu Mtendaji, Zena Said leo Februari 3, 2022 imewataja waliotenguliwa ni pamoja na...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi azipiga marufuku Taasisi za Serikali kutoa matangazo kwa Vyombo vya Habari bila kulipia

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussen Mwinyi ametoa maagizo kwa taasisi za Serikali kutotoa matangazo kwa vyombo vya habari kama hawatoweza kulipia matangazo hayo. Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 31, 2022 akizungumza na wandishi wa habari Zanzibar.
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Mwinyi; Bandari ya Zanzibar unaiua kwa haya mambo unayoyafanya

    Mheshimiwa wakati unaingia madarakani , wazanzibari wengi nyoyo zetu zilifarijika kwa jinsi ulivoanza kuchapa kazi. Ziara yako ya bandarini iliibua matumaini kwamba yajayo ni neema tupu. Mwaka mmoja sasa tokea ushike madaraka , hakuna kilichobadilika zaidi ya kuongezeka kwa usumbufu wa utitiri...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Dkt. Hussein Mwinyi Katika Kutimiza Mwaka Mmoja wa Awamu ya Nane ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar | Novemba 6, 2021

    Hotuba ya Rais Mwinyi mheshimiwa Othman Masoud Othman; Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mheshimiwa Jaji Khamis Ramadhan Abdalla, Kaimu Jaji Mkuu wa...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi amtumbua Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Baraza la Mitihani Zanzibar, Zubeir Juma Khamis kuanzia leo November 03,2021.
Back
Top Bottom