rais mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwana-CCM mwingine amvaa Rais Mwinyi, amshutumu kukodisha visiwa na kukosa uhalali kwakuwa hakuchaguliwa bali kateuliwa tu

    Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo: 1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka. 2. Kupinga uvunjwaji wa nyumba za kilimani. 3. Amemshutumu Mwinyi kukosa uzoefu wa mambo ya...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, hii kasi ya kuwapa ardhi raia wa kigeni kulikoni? Kelele zimekuwa nyingi, Sasa unataka kunyang'anya familia ya Karume nyumba!

    Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji. Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Samahani Rais Mwinyi lakini kwenye hili umekosea

    Na Zitto Kabwe MAONI: Suala moja lililoibuliwa katika mikutano ya hadhara ya chama cha ACT Wazalendo inayoendelea katika visiwa vya Unguja na Pemba ni uendeshaji (ground handling) wa ‘Terminal 3’ katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar. Katika mkutano uliofanyika...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hana "chawa" wa kuwajibu ACT Wazalendo? Kama Rais alitakiwa kuwa last line of defence! Na wapinzani kazi yao kusutana

    Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail. Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa. Na...
  5. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mama Zuchu akiwa na Rais Dkt. Mwinyi

  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi akutana na Balozi wa Sweden nchini Tanzania

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias na Ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar kwa Mazungumzo. Leo tarehe 13 Februari, 2023.
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma. Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, kwenye Ibara ya 18, iitwayo haki ya uhuru wa kutoa maoni, "freedom of expression" ni haki inayotolewa na katiba yetu lakini...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

    "Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka...
  10. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nini kinachomsibu Rais Mwinyi kwa uteuzi wa aliyekosa imani ya Wazanzibar uchaguzi 2020?

    Wanajamvi kumekuwa na sintofahamu juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mkuu 2020 hadi kuondolewa katika nafasi hiyo. Kuna jambo halipo sawa au ni mikakati ya kujiimarisha Kiserikali. Karibuni.
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Mwinyi zaanza kuivuruga ACT Wazalendo, Zitto apinga wazi

    Hatua ya Rais Hussein Mwinyi kumteua Thabit Idarous Faina kuwa mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambayo ilikosolewa na Chama cha ACT Wazalendo kilichopendekeza asiapishwe, imekichanganya kiasi cha kuitisha mkutano wa dharura kujadili hatua za kuchukua. Kikubwa kinacholalamikiwa na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa. Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Mwinyi akihudhuria vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi, Chamwino Dodoma

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akihudhuria vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi, Chamwino Dodoma. Vikao hivyo vinaongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais wa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulimkosea nini Mzee Mwinyi kutuletea kunguru?

    Inasemekana, mh Rais Mstaafu Mzee wetu wa heshima Ali Hassan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru. Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira, ikabidi aje na mbegu hapa bongo! Sasa hawa ndege wamekuwa kero kiasi cha kuuluza tena kwamba...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aondoka Zanzibar kuhudhuria vikao vya Kamati Kuu ya CCM jijini Dodoma

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali, akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, ameondoka Zanzibar kuelekea Dodoma kuhudhuria vikao vya kawaida vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa vya...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi ateua Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar

  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi anazungumzia Ripoti ya CAG iliyosababisha Mkurugenzi wa ZAECA ajiuzulu

    RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, leo Septemba 05, amezungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali ikiwemo Ripoti ya CAG ya Mwaka 2021. RAIS MWINYI: NAANZA ZIARA ZA KUSHTUKIZA TAASISI ZA UMMA Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi...
  18. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka. Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongeza Rais Samia huko Unguja leo hii, Shaka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi awataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia vema waliyofundishwa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Mwinyi, makandarasi wazawa tumekusikia!

    Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi. Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea kuwapa zabuni makandarasi wazawa miradi ya serikali. Hilo tunalipokea kwa moyo wa furaha, maana ndio...
Back
Top Bottom